LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
USSR ni umoja wa nchi za ki Soviet Russia na Ukraine wakiwa sehemu ya umoja huo ulipo sambaratika kipindi cha Gorbachev akiwa raisi wa USSR
Boris yersin na Russia ndiyo nchi ya Kwanza kujiondoa katika umoja huo wakifuatiwa na nchi nyingine nyingi na ya mwisho ni Ukraine Gorbachev alikosa nchi ya kutawala
Kama sasa ikitokea USA ikasambaratika hizo state na maseneta wao wanaweza kujiondoa na tramp akaosa nchi ya kutawala j
Jeshi ilikua la USSR sio la Russia hivyo siraha za nyukiria zilizokua Ukraine zilibaki kua za Ukraine
mpaka huo mukataba Tata wa Minsk ambazo siraha zake za nyukiria alisalimisha
Naona NATO wameleta mchachuzi mpya kurithi mapengo ya kina yoda
 
Tupate matangazo kutoka South Korea!

Troops attempting to enter main parliament hall​

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1863961943733620953

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1863966383500886174

Hawa jamaa shida ni nn?
 
Matangazo

⚡South Korean Army General Park An-soo has been appointed as Martial Law Commander.

All political activities are banned and media is under military censorship from now on in South Korea.
 
Attachments

  • 18937427_gd4zyvkwiaagfsq_jpeg_jpegec1f7192b8d5944df6448c4672bb7ad6.jpeg
    18937427_gd4zyvkwiaagfsq_jpeg_jpegec1f7192b8d5944df6448c4672bb7ad6.jpeg
    40.1 KB · Views: 4
⚡South Korean authorities announce that violators of martial law decree can be arrested without a warrant.
 
Tupate matangazo kutoka South Korea!

Troops attempting to enter main parliament hall​

View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1863961943733620953..ha

Hawa wajinga sana ni matakataka kabisa ndio yalitunga uongo eti Russia anasaidiwa na NK.Kumbe menyewe ndio zero
 
Nadhani ishu ya south korea ilikuwa designated kutia pressure kwa North Korea asipeleke askari kujifunza modern warfare Urusi na Artillery shells. Ila katika kui stage walifanya miscalculation au hawakutegemea backlash ya bunge na wananchi

Hii ni intelligence failure kwa South Korea na backers
 
USSR ni umoja wa nchi za ki Soviet Russia na Ukraine wakiwa sehemu ya umoja huo ulipo sambaratika kipindi cha Gorbachev akiwa raisi wa USSR
Boris yersin na Russia ndiyo nchi ya Kwanza kujiondoa katika umoja huo wakifuatiwa na nchi nyingine nyingi na ya mwisho ni Ukraine Gorbachev alikosa nchi ya kutawala
Kama sasa ikitokea USA ikasambaratika hizo state na maseneta wao wanaweza kujiondoa na tramp akaosa nchi ya kutawala j
Jeshi ilikua la USSR sio la Russia hivyo siraha za nyukiria zilizokua Ukraine zilibaki kua za Ukraine
mpaka huo mukataba Tata wa Minsk ambazo siraha zake za nyukiria alisalimisha
Hatari kweli kweli. Hivi wakati unaandika haya ulishirikisha ubongo? Kwamba Boris Yetsin ndo alikuwa rais wa Urusi ndani ya USSR na Gobachev ndo rais wa USSR wakati na hivyo Yetsin alipoondoka na URUSI yake ndo Gobachev akaona isiwe taabu aondoke na UKRAINE yake. Hatari ya Mwaka. Hebu rudia kusoma tena ulicholeta humu.
 
Nimesikitika

Kwa kweli mtu kaandika kama kakatwa kichwa
 
Jitahidi sana kutafuta maarifa. Pia jiulize kwa nchi majirani zinazoizunguka nchi yako ya Tz ni ipi ina muhimu zaidi kwa Tz Kiusalama au hata Kiuchumi.
Pia jiulize ni kwanini Muungano wa Tanganyika na Znz una faida zaidi kwa Tanganyika.
Kama hutaona shida naomba ufafanuzi wa hili la muungano wa tanganyika na zanzibar. Nimekuwa miongoni mwa wanaotatizwa na suala hili kwa muda mrefu hasa faida zake kwa pande zote mbili.
 
Hatari kweli kweli. Hivi wakati unaandika haya ulishirikisha ubongo? Kwamba Boris Yetsin ndo alikuwa rais wa Urusi ndani ya USSR na Gobachev ndo rais wa USSR wakati na hivyo Yetsin alipoondoka na URUSI yake ndo Gobachev akaona isiwe taabu aondoke na UKRAINE yake. Hatari ya Mwaka. Hebu rudia kusoma tena ulicholeta humu.
 
Hatari kweli kweli. Hivi wakati unaandika haya ulishirikisha ubongo? Kwamba Boris Yetsin ndo alikuwa rais wa Urusi ndani ya USSR na Gobachev ndo rais wa USSR wakati na hivyo Yetsin alipoondoka na URUSI yake ndo Gobachev akaona isiwe taabu aondoke na UKRAINE yake. Hatari ya Mwaka. Hebu rudia kusoma tena ulicholeta humu.
Ndivyo ilivyo kua kuna masimulizi mengi
 
Russia Begins Withdrawing Ships from Tartus as Opposition Gains in Syria

Russia is reportedly withdrawing its naval ships from Tartus, its sole military port in the Mediterranean, amid the rapid advance of opposition forces in Syria, according to Naval News, citing OSINT analysts.

A Droxford Maritime analyst attributes the withdrawal to deteriorating conditions on the ground. Syrian President Bashar al-Assad’s forces, supported by Russia, have been retreating for three days, culminating in the loss of Aleppo, Syria’s second-largest city.
 
Back
Top Bottom