Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Sera za Marekani hazibadiliki,Trump hafai kabisa ataanzisha vita duniani
Rafiki yangu Proved,Trump ni mmoja wa Wamarekani wachache sana anaeipinga vita hii,ambayo Kuna vigogo wa White House,Pentagon na State Security wanalihitaji,na ndio hao wanaoendelea kuipa Ukraine silaha za kupiga ndani ya Urusi ili Urusi ijibu kwa nguvu kisha NATO waingilie.
Trump ndio Mmarekani pekee anaeikataa NATO waziwazi na Yuko tayari kujitoa ama kutaka ivunjike.,lkn wapo wamarekani na wa Ulaya hawataki NATO ivunjike ,mfano UK na Poland.
Sasa Trump kwa sababu hizo akishikilia misimamo yake ya kutokuisaidia Ukraine na ,kujitoa NATO hao Mabwanyenye watamla kichwa.
Hao ndio walijaribu kutaka kumla kichwa wakati wa kampeni wakamkosa,hivyo bado hawajakata tamaa.
Trump anaonekana kutaka suluhu na Urusi,lakini hao jamaa hawataki.
Trump akimaliza miaka minne madarakani tushukuru Mung