LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
JD Vance's SHOCKING Threat To Putin; Trump's Veep Warns Military Action On Russia I.. Report

U.S. Vice President JD Vance warned of sanctions and military action to push Putin into a Ukraine peace deal. He emphasised the U.S.could use both economic and military leverage if Putin resists peace talks. Meanwhile, President Donald Trump held discussions with both Putin and Zelensky, urging peace negotiations to end the ongoing conflict.
 
Vip huko pokrovsk bibie, mbona huleti updates
Russian forces recently advanced in Kursk Oblast and near Borova, Siversk, Toretsk, Pokrovsk, and Kurakhove.

February 12, 2025, 6pm ET

 
Yaani wewe Mtanzania kutoka Kazuramimba unayajua yote hayo halafu wataalamu wa Intelejensia pale FSB wasijue? Hii ni hatari
 
Safari hii WH inaendeshwa kihuni. Kauli zinapishana wakati wowote. Na kugeuzwa wakati wowote. Sera ya nje ya Marekani haieleweki tena.

Natumaini tu kuwa Vance ataendelea kuwa loyal kwa Trump kipindi chote. Vinginevyo itakuwa tabu sana kwake. Aliwahi kuwa mpinzani wa Trump kiasi kwamba wengi walishangaa alipochaguliwa kuwa mgombea mwenza wake. Jamaa yuko more polished, more diplomatic. Sio kama kina Musk, Hegseth, Gaetz na Trump mwenyewe.

Trump ameshangaza sana. Anaitisha mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Russia na Ukraine halafu yeye na Waziri wake wa Ulinzi wanatangaza kabisa matakwa ya Russia ambayo lazima yakubaliwe - kabla mazungumzo hayajafanyika! Na bila kushauriana na wadau: Ukraine, NATO na EU. Sio kawaida ya viongozi wa US.
 
Huyu Mzee atawapa wakati mgumu mno washirika wa Marekani wa Ulaya magharibi na wale wa nchi kama Japan.

Putin sasa kapata ahueni kubwa mno.
 

Zelenskyy: I'd only speak with Putin - no other Russian official​

The Ukrainian president has been speaking at the Munich Security Conference again.
He has just said he is only prepared to speak with one Russian official - Vladimir Putin himself.
Zelenskyy would only do so once Ukraine has agreed on a common plan with Donald Trump and European leaders, he said.
He added that Trump had given him his personal phone number and told him he could call any time.

============================
 
Hapa ndipo watanzania wanaponiacha hoi. Yaani mtanzania asiye na ujuzi wowote wa masuala ya usalama na ujasusi unaijua mipango ya US, NATO na Wayahudi ila majasusi wa Russia walivyovilaza hawajui chochote?
 
kp kipanya44 upo??Mwenzio kapewa namba apige!

Zelenskyy: I'd only speak with Putin - no other Russian official​


The Ukrainian president has been speaking at the Munich Security Conference again.

He has just said he is only prepared to speak with one Russian official - Vladimir Putin himself.

He added that Trump had given him his personal phone number and told him he could call any time.

Friday 14 February 2025 19:23, UK

 
Unaijua Israel? Nitajie utajili wa madini na maliasili nyingine walizobazo
Kwani ni rasilimali gani pale inayosababisha vita pale middle, maana hili swali kama unafuatilia Geo politics ni very lame queastion na inatakiwa liulizwa na immature,
  • Ili ujue ni rasimali gani, lazima ujue anapigana na nani na kwanini?
  • Na kwanini huyu sio mwingine?
  • huko wanapopigana kuna nini?
  • Huyu anayepigana na anamzidi nini na yeye anauitaji wa kitu gani?
Nadhani nimekusaidia kupata majibu
 
Nadhani tuzingatie taarifa ya usomaji,
Hii taarufa ya JD vance ni ya mwe,i January 14,
Kauli y Trump ni ya february, maana yake ame override statement ya vuce wake na ndio msimamo wa serikali, hakuna cha kauli, hii aliisema baada ya kauli ya trump kwamba Russia asipokubali negotiation atakuwa very harsh. Sasa shida imekuwa reposted this february watu wanapandishia ma file
 
Mkuu, mazungumzo na mashauriano yalishafanyika kitambo sana tangu mwaka jana Trump aliposhinda uchaguzi (na hata kabla ya uchaguzi maandalizi ya msingi yalikuwa yameshafanyika).

Kwa sasa utawala wa Trump unatekeleza tu makubaliano hayo. Usidhani jamaa anakurupuka au unabahatisha.

Ajenda kubwa kuhusu vita vya Ukreni ni kumaliza mzozo huo lakini katika namna ambayo dunia ya Magharibi na NATO itashawishiwa kudhani wao ndio wameshinda, ingawa kila mtu anajua Urusi ndiye mshindi hadi sasa. Putin ameshajinyakulia pointi 3 muhimu!

Marekani anaogopa aibu kuliko hasara. Yuko tayari kutumia mabilioni ya dola ili kufidia ombwe analodhani litamletea kadhia kwenye macho ya washirika wake.

Si ajabu tunaona kuna ubwekaji mwingi na kauli zinazoonekana kupingana na NATO, na wakati mwingine wanapingana Wamarekani wao kwa wao.

Marekani ya sasa iko kwenye survival mode. Vita vya Ukreni vimewajeruhi sana kiuchumi, kisiasa na kiushawishi duniani kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…