Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Urusi ipo hoi mno kwa kuchakazwa na Ukraine.Iyo Finland ilishaga megwa na Warusi.kwa iyo sizani kama wanaitaji kupoteza maeneo zaidi
Haina ubavu wa kuanzisha vita mpya kwa Sasa
Urusi ipo hoi mno kwa kuchakazwa na Ukraine.Iyo Finland ilishaga megwa na Warusi.kwa iyo sizani kama wanaitaji kupoteza maeneo zaidi
Hakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, ni PolandKwa hiyo Putin atavamia. Finland akimalizana na Ukraine?
Katiba ya Ukraine hairuhusu uchaguzi wakati wa 'marshal law' hilo lipo wazi nimeshaeleza.Kwanini haizuie court kufanya kazi yake na kila anayemping aende hela hata wapinzani?
Maana yake na yeye hataki kuachia Uraisi. Muonja asali
Thubutuuuuuuu.....Hakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, ni Poland
Soma kote nilichokieleza, kuanzia marshal law na nani anaweza kuitengua na kwanini watenguzi anawafunga, maana naona unazunguka marshal law marshal, as if it is something too mightyKatiba ya Ukraine hairuhusu uchaguzi wakati wa 'marshal law' hilo lipo wazi nimeshaeleza.
Baki na uelewa wakoSoma kote nilichokieleza, kuanzia marshal law na nani anaweza kuitengua na kwanini watenguzi anawafunga, maana naona unazunguka marshal law marshal, as if it is something too mighty

Hakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, niKwa hiyo Putin atavamia. Finland akimalizana na Ukraine?
Urusi ipo hoi mno kwa kuchakazwa na Ukraine.
Haina ubavu wa kuanzisha vita mpya kwa Sas
Nani kakuongopea.ivi kwa silaha zilizotolewa Ukraine ni nchi gani ingeweza kumudu kupigana na Ukraine, labda USA ila tofauti na hapo hakuna hata NATO yenyewe isingeweza.Urusi ipo hoi mno kwa kuchakazwa na Ukraine.
Haina ubavu wa kuanzisha vita mpya kwa Sasa
Silaha nyingi zilizotolewa ni defensive tu na zile chache za offensive zimetolewa kwa kuchelewa Sana tena zikiambatana na masharti ya kuibana Ukraine kuhusu mipaka ya kuzitumia.Hakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, ni
Nani kakuongopea.ivi kwa silaha zilizotolewa Ukraine ni nchi gani ingeweza kumudu kupigana na Ukraine, labda USA ila tofauti na hapo hakuna hata NATO yenyewe isingeweza.
Urusi kinachomsaidia ana viwanda vingi vya silaha na pia malighafi za kutosha.hakuna anayeamin kwa sasa kuwa Putin atapumzika.
Yani Poland ufananishe na Ukraine.Ukraine ilikuwa na Jeshi kubwa kuliko Poland.Ivi unawachukuliaje Warusi wewe au unaongea tu kupinga kila kitu.yani Urusi ashindwe kuvamia Poland😂😂😂.huu sasa utaniThubutuuuuuuu.....
Kama Ukraine kaishindwa sembuse Poland yenye silaha za kila namna za NATO.
Ukraine kwa Polanda ni mweupe tu kama ilivyo kwa Urusi (ukitoa manyuklia yake anayotishia kutumia).Yani Poland ufananishe na Ukraine.Ukraine ilikuwa na Jeshi kubwa kuliko Poland.Ivi unawachukuliaje Warusi wewe au unaongea tu kupinga kila kitu.yani Urusi ashindwe kuvamia Poland😂😂😂.huu sasa utani
Silaha nyingi zilizotolewa ni defensive tu na zile chache za offensive zimetolewa kwa kuchelewa Sana tena zikiambatana na masharti ya kuibana Ukraine kuhusu mipaka ya kuzitumia.
Ila Putin akijichanganya kwa Poland, huo unafuu alioupata kwa Ukraine hatauona katu, atapata tabu mno.
Ujui vita wewe.nchi ngumu pale ulaya kwenye 40 bora uwezi waweka Poland, hata historia tu inawakataa Warusi walichukua Poland kwa wepesi sana ila baadae waliondoka, wangeamua mpaka leo ingekuwa koloni lao.Ukraine kwa Polanda ni mweupe tu kama ilivyo kwa Urusi (ukitoa manyuklia yake anayotishia kutumia).
Hata Urusi ana jeshi kubwa kuliko Ukraine ila cha moto kakipata.
Poland ya sasa sio ya mwaka 1950's..Ujui vita wewe.nchi ngumu pale ulaya kwenye 40 bora uwezi waweka Poland, hata historia tu inawakataa Warusi walichukua Poland kwa wepesi sana ila baadae waliondoka, wangeamua mpaka leo ingekuwa koloni lao.
Muda ukifika..dubu atamla nyama. Ngoja kwanze ajaee kwenye kumi nane za dubuKwa hiyo Putin atavamia. Finland akimalizana na Ukraine?
Jaribu basi kutumia akili. Hukumbuki kauli ya Donald Trump kuwa isingekua U.S.A hii vita ingeisha ndani ya maa 48?. Moto gani Russia kauonaUkraine kwa Polanda ni mweupe tu kama ilivyo kwa Urusi (ukitoa manyuklia yake anayotishia kutumia).
Hata Urusi ana jeshi kubwa kuliko Ukraine ila cha moto kakipata.
Wao pia wamejipanga wanasubiri aje .Muda ukifika..dubu atamla nyama. Ngoja kwanze ajaee kwenye kumi nane za dubu
Poland ya sasa sio ya mwaka 1950's..
Mmeshamalizana na M23 ?😂😂😂 hii Poland hata Tanzania tukiamua tunapata matokeo vizuri tu, Vita ni historia kama una damu ya kupigana uwezi toboa uwanja wa vita.
Ukraine imeweza..Mpaka sasa NaTO wanateseka kwa dubu. Jiulize nchi gani ulaya ikisimama yenyewe inaweza kuichalenji Urusi?