Kamata mwizi
Kamata mwizi 🤩 🤩 😍 🤩 😍
Zelensky warns US not to strike peace deal with Russia 'behind our backs'
15/02/2025 - 13:28
https://www.france24.com
Kamata mwizi 🤩 🤩 🤩 😍 🤩 😍Zelensky warns US not to strike peace deal with Russia 'behind our backs'
15/02/2025 - 13:28
https://www.france24.com
Zelensky warns US not to strike peace deal with Russia 'behind our backs'
15/02/2025 - 13:28
https://www.france24.com
Jaribu basi kutumia akili, ukweli huwa unauma, jaribu kuukubali.Vipi hauna akili??? Au unapenda kubishana?? Hii ni ya muda mfupi:Kamata mwizi
Jaribu basi kutumia akili, ukweli huwa unauma, jaribu kuukubali.Vipi hauna akili??? Au unapenda kubishana?? Hii ni ya muda mfupi:
European leaders set to hold emergency summit on Ukraine
It comes after Donald Trump's special envoy to Ukraine said European leaders would be consulted but not take part in any talks between US and Russia over ending the war.
3 hours ago
European leaders set to hold emergency summit on Ukraine
The UK PM, who is expected to attend, said it was a "once in a generation moment for our national security".www.bbc.com

Huwa napenda kuelekezana (sifa ya watu wenye akili) na siyo kubishana (sifa ya watu wajinga).Hapo vipi?? Hii ni leo.Kamata mwizi
Tuchukue ya leo coz ya jana yamepita.Kwa hiyo tuchukue lipi tuache lipi?
Tuchukue ya leo coz ya jana yamepita.
US, Russia to meet in Saudi Arabia over Ukraine war
February 16, 20253:49 AM GMT+3
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
Unaujua msaada wa kifedha anaopata Israel kutoka Marekani?Unaijua Israel? Nitajie utajili wa madini na maliasili nyingine walizobazo
Muulize Kp ana majibu mjarabu😀Kwa hesabu hiyo wepi wanakufa sana
Tujipe muda ila nakuhakikishia EU na NATO hawana sera ya mambo ya nje huru, always watacheza ndani ya mfumo na matakwa ya USA.Huielewi USA, huielewi EU wala humuelewi Trump. Pengine hata Putin.
Kufikiria kuwa viongozi wa EU watajadiliana na Putin baada ya Trump “kujikomba” kwa Putin ni kutoelewa kabisa itikadi na sera zinazoongoza geopolitics za Marekani, EU na Urusi ya Putin.
Mgogoro wa Putin na Zelenskyy tayari umeisha kwa Trump “kuiuza” Ukraine kwa Putin kwa raha zake. Mchezo umeisha kati ya USA, Putin na Ukraine. Period.
EU watabakia kuangalia maslahi yao wenyewe baada ya USA ya Trump kujitenga. Na Putin hawahusu labda aanze kuwatishia kwa lolote ndio wataamua jinsi ya kushughulika naye. EU sio Ukraine (iliyokuwa sehemu muhimu sana ya USSR enzi za vita baridi).
Aione Drifter mtaalam wa geopolitics na siasa za magharibi hapa jukwaani