Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 1,535
- 5,332
Dah aisee Kila siku tunawaelewesha nyie Pro zelensky.Loading…
www.google.com
==========
Hili ni pigo kwa Ukraine.....ngoja tuone kama nchi za ulaya magharibi zitaweza kuziba pengo lililoachwa na Marekani.
Ikumbukwe Ukraine haipigani na Urusi pekee inayopokea silaha kutoka Iran ila pia Korea Kaskazini yenye maelfu ya askari huko Kursk.
Hivi Kwa Nini mnalilalia Sasa baada ya USA kujitoa?
Nyie si mlikua mnasema Ukraine peke yake inapigana na supapawa wa mchongo?
Sasa si iendelee kupigana peke yake USA ya Nini Tena.
Na hao Ulaya Magharibi wametokea wapi?
Maana Ukraine imekua ikipigna peke yake.
Tumewaambia sana nyinyi Pro zelensky kua Urusi inapigana na all collective west mkawa mnakataa Sasa mmeanza kujijibu wenyewe na majibu yameonekana.
Eti Ukraine inapigana na Urusi inayopokea silaha kutoka Iran na Maelfu ya askari kutoka Korea kaskazini.
Sasa naomba tungee kwa data.
Hebu niorodheshee silaha alizopooea Urusi kutoka Iran na Mimi ntakuorodheshea silaha alizopokea Ukraine kutoka nchi zote za west.
2) Pia hebu nipe orodha kama hiyo ya silaha kutoka Korea kaskazini kwenda Urusi NAMI nitakupa ya silaha kutoka west kwenda ukraine.
3) Ninachojua Mimi wanajeshi wa Korea kaskazini wameingia Urusi mwezi wa oktoba 2024 katika mkoa wa kursk ili kupata uzoefu wa vita na hawapo Donbas.
Sasa hebu niambie vita ilianza 2022 hao Korea kaskazini walikua wapi?maana Kwa Sasa hivi wako Urusi kwa miezi sita TU.je 2022,2023 na miezi 10 ya 2024 walikua wapi?
4) Nina ushahidi usio na chembe ya shaka kua NATO wamekaa vikao zaidi ya 20 kujadiliana na kupanga mipango ya kuisaidia Ukraine ili kuishinda Urusi.
Lakini sijaona wala kusikia kikao chochote kilichokaa kati ya Urusi,Iran na Korea kaskazini kujadili Kwa pamoja kupanga mipango au kupanga mbinu za kuisaidia Urusi ili kuishinda Ukraine.
Urusi wanapigania peke Yao vikao ni baina ya makamanda na wakuu wa usalama ama Baraza la usalama la Urusi peke Yao.