LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
South Korean Foreign Minister Cho Tae-yeol warned that North Korea could face consequences under international criminal law based on the actions of its troops.

"We strongly condemn Russia and North Korea's illegal actions and want to make it clear that there will be consequences. We cannot continue business as usual with Russia while it persists in its unlawful invasion of Ukraine, violating the UN Charter and international law
 
Puttin Jana kwenye mkutano wa bricks,ukimuangalia unaona kabisa ana mawazo hata tembea yake sio kama zamani hajiamin Amin ..na ukrein zelensky hataki makubaliano yakusitisha vita ,bila kurudisha maeneo yote hapo bado hajaanza kutumia silaha zamasafa marefu, akianza tu urussi kwisha
Hiyo ni kweli comred, Putin alipofikia amefikia point ya kukata tamaa kwa Sasa..Yuko desperate, point of no return, maybe anajua fika negative consequences za kuwatumia askari wa north Korea lakini atafanyanyaje! Inabidi kujilipua tu!
 
If North Korean military forces join Russia’s war against Ukraine, the US should consider the possibility of direct military action, said U.S. House Intelligence Commitee Chairman Turner.

According to him, North Korea’s involvement in the war should become a “red line” for the U.S. and NATO.
 
Hatimaye wameripoti kinyonge!

Hao Wamarekani wanapiga Mikwala tu. Kama wangekuwa na mpango wa kumpiga Mrusi wangefanya mapema sana. Wanaogopa hata kumpa ruhusa Ukraine kutumia Long range missile sembuse hiyo direct confrontation. Hawawezi hata siku moja. Wanachohofia hapo ni North Korea kujijenga kijeshi hivyo kuwa tishio kwao.
 
Kweli au propaganda??

IMF upgrades Russia to world’s fourth-largest economy​

The country is outperforming Japan in terms of purchasing power parity, according to the Washington-based organization

24 Oct, 2024 14:04

Numbers never lie
 
Umejuaje kama watakataa?
Kwasababu na wao..Wana familia so ukrein nayo ikijibu kwa nyuklia hamna atakaye salia ..ndo maana kwenye vita yapili ilibaki kidogo urussi na marekani wafytuane kwa nyuklia lakini..alie okoa jaazi alikuwa nikamanda wa urussi
 
Aisee!
Kwani kwenye vita ya pili ya dunia walikua wakipigana Urusi na Marekani?
 
Back
Top Bottom