LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Super power anapigwa tafu live na north Korea alafu Kuna watu wanamuona mungu mtu wao 🏃🏃🏃
 
On December 14, 2024, Ukraine’s Defense Forces left destroyed or damaged 181 Russian military vehicles, making this the largest loss for Russia in the said component since the full-scale invasion.
 
Russia imeshindwa kuyachukuwa kwa 100% yale majimbo ma4 yaliyofanya referrundum kuwa upande wa russia.
Kila siku tunaletewa story za kukomboa vijiji na vitongoji.
MAisha yakoje kwenye hayo majimbo?
Niwe mkweli! Kwa sasa hata sielewi Russia anafanya nini?

Lavrov kwenye interview yake na Tucker Carlson naona naye alikuwa anajitetea tu! Mara ooh watu wanasema mistari mekundu yote Russia aliyoiweka Nato wameivuka, anajinasua anasema tumetuma ujumbe, na ujumbe wetu mpaka sasa umeeleweka.

Ujumbe wenyewe ni ile missile mpya waliyoitumia dhidi ya Ukraine.

Tuwe wa kweli, maamuzi ya Putin yanawàweka Russia kwenye wakati mgumu sana wa kiusalama duniani. Tena sana!

Wamagharibi wapo serious na wanachokipambania, Putin anajifanya ana hekima.

Kwa sasa wapo wakati mgumu sana kiusalama. Wamagharibi wamemwanzishia vuguvugu jengine mlangoni kwake Georgia. Sijui kama ataweza kupigana vita mbili kwa wakati mmoja.

Na Georgia pakinuka ni lazima apeleke idadi si chini ya laki jeshi lake huko kwa sababu kipindi cha Bush alipeleka wanajeshi takribani elfu 60 naaa!

Putin anajifanya master mind, wenzake wanatanua wigo wa kulishughulisha jeshi lake.

Putin kuna mahali anafeli sana! Ijapokuwa watu humu watakataa kwa mapenzi waliyonayo kwa Russia, lakini tufike mahali tùkubali ukweli; Usalama wa Russia kwa hali anayokwenda nayo Putin atautia hatiani.

Itazame movie ya 13 days uone wamarekani walivyo haha baada ya Russia kupeleka nukes zake Cuba baada ya yeye kupeleka zake Turkey.
 
Warussi wanaelewa sana wanachokifanya.
1.Putin angetumia mihemko kuingia Ukraine - kukandamiza kwelikweli yangemtokea puani.Ndo maana hata vita vilovyoibuka palikua na sintofahamu nyingi Urusi na sababu kubwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya warussi na wa-ukraine- uhisiano wa damu, culture etc.kule kukuta mtu ana-ndugu Urussi au Ukraine ni zaidi ya kawaida.Wanajeshi kukuta wana familia huku na huku - kawaida - hapo inabidi utulie kwelikweli ndo maana hatuoni akifanya kama Israel inachokifanya Gaza au Lebanoni
2.Pilli bila shaka anataarifa nyingi kuliko tunavyofikiri - hafanyi maamuzi kwa hisia...taarifa ndo zinafanya wafanye hayo maamuzi.
3.Warussi hawana haraka, wala hawamuogopi US au Ulaya..kama sisi tunavyoogopa - hao wote ni wazungu tu -bara moja - wanajuana - wameishapigana mamia ya vita ni sawasawa na sisi Mkongo kumuogopa Mkenya au Mnamibia kumuigopa Mrwanda..wote waafrika tu kuna vitu wanashare the same kwa hao wazungu.
4.Ukorofi wa Urussi na kuwakazia west umeanza kuzaa matunda..angalia Georgia - ndo kwanza mawesitisha mambo ya EU na wamepata Rais pro Russia, Romania - pro Russia alikia anaenda kushinda - wakatengua matokeo, Slovakia huko Fico prime minister ni pro Russia - walimtwanga Risasi hakufa kaisha-confirm kuwepo red square Moscow may kwenye parade, Ufaransa wanatumia nguvu kubwa sana kumzuia Le pen-ipo siku watajichanganya tu, Germany hali mbaya - deindustrialization - gharama ya uzalishaji kubwa sana - gas..,Croatia wamesema hawana mpango wa kutuma majeshi yao Ukraine na kama vipi Ukraine Igawanywe kama ilivyokua Cheklovakia..etc..
Kuna karata na bomu Russia inalitengeneza Ulaya huko - siku vyama vikilipuka patakua hapakaliki.
 
Mipango ya muda mrefu ni hii hapa!

Russia must be ready to fight NATO in Europe in next decade, minister says​


MOSCOW, Dec 16 (Reuters) - Russia's defence minister said on Monday that Moscow must be ready to fight the NATO military alliance in Europe in the next decade, as President Vladimir Putin said he believed the Ukraine war was turning in Moscow's favour.

December 16, 20249:13 PM GMT+3


 
Ukweli ni kwamba Vita Vikuu Vya Tatu Vya Dunia tayari vimeanza, na Ulaya haijajiandaa kwa ajili ya vita, pia ilisemwa na Balozi wa Ukraine nchini Uingereza, aliyekuwa kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine, Valeriy Zaluzhny
 
Lieutenant General Igor Kirillov, head of Russia's Nuclear, Biological, and Chemical Defense Forces (NBC), has been killed by a remotely detonated bomb near the entrance of a building in Moscow.

His death comes just 24 hours after Ukraine accused him of chemical war crimes.
 
Lieutenant General Igor Kirillov, the head of Russia's Nuclear, Biological, and Chemical Protection Troops, was killed in a terrorist attack in Moscow on December 17, 2024. The attack occurred when an explosive device planted on an electric scooter near the entrance of his residence detonated as he was leaving, causing extensive damage to the building and his official vehicle.
Kirillov's death comes after Ukrainian prosecutors charged him in absentia for allegedly using banned chemical weapons in Ukraine. The Security Service of Ukraine claimed that chemical munitions were used in over 4,800 cases since the invasion began.
Kirillov had led the Radiation, Chemical, and Biological Defense Troops since 2017 and was instrumental in developing the TOS-2 "Tosochka" heavy flamethrower system. He was also subject to international sanctions for his role in military operations.
 
Kitendo cha Putin kuivamia Ukraine ilikuwa 'failure' kubwa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…