kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ulitaka Ukraine asisasaidiwe wakati urusi ana askari wa north Korea wakipigana nae bega kwa bega??Lakini situli kubaliana Ukraine peke yake ndo alikuwa anaitoa jasho Urusi na ni super power uchwara?
Ukweli utabaki kwamba urusi ni super power wa mchongo tu.., pamoja na back ya Iran..,china., Belarus., north Korea,bado Ukraine amemudu kuliteka eneo la urusi na kulikalia kimabavu!
Ukraine apewe maua yake🥰🤩😍