kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Najiuliza warusi walimkosea nini mungu mpaka wanachinjwa kama kuku kiasi hiki..,hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na miasaba walilambishwa mchanga 😭😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa Cuba ilikua nchi ya kibepali wapigania ucominst wakina Fidel Castro na jamaa yake Che Gevuara waliipidua utawala wa Sundaynister ikawa nchi ya kikoministCuba pia ni nchi huru inayotakiwa kuamua mambo yake bila kuingiliwa na mtu yeyote, nini kilisababisha Cuban missile crisis?
Kwanini uwepo wa makombora ya nyuklia Cuba ilibaki kidogo kusababisha vita ya tatu ya dunia?
Ukielewa hilo utaelewa kwanini Urusi aliivamia Ukraine.
Na pia kama unaelewa jiografia ya Urusi, sio rahisi kuvamiwa na Nato kupitia Finland, eneo pekee ambako Urusi yupo vulnerable kwa Nato na ni karibu sana na Moscow ni kupitia Ukraine ndio maana hakuna namna Urusi anaweza ruhusu Ukraine ijiunge Nato au kuwa koloni la Marekani.
Tukirudi kwenye hiyo Cuban missile crisis, kwanini Marekani walikubali kuondoa makombora yao ya nyuklia Italia na Uturuki ndio Urusi nae akakubali kuondoa ya kwake Cuba?
Au wewe hii ishu unaiangalia kuanzia 2022??!!
The Cuban Missile Crisis, also known as the October Crisis (Spanish: Crisis de Octubre) in Cuba, or the Caribbean Crisis (Russian: Карибский кризис, romanized: Karibskiy krizis), was a 13-day confrontation between the governments of the United States and the Soviet Union, when American deployments of nuclear missiles in Italy and Turkey were matched by Soviet deployments of nuclear missiles in Cuba. The crisis lasted from 16 to 28 niniOctober 1962. The confrontation is widely considered the closest the Cold War came to escalating into full-scale nuclear war.[1]
Bulelaa, ukitaka uone uhuni mkubwa zaidi basi CHINA au RUSSIA au INDIA waanzishe ushirikiano wa kijeshi na Mexico,CUBA BAHAMAS au Puerto Rico au hata Venezeula. Kwa taarifa yako kitendo hiki cha ushirikiano wa hizi nchi huru kabisa,bwana USA anakitafsiri kuwa ni tangazo la vita dhidi yake.Kasome MONROE DOCTRINE.Kitendo hiki ndicho kilicholeta CUBA MISSILE CRISIS ya 1960s.Mnapenda sana ushabiki usio na tija mkuu
Ukraine ni taifa huru lililojimega kutoka muungano wa SSR na likapewa uhuru wake na kutambulika kimataifa, na tena halikuwa taifa hilo pekee katika kujimega kutoka muungano huo na yote yalitambuliwa
Linapokuja suala la namna ipi Ukraine ijiendeshe, taifa lolote halina mamlaka ya kuliamlia kwa wananchi wake
Russia ni mhuni tu na hii lana haitawaacha mkuu,hata wakishinda leo, lakini miaka mingi ijayo, hiyo laana itawarudia
Watakuja kupiga kombora hadi NATO iunde kamati maalumu kuchunguza ni silaha gani imetumika... Russia sio wajinga watumie nguvu zao zote kijeshi hali ya kuwa wakifahamu bado kuna maadui wengine kutoka NATO wanaosubiri Russia iliyodhiofika.West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Nimekuelewa. Kwahiyo hizi taarifa kuwa Ukraine inapigwa vibaya na kupoteza maeneo yao kumbe ni PropagandaMnahangaika sana kuelewesha watu wasiojua ABC's
Kwa ulimwengu wa sasa kila kitu kipo wazi.
Japo Propaganda ni nyingi mnoo.
Mwenzako anakwambia kwanini urafiki wa USSR na Cuba ulimkasirisha Marekani karibia kuleta vita ya nuke?Kwa taarifa Cuba ilikua nchi ya kibepali wapigania ucominst wakina Fidel Castro na jamaa yake Che Gevuara waliipidua utawala wa Sundaynister ikawa nchi ya kikominist
Watawala wake wakalimbilia USA
Kama kawaida rafiki ya adui yako naye ni adui yako
Vivyo hivyo adui wa adui yako ni rafiki yako hapo uswahiba wa USSR na Cuba ulitamalaki USSR akaweka besi hapo ikawa faida Kwa Cuba dhidi watawala wa awali walio kimbilia USA
Na USSR dhidi ya marekani hizo ndizo sababu ya siraha za ki soviet kuwepo Cuba
Nchi ya Cuba ilimkaribisha soviet union USSR hakuivamia cuba
Matangazo kidogo! Kama Rais wa nchi tajiri anaambiwa hivi,wewe ombaomba utaambiwa nini??
View: https://twitter.com/LeadingReport/status/1863743810628403435
Mkuu kwa heshima na taadhima naomba tuishie hapa.Kwa taarifa Cuba ilikua nchi ya kibepali wapigania ucominst wakina Fidel Castro na jamaa yake Che Gevuara waliipidua utawala wa Sundaynister ikawa nchi ya kikominist
Watawala wake wakalimbilia USA
Kama kawaida rafiki ya adui yako naye ni adui yako
Vivyo hivyo adui wa adui yako ni rafiki yako hapo uswahiba wa USSR na Cuba ulitamalaki USSR akaweka besi hapo ikawa faida Kwa Cuba dhidi watawala wa awali walio kimbilia USA
Na USSR dhidi ya marekani hizo ndizo sababu ya siraha za ki soviet kuwepo Cuba
Nchi ya Cuba ilimkaribisha soviet union USSR hakuivamia cuba
Hata hueleweki na sijui kama unaelewa unachokiona hata Ufaransa pia nchi ya kimapinduzi hapa duniani sijui kama kuna nchi zinafika 50 ziwe sio zakimapinduzi swali ni kwamba kwa nini Cuba ilitaka kupelekea vita ya tatu ya dunia ila Ukraine munadai kua ni nchi huruKwa taarifa Cuba ilikua nchi ya kibepali wapigania ucominst wakina Fidel Castro na jamaa yake Che Gevuara waliipidua utawala wa Sundaynister ikawa nchi ya kikominist
Watawala wake wakalimbilia USA
Kama kawaida rafiki ya adui yako naye ni adui yako
Vivyo hivyo adui wa adui yako ni rafiki yako hapo uswahiba wa USSR na Cuba ulitamalaki USSR akaweka besi hapo ikawa faida Kwa Cuba dhidi watawala wa awali walio kimbilia USA
Na USSR dhidi ya marekani hizo ndizo sababu ya siraha za ki soviet kuwepo Cuba
Nchi ya Cuba ilimkaribisha soviet union USSR hakuivamia cuba
Matangazo kidogo! Kama Rais wa nchi tajiri anaambiwa hivi,wewe ombaomba utaambiwa nini??
View: https://twitter.com/LeadingReport/status/1863743810628403435
Ndio maana tumekuambia uvumilivu uliishinda Russia.Katika majirani wote wa Russia ni Ukraine tu ambaye akijiunga NATO atahatarisha usalama wa Russia? Mbona majirani zake wengine wamejiunga na hana habari nao?
Pamoja na kwamba Kuna maeneo Mimi hua napingana na wewe lkn Kwa hapa nakuunga mkono.Jitahidi sana kutafuta maarifa. Pia jiulize kwa nchi majirani zinazoizunguka nchi yako ya Tz ni ipi ina muhimu zaidi kwa Tz Kiusalama au hata Kiuchumi.
Pia jiulize ni kwanini Muungano wa Tanganyika na Znz una faida zaidi kwa Tanganyika.
Mtaalu kutoka bonyokwa unaifahamu Canada zaidi ya TrumpKitu impossible kutokea.
Shida Trump muda mwingine ana mihemko kama Magufuli.
Canada ni taifa lililosimama tayari lenye mianya mingi ya kukuza uchumi.
Na sasa kuna balance of power sio kama zamani ikikunyima USA umefeli nooop.
Hata hao Canada wanacho cha kuinyima USA.