LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!

Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'​

Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.

"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.

The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".

Haka kajamaa kaigizaji kana ufala mwingi sana, limeshuka moja tu kashapagawa🤣🤣
 
Ile milipuko inatisha mkuu,maana huo moto unavyowaka doooh kama mimi askari wa Ukraine sishiki tena silaha.
Aah wapi, hakuna Cha maana urusi anafanya huko,Bora hata angefanya Mass attacks kama alivofanya wiki iliyopita kwa kupiga vituo vya umeme,hiyo kidogo ingesaidia kuwapoza maumivu mashabiki wake 🏃🏃🏃
 
China ilikuwa na sababu kabisa hata za kuweza kuleta mzozo mkali kama vita Taiwan au hata kushambulia ndege ya Pelosi.

Je, watu tunajiuliza kwa nini uchina hawakufanya hivyo zaidi tu waliwaonesha Taiwan kuwa wanaweza kuwazunguka kwa kupitia mazoezi ya kijeshi waliyofanya.

Je, China ni dhaifu ?
Je, tunafikiri ni Xi pekee ndie aliyesema Taiwan isishambuliwe ?
Je, China haina wataalam wa kupima kila hatua watakazo chukua na kuona ni sahihi ama sio sahihi ?

Haya maswali tunaweza pia kujiuliza kuhusu Russia.

Silaha alizonazo Russia zinahitaji kabisa utulivu na Putin kwa kweli mpaka sasa namsifu kwa hilo.

Putin anaweza kukifanya kile anachofanya Netanyahu rahisi tu lakini je, matokeo ya maamuzi yake yupo tayari kuyabeba ? Je, hata marafiki zake watakubali kumkingia kifua ?

Kuwawinda viongozi wa Ukraine hawezi shindwa, kufanya collective punishment kisa kuua askari mmoja au wawili hawezi shindwa, kulipua raia hovyo sehemu mbalimbali na kutunga uongo kujitetea hawezi pia shindwa.

Mambo mengi ya ajabu Putin na jopo lake hawawezi shindwa kuyatolea maamuzi lakini matokeo ya maamuzi hayo ni mabaya sana kwa taswira ya urusi na warusi hata political instability ndani ya Urusi nina hakika lazima itokee na political instability mashariki mwa ulaya lazima itokee hii ni mbaya sana kwa usalama wa Urusi kuliko hata sasa.

Maisha ya Israel na Waisrael kwa kweli ni ya ajabu kisa matendo haya haya sidhani kama putin na warusi watakubali na kufurahi Russia ikiwa hivyo.
Safi kabisa na ni ukweli Kwa asilimia mia moja.
Nadhani katika kitu wamarekani wanajuta ni Hiroshima na Nagasaki.
Sio vizuri kiongozi Bora kabisa hapa chini ya jua Bwana Putin kuvutwa kirahisi katika kuiingiza Dunia katika janga kubwa .
 
Halafu inasemekana sio ICBM,s ila ni vibomu tu vidogo vidogo vilitengenezwa na mabaki ya materials baada ya ICBM zenyewe kumaliziwa kutengenezwa.Sasa ICBM zenyewe zikitumika itakuaje 😁😁😁😁😁😁😁
Ogopa sana mpo kama 50
Mnamchangia jamaa mmoja kwa kila mbinu mnashirikiana
Alafu anawagonga kwa mkono mmoja bado mnarudi nyuma

Kama drafti mnamchangia master mmojana anawatutusa.
Uku anaongea na simu.
Kiufupi hata nuclear hazitamsaidia ukraine
 
Hivi bado hamjagundua kuwa Putin na Russia yake hawana uwezo mkubwa zaidi ya mikwala na vitisho tu. Na tayari US/NATO wameshajua kuwa Russia anapigika kirahisi sana na ni joka lisilo na sumu. Na kuna uwezekano tayari NATO wanazo targets zote muhimu zilizopo Russia KINACHOSUBIRIWA NI MUDA MUAFAKA TU UFIKE.

Binafsi ningependa sana dunia iwe na balanced power au two Blocks hasa kwa faida yetu sisi vi nchi maskini kuliko kuwa na Mbabe mmoja tu duniani ambaye atatuendesha anavyotaka yeye. Ningependa sana Russia ashinde LAKINI KWA MOVE INAVYOENDELEA NI DHAHIRI RUSSIA INAKWENDA KUPIGWA NA KUANGUKA VIBAYA TENA ANGUKO KUBWA KULIKO LILE LA UJERUMANI YA HITLER.
Omba uhai mrefu
 
Mwangalie baba yako alivyochanganyikiwa!

Zelenskyy: Russia has used a new missile that has 'characteristics of ICBM'​

Volodymyr Zelenskyy has claimed that Russia used a "new type" of missile in an attack on Ukraine today.

"Today, our crazy neighbour has once again shown what he really is and how he despises dignity, freedom, and human life in general," Zelenskyy said in a statement.
"He is so afraid that he is already using new missiles," he added.

The Ukrainian leader said the missile was of Russian origin, and that it "has all the characteristics - speed, altitude - of an intercontinental ballistic missile".

😁😁😁😁 Sasa ana lalamika nini !?

Ila zelensky bhana kwahiyo yeye alitegemea Arushe mabomu direct to Russia then wamkalie kimya hahaha nimecheka sana
 
Back
Top Bottom