Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukichanganya wote utaona wamechangia pakubwa kuliko US.Mkuu nadhani bado kuna nchi zaidi ya 40 zinam support Zelensky zitafidia gap, ndio wakati wakuonyesha ukubwa wao, kama walivyosema wanaweza bila U.S
Lakini situli kubaliana Ukraine peke yake ndo alikuwa anaitoa jasho Urusi na ni super power uchwara?==================Loading…
www.google.com
Zelensky ana wakati mgumu kuendesha hii vita bila msaada wa Marekani.
Ulaya inaonekana bado hawawezi kuziba pengo la Marekani.
T14 Armata
Unamshirikishaje mtu kwenye mchezo wakati hana karata?Wanajaribu kumlazimisha Rais Zelensky afanye wanachokitaka, japo walishindwa kumshirikisha kwenye mazungumzo kule Saud Arabia.
Hii ishu ya kusitisha msaada ndio naina inataka kumpeleka Macron U.S.Ukichanganya wote utaona wamechangia pakubwa kuliko US.
Ila pengo la US litaonekana tu..
Loading…
www.google.com
🤣🤣🤣🤣 Wazee ww kulambisha mchanga wanapiga haoo ila kila siku wananyang'anywa maeneoKwa takwimu hizi basi Urusi inapigwa hata na Congo kwasasa hivi.
Urusi anasaidiwa na Iran,Korea Kaskazini kupigana na UkraineLakini situli kubaliana Ukraine peke yake ndo alikuwa anaitoa jasho Urusi na ni super power uchwara?
Bahati nzuri ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu ili kujifariji.Urusi anasaidiwa na Iran,Korea Kaskazini kupigana na Ukraine
Haya yote tuliwaambia ila mkatuona wajinga.==================Loading…
www.google.com
Zelensky ana wakati mgumu kuendesha hii vita bila msaada wa Marekani.
Ulaya inaonekana bado hawawezi kuziba pengo la Marekani.
T14 Armata
Ha ha haa,wewe jamaa were?Mkuu nadhani bado kuna nchi zaidi ya 40 zinam support Zelensky zitafidia gap, ndio wakati wakuonyesha ukubwa wao, kama walivyosema wanaweza bila U.S
,👏👏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝Bahati nzuri ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu ili kujifariji.
Tuliwaambia haitawezekana nchi za magharibi kuishinda Urusi kwenye uwanja wa mapambano nyinyi mkakaza kichwa.
Kwa hiyo Tz tukiingia vitani tutahesabika tuna saidiwa na nchi zinazo tuuzia silaha?
Urusi hasaidiwi silaha bali ananunua silaha kutoka nchi hizo na penyewe si kwamba ameishiwa silaha bali ni anajaribu kupunguza gharama za vita kwa sababu silaha za nchi hizo zinatumia gharama ndogo kuzitengeneza.
Urusi mpaka sasa ni muuzaji mkubwa wa silaha duniani ukiitoa Marekani sasa itakuwaje akose silaha za kupigana kwenye vita ya Ukraine mpaka ategemee silaha kutoka Iran?
Haya tukubaliane na hoja yako sawa Urusi inasaidiwa na N.korea na Iran sasa iweje mataifa matatu ambayo kwa mujibu wenu ni mataifa masikini na waganga njaa wayashinde mataifa zaidi ya 50 ambayo ndo masuper wa dunia?
Ningekua Mimi ndio wewe wala nisinge ng'ang'ania kauli hii ya kua Urusi inasaidiwa na Iran na Korea kaskazini kwa sababu kauli hii inawaaibisha sana west.Urusi anasaidiwa na Iran,Korea Kaskazini kupigana na Ukraine
Haya ona Sasa aibu nyingine ya kauli Yako hii pendwa.Urusi anasaidiwa na Iran,Korea Kaskazini kupigana na Ukraine
Kumbe URUSI hapambani na UKRAINE pekee........Mkuu nadhani bado kuna nchi zaidi ya 40 zinam support Zelensky zitafidia gap, ndio wakati wakuonyesha ukubwa wao, kama walivyosema wanaweza bila U.S