LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
⚡The US is seeking to own 50% of Ukraine’s rare earth minerals in a proposal presented to President Volodymyr Zelenskiy as part of a partnership accord between the two countries, NBC reported.
 
Attachments

  • zelee.jpg
    zelee.jpg
    76.3 KB · Views: 2
⚡The US is seeking to own 50% of Ukraine’s rare earth minerals in a proposal presented to President Volodymyr Zelenskiy as part of a partnership accord between the two countries, NBC reported.
Hahahahaaaa zelensk alienda kuomba msaada kwa simba mwenye njaa acha wamnyonyoe. Na hapo bado EU hawajataka walipwe dola billion 100 waliyomkopesha kugaramia vita mbona atajuta. Hiyo vita itamtia hasara kubwa.
 
Wewe unapatikana chimbo gani hapa bongo ndg yangu. Kwa taarifa yako Russia ina Wayahudi wengi sana hadi kwenye vyombo vya Ulinzi wa Russia. Vita vya Russia vs Ukraine Haina uhusiano na Uyahudi. Ukraine siyo nchi ya Kiyahudi pamoja na kwamba alijioenyeza Myahudi Moja mjinga kuwa RAIS.
Kuna namna nyingine West wanataka ku deal na Russia. Kumaliza vita na amani iwepo halafu kumuaminisha Putin kuwa mambo yamekaa sawa ikiwa ni pamoja na kutembeleana. Baadae tutasikia Putin anaumwa na kuanza kuipambania Afya yake kwa muda tu na itafikia kipindi hataweza kumudu shughuli za kuendesha serikali, kazi zitafanywa na waziri mkuu. Baadae Taifa litatangaziwa kuwa jamaa Mwendo kaumaliza. Russia 🇷🇺 itaingozwa na mtawala mwingine atakayekuwa na msimamo wa wastani.

WAYAHUDI NDIO WANAOIONGOZA MAREKANI NA MYAHUDI HAJAWAHI KUSHINDWA.
 
⚡Zelensky:

"If we have 150-160 F-16 aircraft, plus 25 Patriot systems, then we are ready for a peacekeeping contingent exclusively of Ukrainians."
Huyu sasa nahisu anataka kuchanganyikiwa, hata Ulaya hakuna nchi yenye hizo fleet ya 160 at per,
Sababy gharama ya maintenace itakuwa ni kubwa,
Kwa hali ya upepo wa uchumi na wa Ulaya hakuna hata mmoja atakubalu kutoa hata ndege 10,
Alafu ombaomba huwezi kuwapangia wafadhiri.
Hana cha kuwatishia Ulaya, pia ana limited resource za kuofa
 
⚡Ukrainian President Zelenskyy said Friday that it would be “very, very, very difficult” for Ukraine to survive without U.S. military support, both now as it tries to repel Russia's invasion and in the future after the war ends.

"Probably it will be very, very, very difficult. And of course, in all the difficult situations, you have a chance. I don’t want to think about fighting against Russia without American support." Zelenskyy said.
Kwani walikua wanasaidiwa na USA?
Si tulikua tunaambiwa humu kua Ukraine inapigana peke yake?
Ya kwamba Ukraine ni tafu anamtoa jasho superpower wa mchongo Urusi?

Sasa Kiko wapi?
Hapana bana,Mimi sitaki kabisa kusikia kauli hiyo ya Zelensky kwamba bila USA itakua ni ngumu sana sana sanaaa kupigana na Urusi.
Humu jukwaani Kuna vijimtu vinajifanya vijuaji sana vilikua vinawalisha matango pori Pro UkraiNATO kua Urusi ni dhaifu na inapigana na Ukraine peke yake.
Sasa hebu ona kauli ya Zelensky yaani hawaamini hata wafadhiri wake wa Ulaya ambao kwa pamoja walikua USA,EU na west wengine.
Leo USA kajitoa zelensky hawaamini hata hao waliobaki akina Ulaya.
Tuliwaambia nyinyi Pro UkraiNATO hamkusikia Sasa mpokea misaada mwenyewe kaogopa.

Urusi wanaimba-
"Sitishwi na wowote",
"naulinda wangu moyo"
"Wamebaki viroboti"
 
⚡The US is seeking to own 50% of Ukraine’s rare earth minerals in a proposal presented to President Volodymyr Zelenskiy as part of a partnership accord between the two countries, NBC reported.
Dah Ukraine!
sijui wamekutwa na Nini!
Sijui ni mikosi,!
sijui ni kua na kiongozi Mjinga!
au sijui ni mpango wa mungu!
Au walidanganywa!?
Ona Sasa:-

-wanalazimika kutoa madini Yao kwa USA bila faida ambayo yangewaletea utajiri kwa ajili ya malipo ya silaha,

-Vita wamepoteza,

-Askari wao wamekufa bila faida,

-Eneo lao kubwa limechukuliwa na Urusi,

- hawatakaa wajiunge na NATO milele.
 
Hii taarifa ni ya mwezi Januari, 2025 ndio aliitoa Bw. Vance Makamu wa Rais wa Marekani. Ukiisikia hotuba ya Vance jana kule Munich utazimia. Jamaa amewabwatukia EU mpaka hawana hamu tena na Marekani. Baada ya kumaliza kuwachamba EU. Bw. Vance alimgeukia Zelensky naye amepewa maagizo yakutosha. Kwa muhtasari EU wamesema wanataka wajipange upya na waache kumtegemea Marekani.
 
Anazidi kupagawa! Kinachofuata ni................

Volodymyr Zelenskyy: Ukraine's president calls for creation of 'armed forces of Europe' amid fears of reduction in US support​

The Ukrainian leader's comments follow US President Donald Trump saying he didn't see any way "that a country in Russia's position" could allow Ukraine to join NATO.

Saturday 15 February 2025 12:25, UK

14 Feb, 2025 21:09

Ha ha ha ha haaa,aaaaha ha aa haaa
 
Back
Top Bottom