Kursk direction Russia has taken back 70% of kursk which was under Ukrainian controlDah,watu wamechoka sana! Wanataka kupumzika! kp kipanya44 upo?? Msikilize huyu askari!
Can Ukraine face another year of war?
Ukraine is losing the battle on the ground. Many of its soldiers are tired and exhausted after three years of fighting. The question – can the country endure another year of war?
Denys says he thinks Ukraine should at least consider a ceasefire. He thinks Ukraine's casualties are higher than those officially admitted – more than 400,000 killed and injured.
Can Ukraine face another year of war?
Many of its soldiers are tired and exhausted after three years of fighting. The question – can the country endure another year of war?www.bbc.com
Kawaida TU mwananguNaona mna-battle na kp kipanya44 kuleta updates za vifo za Makamanda.
Zaidi ya elf mbili walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱 🥱Kursk direction Russia has taken back 70% of kursk which was under Ukrainian control
Pokrovsk now 90% under Russian control
Kurakhovo 96%under Russian control
Zelenskiy is losing territories
Nato is falling to help Zelenskiy
Energy infrastructure is in ruins
Where is Nato volunteers
Nato mercenaries
Nato fighter jets
🤣🤣🤣🤣Waungwana humu ninashauri tufanye mabadiliko kidogo. Maafisa habari wetu wa humu jf waliopo huko UKRAINE ya Kibada na Mburahati tuwarudishe na tupeleke wengine watakaokuwa wanawajibika kutoa taarifa humu. Haiwezekani group linakaa siku tatu mfululizo bila ya updates , inaonyesha hawa wa sasa wameshakuwa WALEVI HUKO
🤣🤣🤣🤣Waziri wa UK kasema hayo na wote tumeshuhudia,lkn nakuambia Kuna vi Tanzania havitakubaliana nae kabisa wakati hata kupanda ndege TU kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine havijapanda.
Waliosomea Cuba watanielewa.
🤣🤣We jamaa una hoja za kiccm
Katika siasa danu kumwagika Hilo utajali wewe mwananchi na sio ma tycoon wa siasa wao wapo hapo kufanikisha Malengo yaoHuwa nahisi kitu kama hicho.Huwa naamini Urusi na Marekani wanatumiana kuwadhoofisha Ulaya.
Mfano angalia Ujerumani na Ufaransa ambao ndiyo maboss wa EU wanachopitia sasa hivi.Ukumbuke Marekani haitaki Ulaya iwe na nguvu yoyote!
Ujerumani hapati gesi, Ufaransa huku Afrika anaisoma namba!
Sasa kila kukicha tukae mezani tumalize huu mgogoro wa Ukraine kwa mazungumzo! Mission imeisha!
Trump anasema Urusi ataondolewa vikwazo vyote vya kiuchumi pamoja na kupata maeneo huko Ukraine ambayo yana rasilimali za kutosha na adimu hapa duniani!!
Kule mashariki ya kati baada ya kuona Marekani anaangaliwa kwa jicho baya, mrusi akaenda! Mrusi anaonekana shujaa! Mission imeisha huyo anaondoka!
Huwa naamini hawa jamaa wanatuchezea michezo ya kuigiza ambayo hata kama damu itamwagika hawajali!
Nb:Ni mtazamo!
🤣🤣🤣🤣 KmmkUtakuwa mfalme Zumaridi
🤣🤣Unaota baada ya shibe ya Ubwabwa maharage. NATO ndo Marekani, hakuna NATO nje ya Marekani. Siku marekani akisema anatoka NATO ndo imeisha hiyo. Marekani alichofanya ni kuyakusanya makoloni yake ndani kapu moja akaliita NATO.
hizi hekaya zako za Kisabato hebu achana nazo.
Kumbe ulisoma mahali , Achana na hizo simulizi dini hazina chochote ambacho inafanya katika kuiendeaha dunia kinacho endesha Dunia ni Mataifa yenye nguvu ya kiuchumi kijeshi na kisiasa pamoja na Sera zao , ndio maana mataifa hayo yanaweza kuamua Leo tuipige Tanzania tumtoe Raisi madarakani na wakafanya hivyo wakati mataifa hayo yanafanya hivyo huyu Mungu Muweza wa yote anaye sifiwa ktk dini Anakuwa yupo Tu ana Angalia Jinsi Tanzania inavyo onewa , Dini ni scammerNi wazo zuri maana humu tunaelimishana mimi pia nimesoma mahali siwez kushupalia sana vitu ambavyo hata mimi sijui tuchangamshe jukwaa tuu siku ipite