maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Kilichonistusha hapa ni kwamba Russia baada ya kusema hivyo wakamlizia kwamba "Russia 🇷🇺 haikuhusika na hayo mazungumzo"Kumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia
Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Hapa Kuna namnaKilichonistusha hapa ni kwamba Russia baada ya kusema hivyo wakamlizia kwamba "Russia 🇷🇺 haikuhusika na hayo mazungumzo"
Jaribu tu kuunganisha dot kiutuuzima utaelewa
Syria limetengenezwa bonge la bomuThe Russians are pulling their warships from the Syrian base in Tartus, transferring weapons and military equipment by air from the Khmeimim base.
This was reported by the Main Intelligence Directorate of Ukraine’s Defense Ministry.
Kuna mchezo mkubwa umefanyikaKumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia
Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Ok, aim of Russia to restrict gas pipeline from Qatar to Europe ndio maana akamsaidia Assad kijeshi I do believe they negotiated with new regime with same contract otherwise will be disaster for PutinKumbe kulikua Kuna mazungumzo nyuma ya pazia
Assad agreed to step down following back-channel talks with unspecified armed groups and left the country, instructing officials to conduct “a peaceful transfer of power,” the Russian Foreign Ministry said on Sunday.
Ok, aim of Russia to restrict gas pipeline from Qatar to Europe ndio maana akamsaidia Assad kijeshi I do believe they negotiated with new regime with same contract otherwise will be disaster for Putin
Huyo mbona keshaondoka madarakani kitmbo
Au vinginevyo, west wachukue syria na Urusi amege Ukraine,Embu fafanua kuhusu hiyo route ya bomba la mafuta linapitaje hapo Syria kutokea Qatar.
Dah! Watu wanajua kupika propaganda aisee 🙌🙌🙌Nafikiri hawa jamaa nyuma ya pazia walikuwa wanatuchezea mchezo.Mchezo unaelekea kuisha.
Win win situation ndiyo inayoendelea sasa hivi.
West :Russia achia mashariki ya kati.
Russia:West niachieni maeneo ya Ukraine.
Wote: Ok,tumekubaliana!
'Ukraine are on the verge of collapse'
Russia's spy chief Sergei Naryshkin also said his country was close to achieving its goals in Ukraine.
"We are close to achieving our goals, while the armed forces of Ukraine are on the verge of collapse," Mr Naryshkin claimed.
Russia insists Ukraine war won't end until Putin's goals are met - as spy chief claims moment is 'close'
Foreign intelligence chief Sergei Naryshkin claims Russia has the upper hand in all areas and "the situation on the front is not in Kyiv's favour".news.sky.com
Natamanj hii itokee ili hata bomba lile la isreli la mafuta alifunge kabisa ili wanyukane wao kwa waoErdogan usnitch unaenda kubackfire,
Alikuwa ana wasaliti Russia na Iran pale Syria, ila pia hakuwa royal kwa U.S
U.S kwa kulijia hili wakawa wanawatumia kurds kama laverage, now Syria imeanguka waasi wa kurds watakuwa free kukiwasha dhidi ya Turkey. U.S wanasema turkey akianzisha mashambulizi dhidi ya kurds wanamlima sanction.
Ndoto yake ya kuwa oil hub kwa kuchukua maeneo yenye mafuta Syria na Iraq yanakufa.
Hii inaenda kuwa kisu kooni kwa Edorgan kotekote kaaribu
Netanyahu akisikia kauli kama hii huwa anapanic sana anaweza kumalizia stock ya mabomu hapo SyriaKuna mchezo mkubwa umefanyika
Si bure israel kushambulia ghafla syria
Usiku wa kuamkia Leo NATO wamechinjwa 12000 na wamepoteza ndege vita 7Warusi wanazidi kuchinjwa tu 🥱 🥱 🥱 🥱 View attachment 3173944
Source ipo wapi nduguUsiku wa kuamkia Leo NATO wamechinjwa 12000 na wamepoteza ndege vita 7