Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Jitahidi ukisoma uelewe mkuu.Katafute kazi ya kufanya kama hoja zimekushindwa huna hata aibu kusema Dunia nzima itamshindwa Russia hapo Ukraine ameomba had msaada Iran na n.korea huna hata aibu na wanaokusapot mnalingana ubongo
Mkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha kuwa jeshi la UKRAINE linaelekea kusambaratika wakati wowote, na kwamba RUSSIA is winning.PUTIN hana haja ya kubadili mbinu yake kwa sababu inampa ushindi mkubwa na kupunguza sana idadi ya wanajeshi wake wanaoathirika vitani.Malengo yote ya SMO yanatimizwa kwa nini wapanick.Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.
Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.
Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.
Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.
Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
Jamaa umeandika kwa uchungu sanaa, hiyo Russia unayoisifia imeshindwa kuzuia ndege za Ukraine kutamba ndani ya anga lake, yaani no fly zone ndio ije kuitisha NATO!!, kama Russia ina ubavu irushe hata jiwe ndani ya nchi mojawapo ya NATO ndio utaona kile ambacho hukuwahi kukishuhudia maishani mwako!!Mbona unafosi Putin afanye unavyo taka wewe.
Unayajua madhumuni ya security council ya Russia?
Naona Toka Gaza, Lebanon na sasa Syria waarabu wenzio wamepigika unataka kiforce Russia itumie nguvu kubwa?.
Acha Putin afanye kile yeye anaona sahihi kama ni legelege waambie NATO waingie front ndio utajua kwanini NATO inahitaji wanachama zaidi.
Russia hata itengwe na dunia nzima ila ndio taifa ambalo gumu na haliwezekaniki kimedani.
Eti afanye hivi mara vile we unafikiri watu wanaangalia Leo?. Watu wapo kuitazama future unafikiri Iran inashindwa kuingilia ugomvi wa Syria au kuiattack Tena Israel.
Russia is complicated state. Ngoja siku Russia ihisi sasa inaenda kushindwa ndio utajua kwamba kwanini NATO. Wanakaa vikao kujadili kauli za Putin na sio za joice wowowo.
Pia ujue sio kila vita mbabe anashinda nyingine wanashindwa pia ila Hilo lisikufanye ukamchokoza.
Omba sana usije kutokea Russia ikatangaza vita rasmi na taifa lolote sio hiyo SMO.
Wapiganaji wa Korea wapo ndani ya ardhi ya Urusi iliyovamiwa na adui. Wanamsaidia rafiki kumtoa adui ndani ya nyumba yake.Mzee Putin aendelee vita vyake ktk jina la SMO, aache kulalamika. Kwani wa korea kaskazini wanapigana upande wa Kiev?
No evidenceAt least thirty North Korean soldiers were killed or wounded during assault operations in Russia’s Kursk Oblast, Ukrainian military intelligence (HUR) claimed on Dec. 16.
Endelea kuota ila pamesha kucha.Jamaa umeandika kwa uchungu sanaa, hiyo Russia unayoisifia imeshindwa kuzuia ndege za Ukraine kutamba ndani ya anga lake, yaani no fly zone ndio ije kuitisha NATO!!, kama Russia ina ubavu irushe hata jiwe ndani ya nchi mojawapo ya NATO ndio utaona kile ambacho hukuwahi kukishuhudia maishani mwako!!
Mi nilicho jidumza ni Hawa wa Russia kufanya kinyume na matarajio ya watu wanakuingiza mkenge ujue wepesi wakufinye.Mkuu umeongea kwa usahihi sana.Wengi wanataka PUTIN afanye wanayowaza wao kwenye akili zao.Muda umefika sasa mpaka military analyst wa West wamekubali kwamba RUSSIA anapata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita.Juzi BBC ambalo ni shirika la serikali ya Uingereza limetoa taarifa yao inkionyesha kuwa jeshi la UKRAINE linaelekea kusambaratika wakati wowote, na kwamba RUSSIA is winning.PUTIN hana haja ya kubadili mbinu yake kwa sababu inampa ushindi mkubwa na kupunguza sana idadi ya wanajeshi wake wanaoathirika vitani.Malengo yote ya SMO yanatimizwa kwa nini wapanick.
Endelea kuamini hivyo kwenye mtandao, lakini naimani ndani yako unajua kabisa Russia ikiamua hii hii warfare hakuna kitu kitabaki kime simama hapo Ukraine.
Kama ambavyo wa magharibi walivyo ingia ndani ya ukraine kumsaidia zelensky kumuondoa adui nyumbani mwake, kwahiyo Putin aache kulalamika.Wapiganaji wa Korea wapo ndani ya ardhi ya Urusi iliyovamiwa na adui. Wanamsaidia rafiki kumtoa adui ndani ya nyumba yake.
Hata sasa Ukraine inabomolewaEndelea kuamini hivyo kwenye mtandao, lakini naimani ndani yako unajua kabisa Russia ikiamua hii hii warfare hakuna kitu kitabaki kime simama hapo Ukraine.
Hata kwa hili nakukatalia mkuu kwani NATO hana nyuklia ni kua kwenye vita ya nyuklia wote watajiangamiza sio Russia wala NATO na hakuna anayetaka Hilo litokeeJitahidi ukisoma uelewe mkuu.
Nani kasema ikichangiwa na dunia!, nzima ila NATO nauhakika it'll be catastrophe. Hiyo america na ulaya itakua kama sayari ya Mars. The dead planet
Sawa mkuu sisi tuendelee tu kushabikia, wao ndio wanajua wanataka nini.Hata kwa hili nakukatalia mkuu kwani NATO hana nyuklia ni kua kwenye vita ya nyuklia wote watajiangamiza sio Russia wala NATO na hakuna anayetaka Hilo litokee
Redline ipi ya Putin ambayo aliweka na haijavukwaSawa mkuu sisi tuendelee tu kushabikia, wao ndio wanajua wanataka nini.
Tusilete fikra zetu za kikinjeketile kwa wakuu wa dunia. Biden sio mjinga kusema sasa wanaenda kudeal na taifa lenye nguvu kijeshi. Hii ni warning kwamba tucheze kwa steps tusije mkanyaga bouncer.
Swali la msingi ni kwanini Putin hataki kufanya maangamizi hapo Ukraine kama makamanda wake wanavyo taka. Hapa Kuna jambo limejificha na naimani hata NATO wanatamani kulijua ndio maana wanajambisha kutaka kuvuka red line ila wanakumbuka sumu hailambwi.
Mi nitaamini Russia ni mdebwedo siku NATO wakaweka no fly zone Ukraine ama waingize askari wao kwa tangazo rasmi la kwenda kumtoa mvamizi. Hapo nakuhakikishia Mimi najinyonga siku hiyohiyo. OVER
Unajinyonga siku hiyo hiyo?? aiseSawa mkuu sisi tuendelee tu kushabikia, wao ndio wanajua wanataka nini.
Tusilete fikra zetu za kikinjeketile kwa wakuu wa dunia. Biden sio mjinga kusema sasa wanaenda kudeal na taifa lenye nguvu kijeshi. Hii ni warning kwamba tucheze kwa steps tusije mkanyaga bouncer.
Swali la msingi ni kwanini Putin hataki kufanya maangamizi hapo Ukraine kama makamanda wake wanavyo taka. Hapa Kuna jambo limejificha na naimani hata NATO wanatamani kulijua ndio maana wanajambisha kutaka kuvuka red line ila wanakumbuka sumu hailambwi.
Mi nitaamini Russia ni mdebwedo siku NATO wakaweka no fly zone Ukraine ama waingize askari wao kwa tangazo rasmi la kwenda kumtoa mvamizi. Hapo nakuhakikishia Mimi najinyonga siku hiyohiyo. OVER
Unataka jiwe lipiJamaa umeandika kwa uchungu sanaa, hiyo Russia unayoisifia imeshindwa kuzuia ndege za Ukraine kutamba ndani ya anga lake, yaani no fly zone ndio ije kuitisha NATO!!, kama Russia ina ubavu irushe hata jiwe ndani ya nchi mojawapo ya NATO ndio utaona kile ambacho hukuwahi kukishuhudia maishani mwako!!
SureUnajinyonga siku hiyo hiyo?? aise
Wekeni no fly zone au nendeni mkamtoe mvamiziRedline ipi ya Putin ambayo aliweka na haijavukwa
Yeye kafanya nini baada ya redline alizoweka kuvukwaWekeni no fly zone au nendeni mkamtoe mvamizi