Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Kwa taarifa Yako Myahudi anaweza kudili na Waarabu TU kwa sababu waarabu ni dhaifu Tena Kwa msaada wa USA.Kuna namna nyingine West wanataka ku deal na Russia. Kumaliza vita na amani iwepo halafu kumuaminisha Putin kuwa mambo yamekaa sawa ikiwa ni pamoja na kutembeleana. Baadae tutasikia Putin anaumwa na kuanza kuipambania Afya yake kwa muda tu na itafikia kipindi hataweza kumudu shughuli za kuendesha serikali, kazi zitafanywa na waziri mkuu. Baadae Taifa litatangaziwa kuwa jamaa Mwendo kaumaliza. Russia 🇷🇺 itaingozwa na mtawala mwingine atakayekuwa na msimamo wa wastani.
WAYAHUDI NDIO WANAOIONGOZA MAREKANI NA MYAHUDI HAJAWAHI KUSHINDWA.
Myahudi hawezi katu kudili na Urusi abadani na yeye Myahudi analijia hilo.
Kwa taarifa Yako Urusi ndio ilitaka kuanzishwa taifa la Israel.
Hii ni kama Urusi kutishwa na kinyago ilichokichonga yenyewe.