Bado nauona udhaifu mkubwa wa NATO west wote pamoja na nyie mashabiki wao.
Nyie mnataka na mnafurahi kweli kweli Ukraine akisaidiwa na mnasema Ukraine ana allies lkn hamtaki kabisa kuona Urusi akisaidiwa na mnasema Urusi Hana allies.
Hapa umetaja kua Urusi kasaidiwa drone toka Iran na askari toka Korea kaskazini.
Wakati askari wa Korea kaskazini wameingia Urusi oktoba 2024 vita ilianza Feb 2022 .
Iran yeye Katia drone TU hakuna silaha nyingine alizotoa.
Lakini Ukraine wamepewa Kila aina ya silaha unayoijua na usiyoijua wewe hapa duniani kutoka nchi zaidi ya 57.
Ok tufanye kua Urusi nayo imesaidiwa sana tuangalie nani amesaidiwa sana?
Misaada ya silaha na wanajeshi kwa Urusi
Iran _drone
Korea kaskazini _askari 13000
Isaada ya silaha na wanajeshi kwa Ukraine:
USA _
UK _
France_
German _
.........
.........
.......
The deadly
consequences
of misclassifying
foreign fighters
in Ukraine
estimated 20,000 foreign fighters from 52 countries participating directly in the Ukraine hostilities is not just a question of semantics. Misclassification can have profound
life-or-death implications, as several foreign fighters enlisted in the Ukrainian International Legion of Territorial Defence discovered.
Ten foreign fighters from the United Kingdom, Sweden, Morocco, the United States and Croatia, whom Russian authorities controversially predetermined to be mercenaries, were taken captive in Mariupol.
Southeast Asia’s Soldiers of Fortune in the Russia-Ukraine War
Are Southeast Asians fighting in the Russia-Ukraine War?
According to Russia’s Ministry of Defence, the answer is yes. Last week, it published a
list of alleged foreign mercenaries fighting in Ukraine’s armed forces.
The list, broken down into regions and countries, claimed that since the conflict began on 24 February 2022, 13,387 foreigners had taken up arms on behalf of Ukraine and that 5,962 had been “eliminated” (presumably killed or seriously wounded).
Among the 88 countries, three Southeast Asian states appear: the Philippines (17 volunteers, two “eliminated”); Indonesia (ten volunteers, four “eliminated”); and Thailand (three volunteers, one “eliminated”).