kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Hiyo ni kweli comred, Putin alipofikia amefikia point ya kukata tamaa kwa Sasa..Yuko desperate, point of no return, maybe anajua fika negative consequences za kuwatumia askari wa north Korea lakini atafanyanyaje! Inabidi kujilipua tu!Puttin Jana kwenye mkutano wa bricks,ukimuangalia unaona kabisa ana mawazo hata tembea yake sio kama zamani hajiamin Amin ..na ukrein zelensky hataki makubaliano yakusitisha vita ,bila kurudisha maeneo yote hapo bado hajaanza kutumia silaha zamasafa marefu, akianza tu urussi kwisha
Hao Wamarekani wanapiga Mikwala tu. Kama wangekuwa na mpango wa kumpiga Mrusi wangefanya mapema sana. Wanaogopa hata kumpa ruhusa Ukraine kutumia Long range missile sembuse hiyo direct confrontation. Hawawezi hata siku moja. Wanachohofia hapo ni North Korea kujijenga kijeshi hivyo kuwa tishio kwao.If North Korean military forces join Russia’s war against Ukraine, the US should consider the possibility of direct military action, said U.S. House Intelligence Commitee Chairman Turner.
According to him, North Korea’s involvement in the war should become a “red line” for the U.S. and NATO.
Na hawezi tumia nyuklia..Mageneral wake watakataa Amri hyo .Hiyo ni kweli comred, Putin alipofikia amefikia point ya kukata tamaa kwa Sasa..Yuko desperate, point of no return, maybe anajua fika negative consequences za kuwatumia askari wa north Korea lakini atafanyanyaje! Inabidi kujilipua tu!
Na unafikiri kwa nini au sababu zipi zimpelekee Putin atumie nuclear?Na hawezi tumia nyuklia..Mageneral wake watakataa Amri hyo .
Amezidiwa nguvu..kufucha Aibu itamlazimu kutumia ..lakini haitawezekana ma kamanda wake watapingana naeNa unafikiri kwa nini au sababu zipi zimpelekee Putin atumie nuclear?
Numbers never lieKweli au propaganda??
IMF upgrades Russia to world’s fourth-largest economy
The country is outperforming Japan in terms of purchasing power parity, according to the Washington-based organization
24 Oct, 2024 14:04
IMF upgrades Russia to world’s fourth-largest economy
The International Monetary Fund has ranked Russia as the fourth-largest economy globally by purchasing power paritywww.rt.com
Umejuaje kama watakataa?Na hawezi tumia nyuklia..Mageneral wake watakataa Amri hyo .
Kwasababu na wao..Wana familia so ukrein nayo ikijibu kwa nyuklia hamna atakaye salia ..ndo maana kwenye vita yapili ilibaki kidogo urussi na marekani wafytuane kwa nyuklia lakini..alie okoa jaazi alikuwa nikamanda wa urussiUmejuaje kama watakataa?
Aisee!😯A
Amezidiwa nguvu..kufucha Aibu itamlazimu kutumia ..lakini haitawezekana ma kamanda waje watapingana nae
Aisee!Kwasababu na wao..Wana familia so ukrein nayo ikijibu kwa nyuklia hamna atakaye salia ..ndo maana kwenye vita yapili ilibaki kidogo urussi na marekani wafytuane kwa nyuklia lakini..alie okoa jaazi alikuwa nikamanda wa urussi
Ukraine wanamiliki silaha za nuclear?Kwasababu na wao..Wana familia so ukrein nayo ikijibu kwa nyuklia hamna atakaye salia
Marekani hakuna vita alipugana alone, lazima abebe visaidiziUliona vita gani marekani inapigana hadi kuishiwa wanajeshi?
Wakorea wanakuumiza roho sana ili hali kijiji kizima kinamsaidia ukraine? Mkuki kwa nguruwe...Pamoja na back up ya wakorea,bado warusi wanaendelea kupelekwa jongomeo..,hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miambili walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱View attachment 3134264