LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

==========

Hili ni pigo kwa Ukraine.....ngoja tuone kama nchi za ulaya magharibi zitaweza kuziba pengo lililoachwa na Marekani.

Ikumbukwe Ukraine haipigani na Urusi pekee inayopokea silaha kutoka Iran ila pia Korea Kaskazini yenye maelfu ya askari huko Kursk.
Dah aisee Kila siku tunawaelewesha nyie Pro zelensky.

Hivi Kwa Nini mnalilalia Sasa baada ya USA kujitoa?
Nyie si mlikua mnasema Ukraine peke yake inapigana na supapawa wa mchongo?
Sasa si iendelee kupigana peke yake USA ya Nini Tena.

Na hao Ulaya Magharibi wametokea wapi?
Maana Ukraine imekua ikipigna peke yake.

Tumewaambia sana nyinyi Pro zelensky kua Urusi inapigana na all collective west mkawa mnakataa Sasa mmeanza kujijibu wenyewe na majibu yameonekana.

Eti Ukraine inapigana na Urusi inayopokea silaha kutoka Iran na Maelfu ya askari kutoka Korea kaskazini.

Sasa naomba tungee kwa data.
Hebu niorodheshee silaha alizopooea Urusi kutoka Iran na Mimi ntakuorodheshea silaha alizopokea Ukraine kutoka nchi zote za west.

2) Pia hebu nipe orodha kama hiyo ya silaha kutoka Korea kaskazini kwenda Urusi NAMI nitakupa ya silaha kutoka west kwenda ukraine.

3) Ninachojua Mimi wanajeshi wa Korea kaskazini wameingia Urusi mwezi wa oktoba 2024 katika mkoa wa kursk ili kupata uzoefu wa vita na hawapo Donbas.
Sasa hebu niambie vita ilianza 2022 hao Korea kaskazini walikua wapi?maana Kwa Sasa hivi wako Urusi kwa miezi sita TU.je 2022,2023 na miezi 10 ya 2024 walikua wapi?

4) Nina ushahidi usio na chembe ya shaka kua NATO wamekaa vikao zaidi ya 20 kujadiliana na kupanga mipango ya kuisaidia Ukraine ili kuishinda Urusi.

Lakini sijaona wala kusikia kikao chochote kilichokaa kati ya Urusi,Iran na Korea kaskazini kujadili Kwa pamoja kupanga mipango au kupanga mbinu za kuisaidia Urusi ili kuishinda Ukraine.
Urusi wanapigania peke Yao vikao ni baina ya makamanda na wakuu wa usalama ama Baraza la usalama la Urusi peke Yao.
 
Usisahau hii vita imeiacha pia Urusi na hasa jeshi lake kwenye hali mbaya sana rejea makumi elfu ya vifo vya askari wa Urusi mpaka kupeleka wafungwa kupitia 'Wagner' na hasira nyingine nyingi za vifaa ilizopata Urusi huko Ukraine.
ha ha ha daaa hii yote ni kutokukubali kuwa Russia ni warmonger sio?? uhalisia kwenye field unaonekana nani anatembeza kichapo zaidi ila mnalazimisha tuamini kuwa russia. kaumia.
A winner is announced once ,hatuhitaji kudadavua sijui mshindi alipatwa jeraha usoni mara aliwahi kulala njaaa vitani ,lakini si kashinda?

A
 
Kichapo kinaendelea dhidi ya warusi View attachment 3259628
1741115729892.png
 
Mzee baba tunaomba huo mgao, usile peke yako hata kama umechangia sana!

Macron 'considering Washington trip' to meet Trump, Zelenskyy and Starmer

French President Emmanuel Macron is considering visiting Washington again to meet with Donald Trump, Volodymyr Zelenskyy and Sir Keir Starmer, a French government spokesperson says.

Wednesday 5 March 2025 12:35, UK

 
Back
Top Bottom