Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaUnapoteza muda kujadiliana nae mpotezee!
Kwani hata zikiwa zinabebwa na low bed barabarani kwenda Kwa jirani utafanyaje? Maana huwezi kuzilipua Kienyeji maana madhara Yake SI haba.Zitapitia wapi
Bhhs wafanye hvo tuone..kifuatachoKwani hata zikiwa zinabebwa na low bed barabarani kwenda Kwa jirani utafanyaje? Maana huwezi kuzilipua Kienyeji maana madhara Yake SI haba.
We kipanya una habari kuwa mji wa Selidovo umeangukia kwenye mikono ya Warusi?.Propaganda!
Ukiwa kama nani hapo kwa wafadhili wa silaha wa Ukrainehii vita naona inaelekea ukingoni, maana kuanzia November winter inaingia ambayo inaenda kupunguza pace ya ku advance kwa both side
Supporter wa Ukraine nao ni kama vile wako exhausted kwenye warehouse, kwa maana silaha za msaada zimeisha hasa zile ambazo kwao zilikuwa outdated, zilizobaki ni zile za kimkakati ambazo hawawezi kuzipeleka kwa ajili ya kulinda siri zake ili zisiwe useless, kama ilivyotokea kwa Himars, stomshadow, na Patriots
West wanaogopa kui invest sana Ukraine kwa hofu Trump akiingia anaweza kuachana kusupport hii vita
Pia maeneo mengi yenye utajiri yapo mkononi mwa urusi,
Middle east inaweza kutumika kama escaping attention ya hii vita
Labda kinu chakutwangia mpungaK
Kinu kikubw kabisa cha nuclear mataifa ya ulaya..Kiko Ukraine
Ulitarajie akubali huyo mla cocaine?Loading…
english.nv.ua
Contrary to the claims made by Russian dictator Vladimir Putin at the recent BRICS summit, Ukraine never approached Turkey with a request to offer Russia peace negotiations, President Zelenskyy’s communications adviser Dmytro Lytvyn said on Oct. 25.
Mtoa maoni binafsiUkiwa kama nani hapo kwa wafadhili wa silaha wa Ukraine
Nandio maana wajuzi wa haya mambo ya vita ,wengi kwasasa hawachangii chochote,kuna kipindi huu uzi watu walikuwa wanashusha madini sana na tulijifunza mengi sana ,lakini sasa umevamiwa na watu ambao hata ku reason vitu vidogo hawawezi ....Hivi kuna ulazima wa kuzungumza jambo ambalo huna elimu nalo hata kwa 20%.
Hii tabia humu ndani JF ni kama imeshindikana kutibiwa.
Wengine malezi yenu yapoje?
Labda kinu chakutwangia mpunga
Chakuwatwanga..wanaziLabda kinu chakutwangia mpunga