Alisema Russia ni war machine.Kuna msemo alisema Trump11 kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema Russia ni war machine.Kuna msemo alisema Trump11 kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.
Lokole la kibaigwa linasema Yahudi hajawahi shindwa. Nebuchadnezzar, Rumi na Hitler je, na wao hawakushinda dhidi ya Muyahudi?Kuna namna nyingine West wanataka ku deal na Russia. Kumaliza vita na amani iwepo halafu kumuaminisha Putin kuwa mambo yamekaa sawa ikiwa ni pamoja na kutembeleana. Baadae tutasikia Putin anaumwa na kuanza kuipambania Afya yake kwa muda tu na itafikia kipindi hataweza kumudu shughuli za kuendesha serikali, kazi zitafanywa na waziri mkuu. Baadae Taifa litatangaziwa kuwa jamaa Mwendo kaumaliza. Russia 🇷🇺 itaingozwa na mtawala mwingine atakayekuwa na msimamo wa wastani.
WAYAHUDI NDIO WANAOIONGOZA MAREKANI NA MYAHUDI HAJAWAHI KUSHINDWA.
Hapana ,sidhani kama brics iliundwa kuja kupambana na USD,Bali brics iliundwa kwa malengo ya kiuchumi kama zilivyo G7,Opec,Agoa, Shanghai cooperation,EU,SADC,Ecowas n.k.Kwa huu msimamo wa US ni dhahiri Urusi yake yametimia, hivo BRICS haitaangaika tena na dollar ya marekani
Hii nimeipenda sana kiongozi.SUMMARY YA VITA MPAKA SASA
Russia imepata yafuatayo:
1. Nchi imeongezeka kwa kuchukua sehemu ya Ukraine
2. Ameweka Heshima duniani na kwa West
3. Ukraine haitajiunga NATO
Ukraine imepata yafuatayo
1. Kapoteza Majimbo yaliyochukuliwa na Russia
2. Nchi imevunjwa vunjwa
3. Jeshi limedhoofika
4. Kakosa ujumbe wa NATO
5. Ile misaada ya Biden imegeuka kuwa deni atalipa na riba
USA wamepata yafuatayo
1. Imefanya biashara ya silaha kwa Ukraine
2. Mkopo utalipwa kwa riba
3. Maslahi ya US kwanza sio ya NATO wala EU
NATO/EU Wamepata yafuatayo
1. Misaada na media zao hazijaisaidia kitu Ukraine
2. Russia imeimarika zaidi kiuchumi na Kiuhusiano
3. Wamebaki na aibu
Kwani ki-rat anasemaje? Je, anakubaliana na hoja hizi?SUMMARY YA VITA MPAKA SASA
Russia imepata yafuatayo:
1. Nchi imeongezeka kwa kuchukua sehemu ya Ukraine
2. Ameweka Heshima duniani na kwa West
3. Ukraine haitajiunga NATO
Ukraine imepata yafuatayo
1. Kapoteza Majimbo yaliyochukuliwa na Russia
2. Nchi imevunjwa vunjwa
3. Jeshi limedhoofika
4. Kakosa ujumbe wa NATO
5. Ile misaada ya Biden imegeuka kuwa deni atalipa na riba
USA wamepata yafuatayo
1. Imefanya biashara ya silaha kwa Ukraine
2. Mkopo utalipwa kwa riba
3. Maslahi ya US kwanza sio ya NATO wala EU
NATO/EU Wamepata yafuatayo
1. Misaada na media zao hazijaisaidia kitu Ukraine
2. Russia imeimarika zaidi kiuchumi na Kiuhusiano
3. Wamebaki na aibu
Hii democrasi umeona wapi imebadilisha chocho hapao marekaniHakuna fundisho hapo. Ukweli hupanda ngazi. Nani yuko sahihi itajulikana muda si mrefu. Just a matter of time.
Halafu Marekani sio ile ile siku zote. Inadhibitiwa na demokrasia. Trump sio Rais wa kudumu.
Hii ni january, tuko february.
Vita hivi vya Russia na Ukraine imejaaSUMMARY YA VITA MPAKA SASA
Russia imepata yafuatayo:
1. Nchi imeongezeka kwa kuchukua sehemu ya Ukraine
2. Ameweka Heshima duniani na kwa West
3. Ukraine haitajiunga NATO
Ukraine imepata yafuatayo
1. Kapoteza Majimbo yaliyochukuliwa na Russia
2. Nchi imevunjwa vunjwa
3. Jeshi limedhoofika
4. Kakosa ujumbe wa NATO
5. Ile misaada ya Biden imegeuka kuwa deni atalipa na riba
USA wamepata yafuatayo
1. Imefanya biashara ya silaha kwa Ukraine
2. Mkopo utalipwa kwa riba
3. Maslahi ya US kwanza sio ya NATO wala EU
NATO/EU Wamepata yafuatayo
1. Misaada na media zao hazijaisaidia kitu Ukraine
2. Russia imeimarika zaidi kiuchumi na Kiuhusiano
3. Wamebaki na aibu
Unaijua Israel? Nitajie utajili wa madini na maliasili nyingine walizobazoTanzania bila Dar (Bandari, Iring & Ruvuma (Kilimo), Geita na Arudha (Madini), tutakuwa kwenye hali gani
Hatutambui kwamba tumepoteza ardhi ya Ukreni, ila tunarasimisha upotevu huo. What a joke!U.S. President Donald Trump's special envoy for Ukraine and Russia, Keith Kellogg, said in an interview with Fox News on Feb. 13 that "formalizing Ukraine’s territorial losses" in a potential peace deal "will not equate to recognizing them."
BREAKING:13 Feb, 2025 20:27
![]()
Biden’s NATO promise to Ukraine provoked conflict – Trump
US President Donald Trump has blamed the conflict on his predecessor Joe Biden’s support for Ukraine’s bid to join the blocwww.rt.com
Vice President JD Vance said Thursday that :
“There are economic tools of leverage