majebelenzoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 288
- 465
People are foolish, wao wanapomwekea vikwazo lukuki na kutaifisha mali za russia wanaona sawa tuu?Somewhere
Una Nini unachofanya wewe kikufanye ushindwe kusoma lakini unaweza kujibu?Muda una thamani sana kwetu sisi wengine. Sijasoma kwasababu ninajua gazeti refu hivyo lina uzito wa gunia la Pamba
Mfaransa ni mnyonyaji mbaya sana! Na anaendelea na ukoloni wake mpaka sasa hivi kwenye mataifa ya Afrika magharibi.Una Nini unachofanya wewe kikufanye ushindwe kusoma lakini unaweza kujibu?
Watu wasio na muda huwezi kuwakuta humu,wewe kutwa kucha kuangalia nani amekomenti Nini na kujitia kukosoa.watu wasio na muda wako bize kutengeneza Pesa wewe kazi kujisifu TU humu.
😀😀😀😀😀Kipanya hapo juu katoa taarifa Ukrainia wameteka hospitali ya kipindu pindu 🤣🤣
Kile kizee kijinga kinataka kufa na sisi kife chenyewe pumbafu"Allowing Ukraine to strike Russia, will make Putin surrender"
Not even with half the Soviet Union destroyed and 8m germans, did Moscow ever bow. No one, and I mean no one has ever backed Russia in the corner and won.
The west is making a huge mistake, the world's last mistake.
Wewe nadhani unafikiria hapo Urusi ni BurundiHayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya
Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground hukwewe
Tunasubiri Mwamba atoe Kauli kwanza maana mpaka sasa Hajasema neno!! Tulia usikie tutabadili upepo sasa tunakaua kale ka kima ZeleWarusi wa jamiiforum wamepagawa hawajui waandike nini 🤩😍🤩😍🤩😍
Sio kirahisi hivyo. Moscow sio Dar ujueHayo makombora yataichakaza hata Kremlin na Putin hakuna kitu atafanya
Ninachokiona Sasa ni kwamba Putin atahamishia makazi yake underground huko
Mimi nasema ikitokea vita huku kwetu alafu nikakutana na fisi anaewatetea hawa wakoloni naanza kumchinja yeyeHawa wazungu kweli wamepatikana.
1.Let them feel walichowafanyia babu zetu miaka yote ya ukoloni- waliua watu wengi
2.Let them feel hofu ya vita jinsi walivyoharibu nchi za kiafrika hata baada ya ukoloni - Libya, Sudan, Congo. N.k
3.Let them feel unyonyaji ambao wamekua wakifanya mpaka sasa kwa makoloni yao..:France in Western Africa.
4.Let them feel vita: jinsi walivyomtwanga Iraq kwa sababu za uongo na hujuma za Israel - Netanyahu - matokeo yake hadi leo watu wanakufa tu.
5.Let them pay for the distraction they caused in Syria - Innocent people, Children, women are being killed.Tena US kakalia eneo la Syria lenye mafuta kwa nguvu mpaka leo.
6.Hawa wazungu walikua wanapeleka bibi zetu kwenye zoo zao Ulaya..kama kichekesho
7.Leopard wa Belgium kakata sana viganja vya wacongo - additionally 20Million dead.
8.Hawa wajinga ndo waliua hadi hao Wayahudi 6M..kwa gas na takataka nyingine.
9.Huko US black people kipindi cha utumwa- walibakwa, lawitiwa, na kufanywa chochote.
10.Huko US hata baada ya utumwa mpaka 1970's hapakuwa na mchangamano...n.k.
NYINYI mnaokaa mnaona sympathy kwa hao Wazungu..mnajielewa kweli??
Tunampenda Russia si kwa sababu yeye ni mtakatifu lkn sababu anatusaidia kutunyooshea hao wajinga - tunapata check and balance- anawatia speed governor..pateni picha Russia angekua ni genge lao - hawa jamaa wangeturudia tena mara ya pili.
Huo muda wanapambana na Urusi sisi tuchukue fursa zingine.
They thought they are exceptional - sasa wameingia cha kike - Tunamuombea Russia akamatie hapohapo....asilegeze...
KARMA ni hapahapa
Msg Sent and Received hata hivyo ujinga ni mwingi bora waliachie dude waje wengine wajipange
huyu ndiye kiongoz mpya wa germany mwaka huu"I will present an ultimatum to Putin to end the war in Ukraine in 24 hours.
If he does not agree, I will supply Ukraine with long-range Taurus missiles and give permission to strike on the territory of the Russian Federation."
- Friedrich Merz, Germany's main opposition leader and candidate for chanceView attachment 3149882llor
ngoja ziingie mzigon ndio tupate pichaHuyu ni mchambuzi wa masuala ya kijeshi kutokea Marekani ,na huu ndiyo uchambuzi wake!
Long-range strikes against Russia: too late to save Ukraine?
KYIV, Nov 18 (Reuters) - The U.S. decision to authorise long-range Ukrainian strikes could help Kyiv defend the foothold in Russia's Kursk region that it seized as leverage in any war talks, but may come too late to change the course of the war, analysts said.
"The decision comes late, and like other decisions in this vein, it may be too late to substantially change the course of the fighting," said Michael Kofman, a senior fellow at the Carnegie Endowment for International Peace in Washington.
November 18, 20245:16 PM GMT+3