LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
hii vita naona inaelekea ukingoni, maana kuanzia November winter inaingia ambayo inaenda kupunguza pace ya ku advance kwa both side
Supporter wa Ukraine nao ni kama vile wako exhausted kwenye warehouse, kwa maana silaha za msaada zimeisha hasa zile ambazo kwao zilikuwa outdated, zilizobaki ni zile za kimkakati ambazo hawawezi kuzipeleka kwa ajili ya kulinda siri zake ili zisiwe useless, kama ilivyotokea kwa Himars, stomshadow, na Patriots

West wanaogopa kui invest sana Ukraine kwa hofu Trump akiingia anaweza kuachana kusupport hii vita
Pia maeneo mengi yenye utajiri yapo mkononi mwa urusi,
Middle east inaweza kutumika kama escaping attention ya hii vita
 
Ukiwa kama nani hapo kwa wafadhili wa silaha wa Ukraine
 



Contrary to the claims made by Russian dictator Vladimir Putin at the recent BRICS summit, Ukraine never approached Turkey with a request to offer Russia peace negotiations, President Zelenskyy’s communications adviser Dmytro Lytvyn said on Oct. 25.
 
Ulitarajie akubali huyo mla cocaine?
 
Hivi kuna ulazima wa kuzungumza jambo ambalo huna elimu nalo hata kwa 20%.

Hii tabia humu ndani JF ni kama imeshindikana kutibiwa.

Wengine malezi yenu yapoje?
Nandio maana wajuzi wa haya mambo ya vita ,wengi kwasasa hawachangii chochote,kuna kipindi huu uzi watu walikuwa wanashusha madini sana na tulijifunza mengi sana ,lakini sasa umevamiwa na watu ambao hata ku reason vitu vidogo hawawezi ....

Umejaa ushabiki kama simba na Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…