LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia inaanguka. Ni taarifa zinazowapa makasiriko. Na hamtaki kuona comment yoyote inayoeleza madhaifu ya Russia.
 
Nimeamka na kupitia baadhi ya vyombo vikubwa vya habari, nisema tu nimesononeka sana sikuona habari yoyote ya respond ya russia kwa kiev.
Ukiwa mvumilivu sana wakati mwingine ni ujinga.. Putin plz embu fanya kama anavyofanya Netanyahu. Unachezewa sharubu ujue!! Unakwama wapi mzee baba? Aaarrgghhhhh
Majengo ya balozi za marekani, uingereza, ufaransa na german nataka kuona vifusi pale... Tuondolee hii aibu tafadhali.
 
Kwa hiyo mmeshahamisha magoli, kwamba mtazidungua,na vita itaendelea! Hakuna Tena zile Tambo za kupiga mataifa ya NATO 🤩😍🤩😍
 
Aache mbwembwe atume hata risas Moja katika taifa la NATO tuone ukuu wake!
 
Na wanamjaribu hivyo kwa sababu wameshamuona ni mtu wa matamko mengi tofauti na Russia ya waliyoizoea.

Ili udili na watu jamii ya UK na US inabidi ujitoe ufahamu ndiyo watakuelewa.

Ujinga ambao anafanyiwa Russia si North Korea wala Iran wanaweza wakafanyiwa, kwa sababu hawa watakupokea jinsi utakavyokuja.
 
Unajua humu kuna watu hawaelewi!

Ila mbeleni watatuelewa tu!
 
Kaanza USA kuruhusu silaha zake zitumike!

Kwa sasa ni UK!

Atafuata France!

Si ajabu mbeleni akafuata Poland!

Si ajabu akafuata Germany!

Kwa sababu umeshafuhusu kuchezewa sharubu!

Hata kama una plan mambo vizuri, hata kama una busara nzuri ila kuna mambo ni lazima uchore mipaka.

Na kuna watu huwa hawaamini! Putin tangu mwanzo wa hii SMO viongozi wenzake ndani ya Russia wakiwemo na makamanda kadhaa wa kijeshi hawakupendezwa na namna anavyoiendesha.

Makamanda wengi wamemshauri akiwemo Ramdan Kadyrov lakini Putin ushauri wao anakakataa.

Wa Ukraine ambao walikuwa wanavamia mipaka ya Urusi na kuteka raia kadhaa na maeneo kadhaa, Ramdan Kadyrov alimshauri Putin kuwa; Tupitishe sheria ya kijeshi na tuwarudishe raia nyuma na tuwaache wanajeshi tupu incase chochote kitakachotokea wanajeshi wapambane nao kwa haraka kwa sababu ni maeneo yanayovamiwa sana na Ukraine na kuleta athari kwa raia wetu.

Putin alikataa!
 
Shujaa wa kwenye Keyboard kwenye Moja na mbili....
 
Mpaka sasa Ukraine imepokea silaha nyingi za aina mbalimbali ambazo pro ukraine waliziita game changer lakini Ukraine imeshindwa kukomboa maneno yake zaidi ya kupoteza zaidi.
Mpaka sasa mafanikio makubwa ya Ukraine ni
1. kuteka wilaya ya Sudza ndani ya mkoa wa Kursk
2. Sabotage na taharuki anazozileta ndani ya Russia. Lengo likiwa ni Riot ya wananchi

Ni ukweli usiopingika kwamba mpaka sasa Pro Russia wengi wako disappointed kwasababu Kuna mambo yanakwenda tofauti na walivyotarajia, lakini wanapqswa kuelewa hiyo hali hata upande wa pro ukraine na pro NATO ipo tena ya kutosha. Refer kilichotokea Germany, Italy na Uk

Nashindwa kuamini kwamba sisi hapa jamii forums tunazijua strategies za vita kuliko na ugumu/urahisi wa kufanya maamuzi juu ya vita kuliko wahusika wa hiyo vita. Kwamba hapa jamii forums tuko very bright kuhusu hii SMO kuliko Putin na washauri wake ana kuliko NATO na washauri wao
 

Ila namuona Putin ana busara sana, hivi akiliamsha ujue dunia itapoteza watu wengi sana..hawa west ni kama wendawazimu hivi yani vampire fulani wanakunywa damu za watu hawatosheki
 
Ila namuona Putin ana busara sana, hivi akiliamsha ujue dunia itapoteza watu wengi sana..hawa west ni kama wendawazimu hivi yani vampire fulani wanakunywa damu za watu hawatosheki
Sio busara tu ni msikivu pia, sababu kaishaelezwa akijaribu kutumia nukes, watamtandika kwelikweli.
 
Umesahau yafuatayo.
1. kwamba hii operation ilitakiwa kumalizika ndani ya Siku tano.
2. Kwamba Urusi inapokea Siraha kutoka North Korea, Iran & Technology kutoka China, Ulaya na America.
3. Kwamba siraha zote alizopewa Ukraine ni kwa masharti zisitumike ndani ya Urusi.

Nadhani sasa ndio muda sahihi wa kuevaluate military superiority kati ya Rusia & Co NA Ukraine & Co.
 
Hizi vita tayari zimeishakuwa consolidated.
1. Pale Gaza na Lebanon Israel anapigana na Iran, kwa jina la Jewish State Oppression.
2. Vita hiyo inapaganwa Mpaka RED SEA ambako Iran kwa jina la Houth Lebels inapambana na USA & Co.
3. Ukraine na Rusia ni battle grounds tu, lakini washirika ni wengi USA & Co, Iran, North Korea, China.

Mwangwi wa mapigano maeneo hayo matatu unafika kote duniani na kuathiri ustawi wa kila mtu duniani.

Tayari tuko kwenye third world war.
 
Ukraine "cannot legally acknowledge any occupied territory of Ukraine as Russian," President Volodymyr Zelensky said when asked about ceding land to Russia in exchange for peace during an interview with Fox News published Nov. 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…