TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Umeusoma mchezo, safi sana. Na hapo halikubeba nuke!!!Wanajaribu kututoa mchezoni!Wewe kombora linabeba vichwa sita halafu halijazuiliwa na kitu chochote!
Inaonekana moja linabeba vilipuzi SITA.Mvua kubwa sana inanyesha ya ICBM
Halafu sasa DUBU yuko kimya kawaachia wao waseme kibaya zaidi waliopigwa hawajui wamepigwa na nini πππππππInaonekana moja linabeba vilipuzi SITA.
Maana nimeona milipuko 6 japo sijajua linafanyaje kazi hili duh!
Ile milipuko inatisha mkuu,maana huo moto unavyowaka doooh kama mimi askari wa Ukraine sishiki tena silaha.Halafu sasa DUBU yuko kimya kawaachia wao waseme kibaya zaidi waliopigwa hawajui wamepigwa na nini πππππππ
namana ukraine umeme hamna kabisaHii kitu imewachanganya sana mpaka wamaemua kuhamisha magoli kwa Netanyahu!
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1859567946768494788
Arrest warrants issued for Israeli PM Netanyahu and former defence secretary Gallant and senior Hamas commander over alleged war crimes
An arrest warrant was also issued for Hamas leader Mohammed Deif, whom Israel claims to have killed earlier this year.news.sky.com
Haka kajamaa kaigizaji kana ufala mwingi sana, limeshuka moja tu kashapagawaπ€£π€£Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!
Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'
Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.
"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.
The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".
Ukraine war latest: Trump 'hopes to announce minerals deal tonight' - after Zelenskyy's olive branch and truce talk
Donald Trump is hoping to announce an agreement with Ukraine in front of Congress tonight, according to Reuters. Earlier, Volodymyr Zelenskyy said it's "time to make things right" after his White House argument with Trump. Listen to the latest Trump 100 podcast below.news.sky.com
Halafu inasemekana sio ICBM,s ila ni vibomu tu vidogo vidogo vilitengenezwa na mabaki ya materials baada ya ICBM zenyewe kumaliziwa kutengenezwa.Sasa ICBM zenyewe zikitumika itakuaje πππππππWATCH AND WAIT
II BADO NI SECOND CLASS ATTACK
Aah wapi, hakuna Cha maana urusi anafanya huko,Bora hata angefanya Mass attacks kama alivofanya wiki iliyopita kwa kupiga vituo vya umeme,hiyo kidogo ingesaidia kuwapoza maumivu mashabiki wake πππIle milipuko inatisha mkuu,maana huo moto unavyowaka doooh kama mimi askari wa Ukraine sishiki tena silaha.
Safi kabisa na ni ukweli Kwa asilimia mia moja.China ilikuwa na sababu kabisa hata za kuweza kuleta mzozo mkali kama vita Taiwan au hata kushambulia ndege ya Pelosi.
Je, watu tunajiuliza kwa nini uchina hawakufanya hivyo zaidi tu waliwaonesha Taiwan kuwa wanaweza kuwazunguka kwa kupitia mazoezi ya kijeshi waliyofanya.
Je, China ni dhaifu ?
Je, tunafikiri ni Xi pekee ndie aliyesema Taiwan isishambuliwe ?
Je, China haina wataalam wa kupima kila hatua watakazo chukua na kuona ni sahihi ama sio sahihi ?
Haya maswali tunaweza pia kujiuliza kuhusu Russia.
Silaha alizonazo Russia zinahitaji kabisa utulivu na Putin kwa kweli mpaka sasa namsifu kwa hilo.
Putin anaweza kukifanya kile anachofanya Netanyahu rahisi tu lakini je, matokeo ya maamuzi yake yupo tayari kuyabeba ? Je, hata marafiki zake watakubali kumkingia kifua ?
Kuwawinda viongozi wa Ukraine hawezi shindwa, kufanya collective punishment kisa kuua askari mmoja au wawili hawezi shindwa, kulipua raia hovyo sehemu mbalimbali na kutunga uongo kujitetea hawezi pia shindwa.
Mambo mengi ya ajabu Putin na jopo lake hawawezi shindwa kuyatolea maamuzi lakini matokeo ya maamuzi hayo ni mabaya sana kwa taswira ya urusi na warusi hata political instability ndani ya Urusi nina hakika lazima itokee na political instability mashariki mwa ulaya lazima itokee hii ni mbaya sana kwa usalama wa Urusi kuliko hata sasa.
Maisha ya Israel na Waisrael kwa kweli ni ya ajabu kisa matendo haya haya sidhani kama putin na warusi watakubali na kufurahi Russia ikiwa hivyo.
Ogopa sana mpo kama 50Halafu inasemekana sio ICBM,s ila ni vibomu tu vidogo vidogo vilitengenezwa na mabaki ya materials baada ya ICBM zenyewe kumaliziwa kutengenezwa.Sasa ICBM zenyewe zikitumika itakuaje πππππππ
Hii sentensi sentesi nimeelewaakiweka ugoko wewe unaweka chuma.
Tena bangi mbichi za kuvuta chooni.πππ kweli bangi sio nzuri.
Omba uhai mrefuHivi bado hamjagundua kuwa Putin na Russia yake hawana uwezo mkubwa zaidi ya mikwala na vitisho tu. Na tayari US/NATO wameshajua kuwa Russia anapigika kirahisi sana na ni joka lisilo na sumu. Na kuna uwezekano tayari NATO wanazo targets zote muhimu zilizopo Russia KINACHOSUBIRIWA NI MUDA MUAFAKA TU UFIKE.
Binafsi ningependa sana dunia iwe na balanced power au two Blocks hasa kwa faida yetu sisi vi nchi maskini kuliko kuwa na Mbabe mmoja tu duniani ambaye atatuendesha anavyotaka yeye. Ningependa sana Russia ashinde LAKINI KWA MOVE INAVYOENDELEA NI DHAHIRI RUSSIA INAKWENDA KUPIGWA NA KUANGUKA VIBAYA TENA ANGUKO KUBWA KULIKO LILE LA UJERUMANI YA HITLER.
ππππ Sasa ana lalamika nini !?Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!
Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'
Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.
"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.
The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".
Ukraine war latest: Trump 'hopes to announce minerals deal tonight' - after Zelenskyy's olive branch and truce talk
Donald Trump is hoping to announce an agreement with Ukraine in front of Congress tonight, according to Reuters. Earlier, Volodymyr Zelenskyy said it's "time to make things right" after his White House argument with Trump. Listen to the latest Trump 100 podcast below.news.sky.com
ππππ€£π€£ Wana wachokoza wenyewe lakini Acha yawakuteInaonekana moja linabeba vilipuzi SITA.
Maana nimeona milipuko 6 japo sijajua linafanyaje kazi hili duh!
π€£π€£π€£π€£π€£Ile milipuko inatisha mkuu,maana huo moto unavyowaka doooh kama mimi askari wa Ukraine sishiki tena silaha.