LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna mchafuzi mmoja alitwambia kwamba Europe watabakia na pesa zao na Russia abakie na gas yake wachafuzi wa jf buana
 
Uko sahihi kabisa ndugu .
 
Nilidhani umekomaa kiuchambuzi lkn kumbe bado sana.
Hapa hakuna good move wala kuchelewa.
Iko hivi,
kama wangeruhusu tokea mwanzo kutumia makombora Yao kupiga ndani ya Urusi,vita isingekua kama ilivyo Leo.
Nakuhakikishia Leo hii miji ya new York, London, Paris, Bucharest n.k ingekua magofu TU,Leo hii china, north Korea,Iran na marafiki zao wangekua wanarusha makombora upande wa west na kinyume chake.Hakika hii ingekua vita ya Tatu ya Dunia,kitu ambacho west wemekua wakikiogopa sikuzote.
Hata hivyo,si tuko hapa Mimi na wewe Sasa subiri warushe hayo mabomu Yao huko Moscow ndio utakua kama Putin anatania,maana kwa Hali ya kawaida hiyo itakua ni vita rasmi Sasa kati ya Urusi na west.Je Urusi atawapigia magoti ama atawarudishia majibu stahiki?
Mimi nakuambia tusiaongee sana,tusubiri tuone.
Kumbuka hayo makombora Yao hayawezi kurushwa bila msaada wa satellite zao,maana yake wao ndio watakua wamempiga Urusi.
Je unafukiri raia wa NATO wako tayari kua wakimbizi kwa sababu ya Ukraine?
Ukraine inawapa Nini NATO Cha maana?
Tusubiri.
 
U.S. Lifts Ban on Ukrainian Strikes Inside Russia - Reuters

The Biden administration has removed restrictions that previously prohibited Ukraine from using American weapons to strike targets within Russian territory. This marks a significant shift in U.S. policy regarding the war between Ukraine and Russia, according to three sources familiar with the matter cited by Reuters.

In the coming days, Ukraine reportedly plans to carry out its first long-range strikes. While operational details remain confidential for security reasons, it is expected that ATACMS missiles with a range of up to 306 kilometers will be used for these attacks.

 
Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya

Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
 
Hata mimi hilo la Ulaya kumlalamikia Urusi kuwa anatumia gas kama silaha limenishangaza sana. Yaani wanalalamika as if hakuna vita, so Urusi ameamua kuwanyanyasa. Wao wamemwekea vikwazo naye anawawekea vikwazo vyake. Yaani ni Tit for Tat.
West ni waoga sana,wanapenda na wamezoea vita nyepesi,kama Libya na Iraq.
Wao wako pamoja lkn wanataka wapigane na nchi isiyopewa msaada na nchi nyingine yoyote
 
Ushindi Gani zaidi ya huu?
Urusi amekamata ardhi muhimu ya Ukraine ambapo Ukraine ndio anapigana kuzikomboa,pia Ukraine hajajiunga NATO.
Kama vita ikisimama Sasa hivi Urusi ndio alieshinda vita
Kumbuka mpaka Sasa Ukraine anapeleka moto kwenye majimbo hambayo urusi anaona ni ardhi yake,yaani Donetsk, Lugansk, zapolzhia, kheson,na mbaya zaidi hata huko Kursk anatembeza kichapo tu
 
Putin is in a weak position to challenge the US/ NATO
Hivi Kwa akili Yako NATO na west wakiingia unadhani Urusi itabaki peke yake?
Lkn pia unajua hata Urusi ikiwa peke yake unafukiri nchi za NATO hazitapata madhara?
Kwa kifupi vita kati ya Urusi na NATO matokeo yake baada ya vita pande zote zitakua hii bin taaban.
 
Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya

Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Kwa hiyo Urusi Hana makombora kama hayo na hajui location ya miji mikuu ya nchi za NATO?
Hakuna kitu atafanya,Sasa subiri warushe halafu Urusi hapa uandike Tena.
 
🇫🇷🇬🇧🚀 France and UK authorized Ukraine to strike deep into Russian territory with their SCALP/Storm Shadow missiles, - Le Figaro

🇺🇸✅ The United States “gave the green light to the use of long-range missiles,” a US official confirmed to AFP.

 
Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya

Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Jaribu kutumia akili kidogo hata kama hauna,punguza mahaba na mhemko! Kwa sasa ni hapa!

The New York Times (NYT) and Washington Post reported that US President Joe Biden has authorized Ukrainian forces to use US-provided ATACMS in limited strikes against Russian and North Korean military targets within Kursk Oblast.
November 17, 2024, 4:30pm ET


 
Nakukumbusha tu mpaka Sasa urusi hayupo peke yake,ana sapoti ya north Korea, Tena sio kwa kupewa silaha na vifaa vingine tu,bali askari wa north wako kwa ground wakimpiga tafu urusi
 
Pole sana bibie, Putin ataanza kuishi kama viongozi wa Hamas kwa kuogopa kuliwa kichwa na storm shadow 😍🤩😍🤩😍🤩
 
Naona unajaribu kuokoteza habari za kakufarij..,maumivu yakizidi muone daktari🤩😍🤩😍
 
Huko urusi wameanza kubweka 🤩😍🤩😍🤩



Senior Russian lawmakers threatened on Nov. 17 that outgoing U.S. President Joe Biden’s decision to allow Ukraine to strike deep into Russian territory with ATACMS missiles could lead to World War III and the loss of Ukrainian statehood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…