kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Huyu ni mkorea bila shaka, Ukraine ilitoa taharifa Jana kwamba ni zaidi ya wakorea 30 wameshachinjwa huko Kursk 🏃🏃🏃
Lieutenant General Igor Kirillov, head of Russia's Nuclear, Biological, and Chemical Defense Forces (NBC), has been killed by a remotely detonated bomb near the entrance of a building in Moscow.
His death comes just 24 hours after Ukraine accused him of chemical war crimes.View attachment 3178672
Nimegundua kumbe Ukraine wana uwezo wa kummaliza hata Putin. Ni vile hawataki tuJenerali wa ngazi za juu katika jeshi la Urusi ameuawa katika mlipuko uliotokea mjini Moscow.
Luteni Jenerali Igor Kirillov, mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC), alikuwa akiondoka kwenye makazi yake mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa kwenye skuta kilipolipulika, Kamati ya Uchunguzi ya Urusi ilisema.
Iliongeza kuwa msaidizi wa Kirillov pia aliuawa.
Mnamo mwezi Oktoba, Uingereza iliweka vikwazo kwa Kirillov, ikisema alikuwa amesimamia matumizi ya silaha za kemikali nchini Ukraine na alikuwa kiungo muhimu kama "msemaji wa habari za Kremlin".
Asante sana mkuu kwa kukuona hilo. Binafsi nimeweka mara nyingi kuwa Putin alibugi kuivamia Ukraine.Kitendo cha Putin kuivamia Ukraine ilikuwa 'failure' kubwa kwake.
Mzee Putin aendelee vita vyake ktk jina la SMO, aache kulalamika. Kwani wa korea kaskazini wanapigana upande wa Kiev?Putin: US Fuels Ukraine Conflict by Sending Mercenaries and Military Advisers.
16.12.2024
MOSCOW (Sputnik) - The United States is encouraging the escalation of the conflict in Ukraine by sending mercenaries and military advisers there, Russian President Vladimir Putin said on Monday.
"In their effort to weaken our country and deliver a strategic defeat, the US continues to supply the regime in Kiev that is in fact illegitimate with weapons and money, while sending mercenaries and military advisers, thereby encouraging further escalation of the conflict," Putin said at an expanded meeting of the of the board of the Russian Defense Ministry.
Uduwanzi kama huu huwezi kusikia NATO waki entertain.
Hii sababu haina mashiko!1.Putin angetumia mihemko kuingia Ukraine - kukandamiza kwelikweli yangemtokea puani.Ndo maana hata vita vilovyoibuka palikua na sintofahamu nyingi Urusi na sababu kubwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya warussi na wa-ukraine- uhisiano wa damu, culture etc.kule kukuta mtu ana-ndugu
Putin aache kulalamika apigane watu tumeshachoka maneno yake!Putin: US Fuels Ukraine Conflict by Sending Mercenaries and Military Advisers.
16.12.2024
MOSCOW (Sputnik) - The United States is encouraging the escalation of the conflict in Ukraine by sending mercenaries and military advisers there, Russian President Vladimir Putin said on Monday.
"In their effort to weaken our country and deliver a strategic defeat, the US continues to supply the regime in Kiev that is in fact illegitimate with weapons and money, while sending mercenaries and military advisers, thereby encouraging further escalation of the conflict," Putin said at an expanded meeting of the of the board of the Russian Defense Ministry.
Suala si taarifa nyingi, suala unao uthubutu wa kufanya?2.Pilli bila shaka anataarifa nyingi kuliko tunavyofikiri - hafanyi maamuzi kwa hisia...taarifa ndo zinafanya wafanye hayo maamuzi.
Ofcourse warusi hawaogopi! Ila Putin ndiye anayeogopa!3.Warussi hawana haraka, wala hawamuogopi US au Ulaya..kama sisi tunavyoogopa - hao wote ni wazungu tu -bara moja - wanajuana - wameishapigana mamia ya vita ni sawasawa na sisi Mkongo kumuogopa Mkenya au Mnamibia kumuigopa Mrwanda..wote waafrika tu kuna vitu wanashare the same kwa hao
Putin nimemuona ni mtu wa mikwara tu!Mzee wa mikwara kama kawa! "Oreshnik"
View: https://twitter.com/worldupdates245/status/1868623927901037031
kwahiyo wewe unajua kuliko urusi yenyewe? hongeraKitendo cha Putin kuivamia Ukraine ilikuwa 'failure' kubwa kwake.