Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

4 Mar, 14:28
Russian forces strike Ukrainian military airfields, ammo depots in past day.

The Ukrainian army’s losses in that frontline area over the past 24 hours amounted to 595 personnel, two armored combat vehicles and five pickup trucks, it specified

MOSCOW, March 4. /TASS/. Russian forces struck Ukrainian military airfields and ammunition depots over the past day in the special military operation in Ukraine, Russia’s Defense Ministry reported on Tuesday.

"Operational/tactical aircraft, attack unmanned aerial vehicles, missile troops and artillery of the Russian groups of forces struck the infrastructure of military airfields, ammunition depots and massed manpower and equipment of Ukrainian armed formations in 142 areas," the ministry said in a statement.
 
Sio kwamba Urusi imeshashinda baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Ukraine.

Usisahau hii vita imeiacha pia Urusi na hasa jeshi lake kwenye hali mbaya sana rejea makumi elfu ya vifo vya askari wa Urusi mpaka kupeleka wafungwa kupitia 'Wagner' na hasira nyingine nyingi za vifaa ilizopata Urusi huko Ukraine.
 
1741126885320.png
 
In February 2025, 110 transport and cargo flights were made to Rzeszow to deliver military supplies from the following countries:

🇺🇸 USA — 36
🇩🇰 Denmark — 12
🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 England — 12
🇫🇷 France — 11
🇩🇪 Germany — 6
🇵🇱 Poland — 6
🇶🇦 Qatar — 5
🇸🇪 Sweden — 5
🇪🇸 Spain — 4
🇱🇺 Netherlands — 3
🇮🇹 Italy — 2
🇵🇹 Portugal — 2
🇸🇰 Slovakia — 1
🇷🇴 Romania — 1
🇰🇼 Kuwait — 1
🇨🇾 Cyprus — 1
🇮🇸 Iceland — 1
🇧🇬 Bulgaria — 1
 
Zelensinky ni jasiri haswa,kwa Jinsi anavomvimbia Putin..,na kwa Jinsi alivowavimbia Trump na makamu wake hapo Jana inaonesha kabisa jamaa Hana chochote Cha kumtisha chini ya jua🏃🏃
Yaani wewe ni kama ndugu zangu waluguru ..kumsifia Mkude ...Mkude kafukuzwa na Simba kutoka maporini kaja kuliwa mlangoni kwake.... Mkude shujaaa....Bure kabisa
 
Sio kwamba Urusi imeshashinda baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Ukraine.

Usisahau hii vita imeiacha pia Urusi na hasa jeshi lake kwenye hali mbaya sana rejea makumi elfu ya vifo vya askari wa Urusi mpaka kupeleka wafungwa kupitia 'Wagner' na hasira nyingine nyingi za vifaa ilizopata Urusi huko Ukraine.

Kama Urusi imeweza kuchukua 27%ya ardhi ya Ukraine wakati USA ikiwa inaisaidia Ukraine,Ukraine na EU watawezaje kuizuia Urusi isichukue maeneo zaidi?

Kila vita hupeleka hasara kwa pande zote mbili,lakini Kuna anaepata hasara kubwa na anaepata hasara ndogo.
Kwa kawaida anaepata hasara kubwa ndio hushindwa.

Sasa tulinganishe kati ya Urusi na Ukraine nani kapata hasara kubwa ?

Na je kama vita ikisimamishwa Leo nani atakae kua ameshindwa?

Wagner ni kampuni ya kijeshi ya Urusi na wafungwa ni wafungwa wa Urusi,kwa Wagner na hao wafungwa kupigana upande wa Urusi wala sio hoja maana walikua wanapigania nchi Yao.
Hata hapa kwetu wafungwa hua wanafanya kazi za uzalishaji na mapato yanakua ni ya serikali,mfano Wafungwa wa magereza hutengeneza Furniture na mapato hua ni ya magereza ambayo ni serikali.
 
==========

Hili ni pigo kwa Ukraine.....ngoja tuone kama nchi za ulaya magharibi zitaweza kuziba pengo lililoachwa na Marekani.

Ikumbukwe Ukraine haipigani na Urusi pekee inayopokea silaha kutoka Iran ila pia Korea Kaskazini yenye maelfu ya askari huko Kursk.
Dah aisee Kila siku tunawaelewesha nyie Pro zelensky.

Hivi Kwa Nini mnalilalia Sasa baada ya USA kujitoa?
Nyie si mlikua mnasema Ukraine peke yake inapigana na supapawa wa mchongo?
Sasa si iendelee kupigana peke yake USA ya Nini Tena.

Na hao Ulaya Magharibi wametokea wapi?
Maana Ukraine imekua ikipigna peke yake.

Tumewaambia sana nyinyi Pro zelensky kua Urusi inapigana na all collective west mkawa mnakataa Sasa mmeanza kujijibu wenyewe na majibu yameonekana.

Eti Ukraine inapigana na Urusi inayopokea silaha kutoka Iran na Maelfu ya askari kutoka Korea kaskazini.

Sasa naomba tungee kwa data.
Hebu niorodheshee silaha alizopooea Urusi kutoka Iran na Mimi ntakuorodheshea silaha alizopokea Ukraine kutoka nchi zote za west.

2) Pia hebu nipe orodha kama hiyo ya silaha kutoka Korea kaskazini kwenda Urusi NAMI nitakupa ya silaha kutoka west kwenda ukraine.

3) Ninachojua Mimi wanajeshi wa Korea kaskazini wameingia Urusi mwezi wa oktoba 2024 katika mkoa wa kursk ili kupata uzoefu wa vita na hawapo Donbas.
Sasa hebu niambie vita ilianza 2022 hao Korea kaskazini walikua wapi?maana Kwa Sasa hivi wako Urusi kwa miezi sita TU.je 2022,2023 na miezi 10 ya 2024 walikua wapi?

4) Nina ushahidi usio na chembe ya shaka kua NATO wamekaa vikao zaidi ya 20 kujadiliana na kupanga mipango ya kuisaidia Ukraine ili kuishinda Urusi.

Lakini sijaona wala kusikia kikao chochote kilichokaa kati ya Urusi,Iran na Korea kaskazini kujadili Kwa pamoja kupanga mipango au kupanga mbinu za kuisaidia Urusi ili kuishinda Ukraine.
Urusi wanapigania peke Yao vikao ni baina ya makamanda na wakuu wa usalama ama Baraza la usalama la Urusi peke Yao.
 
Back
Top Bottom