Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu naamini umeshaona majibu ya Putin at least kwa Sasa. Ila naamini vita inaelekea mwisho.
Winter is coming so does Trump.
 
Hilo eneo Kulikua na Wamarekani wengi wamemalizikia huko huko chini wote
 
Nadhani tarehe 26 Nov kuna kikao cha NATO, ngoja tusubiri kitakacho jadiliwa, ila pia itakuwa kupunguza Ukraine strike inside Russia
Orban alisema ASILIMIA 80 ya maongezi ya Nato ni usanii na uongo!!! Akiwambia kabisa msilete mchezo chukueni haya maonyo ya Urusi seriously sio utani utani jamaa ataachia dude kweli itakua shida...
 
Bado wanajiuliza kuhusu Oreshnik! Angalia huo umbali halafu angalia hizo dakika! Sisi acha tuendelee kujenga vyoo!

​

Russian missile reached speed of more than 8,000 miles per hour, Ukraine says​


KYIV, Nov 22 (Reuters) - The Russian missile that struck the Ukrainian city of Dnipro on Thursday reached a top speed of more than 13,000 kph (8,000 mph) and took about 15 minutes to reach its target from its launch, Ukraine said on Friday in its first public assessment of the new weapon.

November 22, 20245:33 PM GMT+3

 
Unaambiwa kutoka Russia mpaka uingereza oreshnik linatumia dakika 17 Tu 🀣 🀣
 
Oreshnik ni jini
 
Zikipelekwa 200 London inakuwa mavumbini
 
Warusi tambeni muda huu na kibalistic missile chenu ila hatma yenu inakuja ngojeni NATO wakae tarehe 26. Baada ya kikao anguko la Russian Federation πŸ‡·πŸ‡Ί linakuja. Save this post
Mbaya zaidi inaonekana trump ameanza kugeukia upande mwingine πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

⚑⚑U.S. Senator Mike Rounds, a Republican and ally of President-elect Donald Trump, said on Nov. 22 that Russia could not be trusted to engage in peace negotiations to end the full-scale war in Ukraine.⚑⚑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…