Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kama angekua dhaifu asingeweza kuchallengePutin is in a weak position to challenge the US/ NATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama angekua dhaifu asingeweza kuchallengePutin is in a weak position to challenge the US/ NATO
Ipate mara ngapiHata Urusi haiwezi kupata ushindi wa kijeshi...
Kuna mchafuzi mmoja alitwambia kwamba Europe watabakia na pesa zao na Russia abakie na gas yake wachafuzi wa jf buanaHawa watu wa west wako kama mashoga yaani,maana hata huwezi kusema wako kama watoto,kwa sababu watoto bado ni watoto akili zao hazijakomaa.
Leo wanalaalmika kua eti Urusi inatumia Gesi kama silaha.
Vita ni vita vita hivi ni vita vya moto na vita vya kiuchumi Kila mtu atumie Kila silaha aliyonayo kushinda vita
Sasa wao wanalalamika Urusi kutumia Gesi kama silaha,mbona USA ametumia USD na vikwazo dhidi ya Urusi ili kumdhoofisha Urusi lkn wamekua kimya?
Aisee Hawa west ni zaidi ya mashoga.
USA na west Kila siku wanamuongezea vikwazo wanaona Raha TU,yeye kuwatingisha kwa vikwazo vya Kuwauzia Gesi wanalalamika.
Aisee Putin katufqnya tuwajue wazungu akili zao,kua sio Kila mzungu ana akili.
Uko sahihi kabisa ndugu .Uchumi wa Ujerumani umeyumba kutokana vita hii.
Kama yeye Taifa lenye nguvu za kiuchumi ameyumba?, vipi mataifa madogo na yenye Uchumi dhaifu kule Ulaya?
Democrats wameanguka kwenye uchaguzi wa Marekani kwa sababu ya Vita hii, Uchumi wa Marekani ulitingishika, fatilia
Hii ni vita waliyoingia kinyume nyume matokeo yake Mataifa ya magharibi yamedhalilika na kupungua influence yao duniani, huku Mrusi ikipaa kuanzia Ulaya, Amerika mpaka Afrika.
Tuendeleze mapigano Ili tujue mbivu na mbichi
Nilidhani umekomaa kiuchambuzi lkn kumbe bado sana.
Ushindi Gani zaidi ya huu?Hata Urusi haiwezi kupata ushindi wa kijeshi...
Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanyaNilidhani umekomaa kiuchambuzi lkn kumbe bado sana.
Hapa hakuna good move wala kuchelewa.
Iko hivi,
kama wangeruhusu tokea mwanzo kutumia makombora Yao kupiga ndani ya Urusi,vita isingekua kama ilivyo Leo.
Nakuhakikishia Leo hii miji ya new York, London, Paris, Bucharest n.k ingekua magofu TU,Leo hii china, north Korea,Iran na marafiki zao wangekua wanarusha makombora upande wa west na kinyume chake.Hakika hii ingekua vita ya Tatu ya Dunia,kitu ambacho west wemekua wakikiogopa sikuzote.
Hata hivyo,si tuko hapa Mimi na wewe Sasa subiri warushe hayo mabomu Yao huko Moscow ndio utakua kama Putin anatania,maana kwa Hali ya kawaida hiyo itakua ni vita rasmi Sasa kati ya Urusi na west.Je Urusi atawapigia magoti ama atawarudishia majibu stahiki?
Mimi nakuambia tusiaongee sana,tusubiri tuone.
Kumbuka hayo makombora Yao hayawezi kurushwa bila msaada wa satellite zao,maana yake wao ndio watakua wamempiga Urusi.
Je unafukiri raia wa NATO wako tayari kua wakimbizi kwa sababu ya Ukraine?
Ukraine inawapa Nini NATO Cha maana?
Tusubiri.
West ni waoga sana,wanapenda na wamezoea vita nyepesi,kama Libya na Iraq.Hata mimi hilo la Ulaya kumlalamikia Urusi kuwa anatumia gas kama silaha limenishangaza sana. Yaani wanalalamika as if hakuna vita, so Urusi ameamua kuwanyanyasa. Wao wamemwekea vikwazo naye anawawekea vikwazo vyake. Yaani ni Tit for Tat.
Kumbuka mpaka Sasa Ukraine anapeleka moto kwenye majimbo hambayo urusi anaona ni ardhi yake,yaani Donetsk, Lugansk, zapolzhia, kheson,na mbaya zaidi hata huko Kursk anatembeza kichapo tuUshindi Gani zaidi ya huu?
Urusi amekamata ardhi muhimu ya Ukraine ambapo Ukraine ndio anapigana kuzikomboa,pia Ukraine hajajiunga NATO.
Kama vita ikisimama Sasa hivi Urusi ndio alieshinda vita
Hivi Kwa akili Yako NATO na west wakiingia unadhani Urusi itabaki peke yake?Putin is in a weak position to challenge the US/ NATO
Kwa hiyo Urusi Hana makombora kama hayo na hajui location ya miji mikuu ya nchi za NATO?Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya
Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Jaribu kutumia akili kidogo hata kama hauna,punguza mahaba na mhemko! Kwa sasa ni hapa!Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya
Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Nakukumbusha tu mpaka Sasa urusi hayupo peke yake,ana sapoti ya north Korea, Tena sio kwa kupewa silaha na vifaa vingine tu,bali askari wa north wako kwa ground wakimpiga tafu urusiHivi Kwa akili Yako NATO na west wakiingia unadhani Urusi itabaki peke yake?
Lkn pia unajua hata Urusi ikiwa peke yake unafukiri nchi za NATO hazitapata madhara?
Kwa kifupi vita kati ya Urusi na NATO matokeo yake baada ya vita pande zote zitakua hii bin taaban.
Pole sana bibie, Putin ataanza kuishi kama viongozi wa Hamas kwa kuogopa kuliwa kichwa na storm shadow 😍🤩😍🤩😍🤩Jaribu kutumia akili kidogo hata kama hauna,punguza mahaba na mhemko! Kwa sasa ni hapa!
The New York Times (NYT) and Washington Post reported that US President Joe Biden has authorized Ukrainian forces to use US-provided ATACMS in limited strikes against Russian and North Korean military targets within Kursk Oblast.
November 17, 2024, 4:30pm ET
Institute for the Study of War
This page collects ISW and CTP's updates on the conflict in Ukraine. In late February 2022, ISW began publishing daily synthetic products covering key events related to renewed Russian aggression against Ukraine.www.understandingwar.org
Naona unajaribu kuokoteza habari za kakufarij..,maumivu yakizidi muone daktari🤩😍🤩😍Jaribu kutumia akili kidogo hata kama hauna,punguza mahaba na mhemko! Kwa sasa ni hapa!
The New York Times (NYT) and Washington Post reported that US President Joe Biden has authorized Ukrainian forces to use US-provided ATACMS in limited strikes against Russian and North Korean military targets within Kursk Oblast.
November 17, 2024, 4:30pm ET
Institute for the Study of War
This page collects ISW and CTP's updates on the conflict in Ukraine. In late February 2022, ISW began publishing daily synthetic products covering key events related to renewed Russian aggression against Ukraine.www.understandingwar.org