LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.
Askari yeyote wa Russia ni halali kwa Ukraine, na kinyume chake ni sahihi
 
Watu mna akili ndogo yaani Gaidi akiua Marekani hamsemi Ugaidi hata wewe unauwawa ila sio Rais wa Urusi .Subiri waanze kuwauawa mawaziri na hata huyu kenge mwenyewe zele kwani FSB hawawezi hilo?? Wanaua watu hata London kama hujui.
Ila bado itabaki kuwa ni aibu kubwa sana na udhaifu mkubwa Generali mkubwa kiasi kile tena mtu muhimu sana ANAULIWA NDANI YA RUSSIA TAIFA LINALOAMINIKA KUWA NI KUBWA SANA KIULINZI. Yaani hata Ukraine nchi ndogo lakini imeizidi RUSSIA katika suala la Usalama wa viongozi wake muhimu
 
Huyu jamaa nani anamwelewaga πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
Vladimir Putin declared on Thursday that Russia was closer to reaching its goals in Ukraine and that the front line was advancing every day.
Mimi nadhani putin amechelewa kujua kipaji chake, jamaa ni comedy zaidi ya joti, muda huu angekuwa kwenye cheka tuu ya huko Urusi
 
Punguza ushabiki mkuu.....
Raisi J. F. Kennedy alipopigwa risasi mpaka kufa alikuwa ni Rais wa nchi gani, je huo ulikuwa ni udhaifu wa wa kiulinzi wa nchi gani.
Rais mteule Trump alipopigwa risasi ya sikio wakati wa kampeni ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa taifa gani gani kubwa..
Jengo la WTO liliposhambuliwa mwaka 1997 ulikuwa udhaifu wa kiulinzi wa nchi gani....
 
Kennedy na Trump ukiulizwa walishambuliwa na nani au ni influence gani ya nje iliyohusika utajibu nini. USA haikuwa na vita
 
Kennedy na Trump ukiulizwa walishambuliwa na nani au ni influence gani ya nje iliyohusika utajibu nini. USA haikuwa na vita
Mkuu iliyotokea kuuawa kwa yule General kule Russia haikuwa ndani ya uwanja wa vita na pia si tukio la hypersonic missile au attacms. Ule ni ugaidi kama ilivyo kwa magaidi waliopo duniani kote. Ugaidi ni sehemu ya kushindwa.
Mchangiaji hapo juu kaongelea 'udhaifu wa kiulinzi' na mimi nimejibu kwa kuangalia udhaifu wa kiulinzi kwa nchi yenye kudhaniwa ina teknolojia ya hali ya juu
 
Uzi wa siku nyingi kumbe??uko wapi mwendelezo wa habari za hivi karibuni??mleta mada tujulishe tafadhali.
 
Wewe hukuona Crimea imechukuliwa toka zaman, huoni kama Ukraine ilibid atafute ulinzi kulinda maeneo yake, vinginevyo Russia angeyamaliza. Vyovyote mtakavyosema ila mvamizi ni Russia
 
Well analysis
 
Sema pia kwa hizi nchi za wenzetu zilivyo unaweza kuta hili tukio limefanywa na Russia wenyewe kummaliza huyo General wake . Huenda intelligence yao ikamgundua kutumika . Usaliti, kununulika, kupenyezwa tangu utotoni HAYA MAMBO HUFANYIKA SANA KWENYE HII DUNIA. Ni kama Tz leo iingie kwenye vita dhidi ya Rwanda MAMLUKI WENGI SANA WATAJULIKANA KWENYE MAJESHI YETU NA WENGINE HAWATAJULIKANA KANISA BALI WATU WATAKUWA WANASHANGAA HUJUMA ZINAFANYIKA BILA KUJUA CHANZO.

NI MAONI YANGU TU HAYA
 
Trump alipigwa risasi ya sikio!Kwahiyo US imezidiwa na ukraine kwenye ulinzi wa viongozi?
 
Israel iliingia Iran kupitia anga la Iraq. Angenyinywa hiyo access asingeweza kushambulia
 
Halafu inasemekana sio ICBM,s ila ni vibomu tu vidogo vidogo vilitengenezwa na mabaki ya materials baada ya ICBM zenyewe kumaliziwa kutengenezwa.Sasa ICBM zenyewe zikitumika itakuaje 😁😁😁😁😁😁😁
ASTAGHFIRULLAH, mungu ajaalie wasitumie hayo ma ICBMs
 
Aisee kumbe leo huko Russia ni vilio tu baada ya jengo refu la ghorofa 37 kupigwa na Drones za Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦. Taifa dogo sana linamuabisha, dhalilisha na kufedhehesha taifa kubwa. Jamani isije ikawa inajirudia ile tuliyoisoma kwenye vitabu vya dini kuwa kijana mdogo jasiri DAUDI analiangusha jitu kubwa sana GOLIATI. Kwa mwenendo huu tunaweza kushuhudia kichwa cha Goliati kikikatwa.

Kwa wenzangu Pro Russia wa Madale na Kigamboni tukubali tu kuwa Russia anapigwa kirahisi tu na hii vita hana mwisho mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…