LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unaongea na kijana wa form six mkuu....usipoteze muda na rasilimali akili
 

Tunasubir Putin atupie hata unyoya kwenye nchi mojawapo mwanachama wa NATO,aache kujificha kwenye kichaka Cha Ukraine, NATO tayari wamembonda,atoe majibu kama alivoaidi 🏃🏃
 
Hawa pro Russia ni wazee wa kutupiga kamba tu ,hii vita Putin imemuelemea kabisa,nchi kubwa kama urusi kupingana na nchi iliyoko mpakani mwake with full force,Tena kwa Miaka 3 ni aibu mno Tena aibu isiyoneneka🏃🏃🏃
Afghanistani na Vietnam na somalia ilikuwaje?.kule Syria si walikuwa wanasema Assad must go, vipi ikawaje tena wakabadili kauli yao.
 
Afghanistani na Vietnam na somalia ilikuwaje?.kule Syria si walikuwa wanasema Assad must go, vipi ikawaje tena wakabadili kauli yao.
Hiyo ni tisa..,kumi tusijisahaulishe kwamba Putin alisema bila kupepesa macho kwamba Long range missiles anayezicontrol ni NATO, Hivyo zikitimika Ina maana NATO ndio watakuwa wamemshambulia na majibu hayatachelewa ,nashangaa mpaka Sasa bado anabung'aa tuu 🏃🏃
 
🇺🇦🚀 Ukraine already has the capacity to produce 3,000 cruise missiles next year, it only needs contracts for purchase, - Forbes

❗️8 missiles per day, this exceeds the pace of the Russians and Americans. The price of the issue is from $3 billion…

 
Bwashee hicho kiwanda ambacho kilikuwa na mpango wa kuzalisha hizo missiles ndio jana Oreshnik zilikuwa zinaruka sarakasi
 
⚡Lieutenant General Sir Robert Andrew Magowan, Deputy Chief of the British Army:

If the British Army was asked to fight tonight, it would fight tonight against Russia.

He emphasized that the UK would respond robustly to any Russian invasion in Eastern Europe.

NOTE: British Land Army is currently at its smallest size since the 1700s.
 
Some Africans
 

Attachments

  • 18913079_gc3vu1bwsaae9i_jpeg_jpegb71bcfca48f0b0de0793a1db9577989a.jpeg
    125 KB · Views: 3
  • 18913080_gc3vvaowoaaymls_jpeg_jpegb293af3b0053ce6efe367643c3ec8801.jpeg
    114.1 KB · Views: 4
  • 18913081_gc3vw9txwaaye8z_jpeg_jpege2fad93b164e834469d218de27a90c05.jpeg
    170 KB · Views: 3
  • 18913082_gc3vx1yxoaawa4v_jpeg_jpegbfb109e018e38ce2262151bb06f7955b.jpeg
    179.7 KB · Views: 3
🇷🇺Putin:

Russia has fulfilled its missile non-proliferation agreements, while the US has not.

We have the right to use weapons against military targets for those who use weapons against us.

The West should think carefully about plans to allow strikes deep inside Russia.

There is no air defense in the world that can intercept the Russian Oreshnik missile.
 
🇷🇺🇺🇦⚡- "Today there was a new Russian rocket. All characteristics - speed, altitude - intercontinental ballistic. Examinations are now underway. It is obvious that Putin is using Ukraine as a testing ground," - Volodymyr Zelenskyi, President of Ukraine
 
🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Western long-range weapons were used on Russian territory."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "The enemy's targets were not achieved after the strikes."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "The target of the Russian strike [ICBM] was a military-industrial facility in Dnepropetrovsk, the target was successfully hit."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Russia strikes Yuzhmash [in Dnepr] with non-nuclear hypersonic ballistic missile."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "The use of long-range weapons by the enemy cannot affect the course of the Special Military Operation."


🇷🇺🇺🇦⚡- Putin: "Russia considers itself entitled to use weapons against facilities of those countries that allow their weapons to be used against Russian facilities."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…