Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
LoL Kondom after being used
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LoL Kondom after being used
Kwa hesabu hiyo wepi wanakufa sana⚡An exchange of bodies has occurred between Russian and Ukrainian forces.
45 bodies return to Russia, 757 bodies return to Ukraine
Hii si inasemwa hivi toka vita ina siku 5?
Soon mtaelewa tunaposema EU na NATO ni mikono ya US anayotumia kuitawala dunia. Haijalishi sera na maamuzi ya USA ya mambo ya nje ina walakini na haieleweki kiasi gani mwisho wa siku EU na NATO wataitekeleza tu. Subiri uone ikiwa Trump atakutana na Putin, baada ya hapo viongozi wa magharibi mmoja mmoja wataanza kukutana na Putin hata kishingo upande kunegotiate namna ya kumaliza huu mgogoro.Trump ameshangaza sana. Anaitisha mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Russia na Ukraine halafu yeye na Waziri wake wa Ulinzi wanatangaza kabisa matakwa ya Russia ambayo lazima yakubaliwe - kabla mazungumzo hayajafanyika! Na bila kushauriana na wadau: Ukraine, NATO na EU. Sio kawaida ya viongozi wa US.
⚡Ukrainian President Zelenskyy said Friday that it would be “very, very, very difficult” for Ukraine to survive without U.S. military support, both now as it tries to repel Russia's invasion and in the future after the war ends.
"Probably it will be very, very, very difficult. And of course, in all the difficult situations, you have a chance. I don’t want to think about fighting against Russia without American support." Zelenskyy said.