Sikubaliani na Puttin sababu ni bully ila nakiri Urusi si dhaifu. Na pia vita si vyepesi kama warusi humu wanavyoimba.Nyinyi ndio mnataka Ukraine iangamie maana mnasema Urusi ni dhaifu kwa kushindwa kuiteka Ukraine.
Kwa maana hiyo nyinyi mnataka Urusi ianze kutumia silaha kali za kuuwa maelfu ili ashinde vita haraka.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ndio maana yake vyuma viko pwani ya odesaHuyo jamaa yupo kishabiki zaidi, si unaona hapo anasema Putin ni dikteta. Hilo neno dikteta lipo kwa ajili ya justification ta west kumchukia mtu.
Nato wapo zaidi ya nchi 30, USA, Canada, Uk, Germany na France bila kusahau Poland wamepeleka vifaa vya kijeshi na mercenaries wa kutosha. Hili la urusi kuendelea na operation kwao ni mshangao. Hawataki ku admit tu, lakini nguvu waliyompa Ukraine na kipigo anachopata inabidi kuheshimu urusi.
Leo kuna taarifa urusi anapekeka meli za kivita kule Ukraine, ina maana waneona threat ni kubwa, mda si mrefu tutaanza kushuhudia vita kamili, na sio operation maalumu tena.
UShindi wa Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi ni muhimu na lazima , ili iwe funzo kwa Uchina ambayo nayo haifichi uchu wa kutwaa Taiwan.Vile vile Taiwan tayari kanunua silaha na mifumo ya Ulinzi toka USA
Inasemekana anasema operation yake imefanikiwa.Putin will search for a way to save his face