LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwa taarifa Cuba ilikua nchi ya kibepali wapigania ucominst wakina Fidel Castro na jamaa yake Che Gevuara waliipidua utawala wa Sundaynister ikawa nchi ya kikominist
Watawala wake wakalimbilia USA
Kama kawaida rafiki ya adui yako naye ni adui yako
Vivyo hivyo adui wa adui yako ni rafiki yako hapo uswahiba wa USSR na Cuba ulitamalaki USSR akaweka besi hapo ikawa faida Kwa Cuba dhidi watawala wa awali walio kimbilia USA
Na USSR dhidi ya marekani hizo ndizo sababu ya siraha za ki soviet kuwepo Cuba
Nchi ya Cuba ilimkaribisha soviet union USSR hakuivamia cuba
 
Bulelaa, ukitaka uone uhuni mkubwa zaidi basi CHINA au RUSSIA au INDIA waanzishe ushirikiano wa kijeshi na Mexico,CUBA BAHAMAS au Puerto Rico au hata Venezeula. Kwa taarifa yako kitendo hiki cha ushirikiano wa hizi nchi huru kabisa,bwana USA anakitafsiri kuwa ni tangazo la vita dhidi yake.Kasome MONROE DOCTRINE.Kitendo hiki ndicho kilicholeta CUBA MISSILE CRISIS ya 1960s.
Tuje hata sisi hapa Tanzania kwa mfano,kuwe na nchi ambayo inaiangalia jamhuri yetu kwa jicho la husda,na itangaze dhamira yake ya kuisambaratisha jamhuri yetu tukufu..Halafu ghafla tusikie nchi hiyo inaingia ushirikiano wa kijeshi na mmoja wa majirani zetu.Unafikiri kama nchi tutaangalia tu? NEVER.
 
West bado hawaelewi ni nini kile maana akijakaa kama ICBM ,iskandar wala kinzhal
Watakuja kupiga kombora hadi NATO iunde kamati maalumu kuchunguza ni silaha gani imetumika... Russia sio wajinga watumie nguvu zao zote kijeshi hali ya kuwa wakifahamu bado kuna maadui wengine kutoka NATO wanaosubiri Russia iliyodhiofika.

Russia bado ina uwezo wa kupambana zaidi , hawawezi tumia silaha zao zote hapo Ukraine, kuna silaha special zitatumika NATO wakijichanganya ...

Ni upuuzi watu kuwaza Russia inatumia resources zake zote nchini Ukraine.

Russia inapambana kiujanja sana, ikijua NATO muda wowote wanaweza kumvamia.
 
Ukweli mchungu! Ila inabidi umezwe!

Analysis: Behind the scenes, NATO is realising that a peace deal is coming​

Senior NATO figures are slowly coming round to the idea that a peace deal between Ukraine and Russia is looming, our Europe correspondent Adam Parsons has said.

"The important thing is behind the scenes, [there is] growing realisation that the deal is going to have to be done - and for some in Ukraine it could be a very painful deal."

 
Mnahangaika sana kuelewesha watu wasiojua ABC's
Kwa ulimwengu wa sasa kila kitu kipo wazi.
Japo Propaganda ni nyingi mnoo.
Nimekuelewa. Kwahiyo hizi taarifa kuwa Ukraine inapigwa vibaya na kupoteza maeneo yao kumbe ni Propaganda
 
Mwenzako anakwambia kwanini urafiki wa USSR na Cuba ulimkasirisha Marekani karibia kuleta vita ya nuke?
 
Mkuu kwa heshima na taadhima naomba tuishie hapa.
 
🇫🇮In Finland, a candidate was removed from the election lists for refusing to condemn Russia’s invasion of Ukraine.

The case concerns Ivan Devyatkin, a member of the Social Democratic Party. He was excluded from the list of candidates in municipal elections for acting contrary to party values.

In an interview, Devyatkin stated that he considered Finland’s closure of the border with Russia a violation of human rights and referred to Finland as the 51st state of the United States. He also failed to answer whether Russia’s invasion of Ukraine was justified. Meanwhile, the Social Democratic Party of Finland requires candidates to have a clear stance on the Russia-Ukraine war.

Ivan Devyatkin was born in Russia. He moved to the Finnish city of Lappeenranta in 2012 to pursue a PhD in ecology.

 
Hata hueleweki na sijui kama unaelewa unachokiona hata Ufaransa pia nchi ya kimapinduzi hapa duniani sijui kama kuna nchi zinafika 50 ziwe sio zakimapinduzi swali ni kwamba kwa nini Cuba ilitaka kupelekea vita ya tatu ya dunia ila Ukraine munadai kua ni nchi huru
 
Katika majirani wote wa Russia ni Ukraine tu ambaye akijiunga NATO atahatarisha usalama wa Russia? Mbona majirani zake wengine wamejiunga na hana habari nao?
Ndio maana tumekuambia uvumilivu uliishinda Russia.
Ni kweli majirani zake Urusi wengi walijiunga na NATO.
Urusi hakukaa kimya,aliendelea kuwakumbusha Kila mara kuhusu kuendelea kujitanua kwa NATO,wao wakawa wanamdharau.
Suala la Ukraine waliendelea kumdharau wakijua ataendelea kulalamika TU bila hatua zozote.
Nadhani kwa suala la Ukraine kutaka kujiunga na NATO kwa Urusi ilikua ndio Red line yake.
Kwamba kuachia Ukraine ijiunge na NATO ni kuvuka red line.
Na nadhani ndio maana Urusi wakaamua kui demilitarize Ukraine.
Haya ukiangalia vizuri katika nchi zote zilzoKua sehemu ya USSR zilizojitenga na kujiunga na NATO hakuna nchi kubwa na yenye uwezo kama Ukraine.
Vikina Estonia,Latvia,Lithuania n.k ni vi nchi vidogovidogo mno.
 
Jitahidi sana kutafuta maarifa. Pia jiulize kwa nchi majirani zinazoizunguka nchi yako ya Tz ni ipi ina muhimu zaidi kwa Tz Kiusalama au hata Kiuchumi.
Pia jiulize ni kwanini Muungano wa Tanganyika na Znz una faida zaidi kwa Tanganyika.
Pamoja na kwamba Kuna maeneo Mimi hua napingana na wewe lkn Kwa hapa nakuunga mkono.
Uko sahihi kabisa.
 
Mtaalu kutoka bonyokwa unaifahamu Canada zaidi ya Trump
 
⚡️🇩🇪 Germany will provide Ukraine with a sixth IRIS-T and Sea King helicopters, - Scholz at a press conference with Zelenskyy

The German Chancellor also confirmed that Ukraine will receive Patriot launchers and Gepard self-propelled anti-aircraft guns in December.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…