kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Warusi wa jamiiforum wamepagawa hawajui waandike nini 🤩😍🤩😍🤩😍Tatizo ninaloliona humu JF wengi sisi ni wajuaji kuliko wanaohusika na hivyo vita vya Ukraine . Naona na wewe umeandika gazeti.. Yaani wewe unajua kuliko USA na Washirika wake. Yaani Marekani inafanya jambo fulani halafu mswahili wa Bunju unajidai unajua athari atakazozipata. Mswahili wa Tegeta kwa Ndevu anajua kuliko Pentagon na CIA.
Thubutuuu.......kama wangeruhusu tokea mwanzo kutumia makombora Yao kupiga ndani ya Urusi,vita isingekua kama ilivyo Leo.
Nakuhakikishia Leo hii miji ya new York, London, Paris, Bucharest n.k ingekua magofu TU,Leo hii china, north Korea,Iran na marafiki zao wangekua wanarusha makombora upande wa west na kinyume chake.Hakika hii ingekua vita ya Tatu ya Dunia,kitu ambacho west wemekua wakikiogopa sikuzote.
To challenge or to win??Putin is in a weak position to challenge the US/ NATO
Yote ni majibuTo challenge or to win??
Ili mambo yawe moto inabidi russia apigie vya kutosha.Tutarajie kuanzia Sasa kuona Moscow ikichakazwa kwa makombora ya USA 🤩😍🤩😍🤩😍🤩😍
Good move ??? ,okay, let's waitUkraine imesubiri hili kwa muda mrefu....
Good move...
Hivi ni vyombo vikubwa vya habari kwa wamagharibi,huviamini?? Au huna akili?? Au unapenda ubishi? (sifa ya mtu mjinga),kama upo tayari tuelekezane (sifa ya watu werevu)Naona unajaribu kuokoteza habari za kakufarij.
Uskatike sana bibie,bado naandaa moto🤩😍🤩😍🤩Hivi ni vyombo vikubwa vya habari kwa wamagharibi,huviamini?? Au huna akili?? Au unapenda ubishi? (sifa ya mtu mjinga),kama upo tayari tuelekezane (sifa ya watu werevu)
Washington’s decision on ATACMS is couched in terms of being limited to the defence of Ukrainian forces inside the Kursk region.
Ukraine-Russia war latest: Russia vows response if Ukraine uses US long-range missiles to hit its territory
The Kremlin warns Kyiv's use of such missiles would mark an escalation in the conflict, hours after Joe Biden gives the green light.www.bbc.com
The weapons are intended to be used primarily in Kursk for now, a US official said. With its huge troop amassment there.The idea is to help Ukraine hold on to Kursk for as long as possible, the official said.
Ni kweli wanaweza kupiga Moscow. Lakini hayo si mawazo ya Joe Biden. Ndo maana imeitwa limited yaani kiasi cha makombora hayo yatumike kikamilifu.Tutarajie kuanzia Sasa kuona Moscow ikichakazwa kwa makombora ya USA 🤩😍🤩😍🤩😍🤩😍
Unadhani Putin Hana makombora ya kuwafanya Marais wote wa NATO kuishi mapangoni?Hayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya
Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Naona na wewe ni walewale TU wa kuamini Kila kinachosemwa na USA na west ni sahihi.Tatizo ninaloliona humu JF wengi sisi ni wajuaji kuliko wanaohusika na hivyo vita vya Ukraine . Naona na wewe umeandika gazeti.. Yaani wewe unajua kuliko USA na Washirika wake. Yaani Marekani inafanya jambo fulani halafu mswahili wa Bunju unajidai unajua athari atakazozipata. Mswahili wa Tegeta kwa Ndevu anajua kuliko Pentagon na CIA.
Muda una thamani sana kwetu sisi wengine. Sijasoma kwasababu ninajua gazeti refu hivyo lina uzito wa gunia la PambaNaona na wewe ni walewale TU wa kuamini Kila kinachosemwa na USA na west ni sahihi.
Yaani wewe na wenzako humu mnaonaga kama baada ya Mungu basi anaefuata ni USA.
Ni mambo mangapi USA amedanganya mbele ya media? Na Dunia nzima inashuhidia?
Mfano Iraq Ina silaha za maangamizi.
Sasa Leo hii kama kawaida yenu pro NATO hua mna sherehe za mda mfupi sana,mlisherehekea Juveline,mkasherehekea Himers, Abraham, challenger, leopard,F-16 na Sasa mnasherehekea ruhusa ya kushambulia ndani ya Urusi.
Kwa hiyo Urusi akipigwa ndani basi atakua anaokota mabaki ya makombora na kwenda kutupa jalalani sio?
Urusi hatakua na uwezo wa kujibu?
Sasa Mimi nimemjibu huyo mtu wako kulingana na maelezo ya Urusi kama wakimshambulia ndani.
Urusi anasema itapelekea ww3.
Sasa wewe Mmarekani wa kishumundu unabishana na Urusi?
Sababu anazotoa Urusi ni kwamba hayo makombora hayawezi kulenga shabaha bila satellite za nchi yalikotoka Sasa unafikiri Urusi atakaa kimya?
Ndugu yangu sio Kila jambo likisemwa na USA linakosa majibu.
GamechangerUskatike sana bibie,bado naandaa moto🤩😍🤩😍🤩
🇩🇪🇺🇦 Germany is preparing to provide Ukraine with 4,000 Mini-Taurus UAVs with artificial intelligence, which makes them virtually invulnerable to Russian EW and GPS jamming, - Bild
❗️Starting in December, several hundred such drones will be delivered every month.
View attachment 3155277
Until TrumpNaona watu wana mixed feeling kuhusu hili la long range, kuruhusiwa ni kitu kingine
na kuwa na hizo silaha ni kitu kingine.
Nilikuwa najiuliza kwanini last week. Russia alikuwa anarusha makombora all over Ukraine hadi covert intelligence post ya Ufaransa ikapigwa missile kumbe ishu ilikuwa hii.
Amepewa ruhusu, ishu sasa ni kupewa hizo silaha zenyewe, sababu zilizokuwepo nyingi zimekula kiberiti kwenye warehou.
kitendo cha Urusi kushambulia energy facility hasa zenye link na military ammo depot pamoja na njia nyingi za kusafirisha hasa railway kutokea Lviv na Odessa port ni ku disrupt logistic and supply chain.
Nadhani wakati west wanataka kupunguza kasi ya Urusi na counter offensive ya kursk kabla ya Jan 6, Urusi nae anataka kuongeza maeneo zaidi kabla ya hiyo tarehe na either kuikomboa kursk yote au wanajesh waliopo hapo na merceneries kuwa hostage.
Kuna siku 30, za fierce crush na missile exchange ngoja tuone
People are foolish, wao wanapomwekea vikwazo lukuki na kutaifisha mali za russia wanaona sawa tuu?Somewhere