Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ha ha haa nyie Pro UkraiNATO mmeteseka sana kwenye vita hii,mlivyotegemea imekua sivyo,mlidhani Ukuu wa Marekani ni kwa Kila mtu.Strange. Rais wa Marekani (West) ndiye anayewakalisha chini Urusi (super power) na Ukraine wamalize vita. Special Operation haikutimia. Sasa sijui hiyo heshima ya dunia nzima inatoka wapi?
Ni kweli kabisa,na bado raia kadhaa wa nchi zenye migogoro Africa wamekua wakiinua Bendera za Urusi na mabango kutaka Urusi iingilie kati mizozo Yao badala ya nchi za west.Kwa kuongezea Urusi imeyanyakua Makoloni ya Mfaransa yaliyopo Afrika e.g Burkina Faso, Niger na Mali.
You’re damn right. Marekani ni mfadhili mkuu (sponsor) wa vita hii. Ni mjinga tu atakayeamini Ukraine wangeweza kupigana miaka mitatu bila msaada wa fedha na silaha wa Marekani. Sasa hivi hawatakuwa na uwezo tena baada ya kukosa msaada wa Marekani. Walio nao ni mtaji wa masikini jeuri (nguvu na ushujaa).Ha ha haa nyie Pro UkraiNATO mmeteseka sana kwenye vita hii,mlivyotegemea imekua sivyo,mlidhani Ukuu wa Marekani ni kwa Kila mtu.
Sasa mnahamisha magoli na kusema kua Marekani (West) ndie kawakalisha Urusi na Ukraine ili waongee mkiamini huo ndio ukuu wa marekani.
Na Mimi nakuambia hivi,kama silaha walizochangishana Marekani na West zingefanikiwa kuishinda Urusi, Leo hii kusingekua na mazungumzo.
Kama vikwazo kwa umoja wa nchi zote za west vingeidhoofisha Urusi Leo hii kusingekua na mazungumzo.
Kama misaada ya ushauri,wanajeshi,intelligensia,wataalamu,wakufunzi, special forces,vifaa, satellite n.k kutoka NATO vyote hivyo alivyokua akipewa ukraine vingefanikiwa Leo hii kusingekua na mazungumzo.
Haya mazungumzo yamekuja baada ya kuona Ukraine Yao inaenda kupotea ndio wakaona mazungumzo yaje.
Hebu jiulize kwa Nini mazungumzo uatumike Leo hii wakati wamechangishana silaha nchi zote za west pamoja na huyo mpatanishi super power USA?
kwangu Mimi naona USA ni sehemu ya vita hii,na wameona wameishindwa Urusi kwa njia ya vita ,vikwazo na vinginevyo,Sasa wanasimamia mazungumzo ili kumaliza vita kuepuka aibu waliyoipata.
Au wewe uliataka mazungumzo ya amani awakalishe nani ?
Papa,Guterez,Dalai Lama,au Mfalme wa Saud Arabia?
Bibie Enzo, Trump kweli angekuwa na Nia ya kweli kumsaidia Putin angeshamwondolea vikwazo vyote na kuzuia mtiririko wote wa silaha kutoka Washington kuelekea Kyiv.,kp kipanya44 upo??
Russia says Ukraine will be involved in peace talks as Zelensky warns against trusting Putin
It comes after US President Donald Trump spoke to both the Ukrainian and Russian leaders, and suggested negotiations to end the war would follow.www.bbc.com
Ni dhahiri hata Urusi mwenyewe alishachoshwa na hii vitaYou’re damn right. Marekani ni mfadhili mkuu (sponsor) wa vita hii. Ni mjinga tu atakayeamini Ukraine wangeweza kupigana miaka mitatu bila msaada wa fedha na silaha wa Marekani. Sasa hivi hawatakuwa na uwezo tena baada ya kukosa msaada wa Marekani. Walio nao ni mtaji wa masikini jeuri (nguvu na ushujaa).
SUALA: inakuwaje Putin asubiri kauli ya Rais wa Marekani kukubali kusimamisha vita (kwa masharti yoyote yale). Yaani asiwachakaze maadui zake hadi wasalimu amri; asubiri kupatanishwa na hasimu wake mkubwa? Unaamini Marekani wanapofanya uharamia wao popote duniani wanaweza kupigiwa simu na Rais wa Russia ili kupatanishwa waache vita? Think hard.
Kama unamwamini Trump, nakukumbusha alisema pia kwamba vita hivyo ni vya kijinga na havikupaswa kutokea, na visingetokea kama angekuwa madarakani.Huwa sijishughulishi na ramli. Nawaachia wenye karama hiyo.
Kikubwa ni Trump (USA) ndiye anayesikilizwa hapa. Ironic.
Sidhani kama hataki kuliona hilo; ni kwamba hana uwezo wa kuliona hilo.Hataki kuliona hilo.
Nakukumbusha: masharti ya upande wa NATO yalikuwa kwamba hakuna kuanza mazungumzo yoyote ya amani kwa ajili ya Ukreni bila Ukreni yote kurudi mikononi mwao.Strange. Rais wa Marekani (West) ndiye anayewakalisha chini Urusi (super power) na Ukraine wamalize vita. Special Operation haikutimia. Sasa sijui hiyo heshima ya dunia nzima inatoka wapi?
Trump is asking to be repaid in rare metals worth USD 500B for USD 300B disbursed under Biden, what aid are you talking about!🇺🇸 Trump: The U.S. will continue supporting Ukraine; otherwise, “Putin would think he won.”
“We will continue sending aid to Ukraine; we just want to ensure our money is safe. If we don’t do this, Putin will say he has won. Everything depends on us. And we will go as far as necessary because we are not going to let things go another way,” Trump stated.
Jibu ni rahisi: haikuwa nia ya Urusi kupigana vita hivyo. Mbona unasahau kirahisi hivyo?SUALA: inakuwaje Putin asubiri kauli ya Rais wa Marekani kukubali kusimamisha vita (kwa masharti yoyote yale). Yaani asiwachakaze maadui zake hadi wasalimu amri; asubiri kupatanishwa na hasimu wake mkubwa? Unaamini Marekani wanapofanya uharamia wao popote duniani wanaweza kupigiwa simu na Rais wa Russia ili kupatanishwa waache vita? Think hard.
[(500B - 300B)/300B]*100 = 67% PROFITTrump is asking to be repaid in rare metals worth USD 500B for USD 300B disbursed under Biden, what aid are you talking about!
Matokeo yake kaendelea kupoteza ardhi zaidi, na Trump kawaambia wasitegemee ardhi inayokaliwa na Urusi kurudishwa.Na kila wakati Putin amekuwa akisisitiza suala la kutatua mgogoro - lakini Zele kwa maelekezo na masponsa akadai hakuna mazungumzo bila ardhi yote kurudi mikononi mwao.
Mkuu Russia siyo kam Africa unavyo dhani kama unawakubali hao wayahudi kwann mpk sas wanahangaika na mateka HamasKuna namna nyingine West wanataka ku deal na Russia. Kumaliza vita na amani iwepo halafu kumuaminisha Putin kuwa mambo yamekaa sawa ikiwa ni pamoja na kutembeleana. Baadae tutasikia Putin anaumwa na kuanza kuipambania Afya yake kwa muda tu na itafikia kipindi hataweza kumudu shughuli za kuendesha serikali, kazi zitafanywa na waziri mkuu. Baadae Taifa litatangaziwa kuwa jamaa Mwendo kaumaliza. Russia 🇷🇺 itaingozwa na mtawala mwingine atakayekuwa na msimamo wa wastani.
WAYAHUDI NDIO WANAOIONGOZA MAREKANI NA MYAHUDI HAJAWAHI KUSHINDWA.
Marekani kaona awahi achukue madi kabla eneo lenyewe halijachukuliwa na Urusi akala hasara. hivyo USA na Russia wameamua kugawana utajiri wa UkraineYou’re damn right. Marekani ni mfadhili mkuu (sponsor) wa vita hii. Ni mjinga tu atakayeamini Ukraine wangeweza kupigana miaka mitatu bila msaada wa fedha na silaha wa Marekani. Sasa hivi hawatakuwa na uwezo tena baada ya kukosa msaada wa Marekani. Walio nao ni mtaji wa masikini jeuri (nguvu na ushujaa).
SUALA: inakuwaje Putin asubiri kauli ya Rais wa Marekani kukubali kusimamisha vita (kwa masharti yoyote yale). Yaani asiwachakaze maadui zake hadi wasalimu amri; asubiri kupatanishwa na hasimu wake mkubwa? Unaamini Marekani wanapofanya uharamia wao popote duniani wanaweza kupigiwa simu na Rais wa Russia ili kupatanishwa waache vita? Think hard.
Nashukuru Jasmon Tegga amejibu kwenye komenti namba 146134You’re damn right. Marekani ni mfadhili mkuu (sponsor) wa vita hii. Ni mjinga tu atakayeamini Ukraine wangeweza kupigana miaka mitatu bila msaada wa fedha na silaha wa Marekani. Sasa hivi hawatakuwa na uwezo tena baada ya kukosa msaada wa Marekani. Walio nao ni mtaji wa masikini jeuri (nguvu na ushujaa).
SUALA: inakuwaje Putin asubiri kauli ya Rais wa Marekani kukubali kusimamisha vita (kwa masharti yoyote yale). Yaani asiwachakaze maadui zake hadi wasalimu amri; asubiri kupatanishwa na hasimu wake mkubwa? Unaamini Marekani wanapofanya uharamia wao popote duniani wanaweza kupigiwa simu na Rais wa Russia ili kupatanishwa waache vita? Think hard.
Hiyo Lugha umeielewa? Trump anataka kurudisha pesa za walipa kodi wa US. hivyo anajukumu la kulinda ile mogodi aliyoahidiwa kupewa kama fidia au malipo ya msaada🇺🇸 Trump: The U.S. will continue supporting Ukraine; otherwise, “Putin would think he won.”
“We will continue sending aid to Ukraine; we just want to ensure our money is safe. If we don’t do this, Putin will say he has won. Everything depends on us. And we will go as far as necessary because we are not going to let things go another way,” Trump stated.
kilikuja na meli,🇺🇸 Trump: The U.S. will continue supporting Ukraine; otherwise, “Putin would think he won.”
“We will continue sending aid to Ukraine; we just want to ensure our money is safe. If we don’t do this, Putin will say he has won. Everything depends on us. And we will go as far as necessary because we are not going to let things go another way,” Trump stated.
Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro RussiaNakukumbusha: masharti ya upande wa NATO yalikuwa kwamba hakuna kuanza mazungumzo yoyote ya amani kwa ajili ya Ukreni bila Ukreni yote kurudi mikononi mwao.
Nini kimebadilika sasa? Mmesharudisha maeneo yenu yote?
Huoni kwamba Ukreni inatamani sasa ingekubali tu kutoingia kwenye vita ile 2022?
Wapi Boris Johnson na ubabe wake kwamba angeilinda Ukreni hadi mwisho? Wapi mzee Joe Biden???