Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Muulize kip kipanya44Wakuu naomba msaada.
Kwanini NATO USA na Zele boy wanahimiza sana ceasefire?
Kizuizi Cha Nikolaev kilishindikana ila naamini itakuwa rahisi wakiingia Dniproprotevisk na Zaporozhia.Wangeanza na Odessa kabla ya Sumy
Na inasemekana ANgela huwa hapendi mbwa, anaogopa mbwa, kwa hio inasemekana ni kama Putin alimsoma na kutaka kumuondolea confidence asijiamini... hii video niliitazama nikaifuatilia na story yake..Hii michezo ya kuwasubirisha wageni wake anaipenda Sana PUTIN,
Lengo nadhan apa anakua chemba anakusoma vzuri kwny CCTV, akili na lengo lako, anakukagua in&out bila wee kujijua Kama unania mbaya au lah.
Angela markel WA ujerumani nae amewai subirishwa masaa 3+ na alipokuja, akatokea na bonge la mbwa jeusi.
Hii Angela markel aliona Kama DHARAU na alilalamika media zote kua kavunjiwa heshima 😅
Hamna mtego hapa, hili gazet zaidi ya lawama kwa POTUS halina issue nyingine, kama wanaona Trump ni mjinga UK&France wapeleke wanajeshi wao waone.
Huyu T14 Armata nilijua tu ni mjuaji mpumbavu ni kama wale wanao sema marekani na urusi zikiingia vitani marekani itashinda kwa sababu ya uchumi wake ....wao uhusisha uchumi mkubwa wa nchi na ushindi wa vita kumbe awajui hii kanuni ya uchumi mkubwa kufanikisha kushinda vita huwa inafanya kazi pale tu unaye pigana naye anapokuwa dhaifu kijeshi hivyo kufanya vita vipiganwe upande wa nchi moja iliyo dhaifu ....kuhusu USA NA URUSI KANUNI YA UCHUMI MKUBWA AU MDOGO AIWEZI KUFANYA KAZI MAANA VITA VIKIANZA UCHUMI WOTE UNASAMBALATISHWA HIVYO MNABAKI KUPIGANA VITA BILA YA KUTEGEMEA MAMBO YA UCHUMI
wacha tugawane nyaraWatu wanagawana ardhi yenye mali!
Trump says he'll speak with Putin tomorrow on Ukraine and 'dividing up assets'
Donald Trump says he'll speak to Russian President Vladimir Putin tomorrow as he pushes to end the war in Ukraine.
17 March 2025 06:44, UK
Ukraine war latest: Putin may escalate if he doesn't get 'the only thing that can save him' - expert
While Russia's war in Ukraine shows no immediate sign of ending, Kyiv's allies fear Moscow could extend its war elsewhere in Europe. As the conflict enters its fifth year, an expert has suggested Vladimir Putin may eventually opt to escalate. Follow the latest.news.sky.com
Naona limefungiwa mitungi wa gesi wa rostam aziziZelenskyy announced the deployment of a Ukrainian missile with a range of 1,000 km.
The Neptune missile has been tested and successfully used in combat. The range of the new Ukrainian missile is 1,000 kilometerView attachment 3271534s.
Bwana Utam ninajua qlipoIngawa Kuna miamba imepotea humu lkn sio Kwa kukimbia.
Galip Qrl na Huk Luk,sijui wako wapi Hawa jamaa bila kumsahau Bwana Utamu na wengine wengi sana.
kp kipanya44 ni photo copy ya Samia bushiriOffcoz tunaitaji watu kama @kipanya44 wapumbafu wakupindukia wasiotaka kusoma arama za nyakati. Akili ya kipanya na zele boy ziko sawa wote ni comedy tu...muda wote nikiona post zao