LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naona NATO wameleta mchachuzi mpya kurithi mapengo ya kina yoda
 
Hawa jamaa shida ni nn?
 
Matangazo

⚡South Korean Army General Park An-soo has been appointed as Martial Law Commander.

All political activities are banned and media is under military censorship from now on in South Korea.
 

Attachments

  • 18937427_gd4zyvkwiaagfsq_jpeg_jpegec1f7192b8d5944df6448c4672bb7ad6.jpeg
    40.1 KB · Views: 4
⚡South Korean authorities announce that violators of martial law decree can be arrested without a warrant.
 

Hawa wajinga sana ni matakataka kabisa ndio yalitunga uongo eti Russia anasaidiwa na NK.Kumbe menyewe ndio zero
 
Nadhani ishu ya south korea ilikuwa designated kutia pressure kwa North Korea asipeleke askari kujifunza modern warfare Urusi na Artillery shells. Ila katika kui stage walifanya miscalculation au hawakutegemea backlash ya bunge na wananchi

Hii ni intelligence failure kwa South Korea na backers
 
Hatari kweli kweli. Hivi wakati unaandika haya ulishirikisha ubongo? Kwamba Boris Yetsin ndo alikuwa rais wa Urusi ndani ya USSR na Gobachev ndo rais wa USSR wakati na hivyo Yetsin alipoondoka na URUSI yake ndo Gobachev akaona isiwe taabu aondoke na UKRAINE yake. Hatari ya Mwaka. Hebu rudia kusoma tena ulicholeta humu.
 
Nimesikitika
Kwa kweli mtu kaandika kama kakatwa kichwa
 
Jitahidi sana kutafuta maarifa. Pia jiulize kwa nchi majirani zinazoizunguka nchi yako ya Tz ni ipi ina muhimu zaidi kwa Tz Kiusalama au hata Kiuchumi.
Pia jiulize ni kwanini Muungano wa Tanganyika na Znz una faida zaidi kwa Tanganyika.
Kama hutaona shida naomba ufafanuzi wa hili la muungano wa tanganyika na zanzibar. Nimekuwa miongoni mwa wanaotatizwa na suala hili kwa muda mrefu hasa faida zake kwa pande zote mbili.
 
 
Ndivyo ilivyo kua kuna masimulizi mengi
 
Russia Begins Withdrawing Ships from Tartus as Opposition Gains in Syria

Russia is reportedly withdrawing its naval ships from Tartus, its sole military port in the Mediterranean, amid the rapid advance of opposition forces in Syria, according to Naval News, citing OSINT analysts.

A Droxford Maritime analyst attributes the withdrawal to deteriorating conditions on the ground. Syrian President Bashar al-Assad’s forces, supported by Russia, have been retreating for three days, culminating in the loss of Aleppo, Syria’s second-largest city.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…