Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna Finland joto lake sio sana kwa iyo Putin awezi ivamia tena Finland kwa mara ya pili.kituo kinachofata kinajulikana, ni Poland
Poland fyoko fyoko sana...anatabiaa zinazofanana na Ukraine. Russia ni akili kubwa atamvamiaa kama atakuwa threat kwao..ila kwa sasa sizani ..target kubwa ya Russia ni Ukraine amalizanee na Ukraine aendelee kuvuna maliasili na manpower ya wakazi ya ayo maeneo kutanuaa zaidi uchumi wake. Muda wa Poland ukifika nayee atapelekewa moto mtakatifu. Russia anapigana kimahesabu sana. Yeye sio gaidi kama Marekani
 
Huo msaada na vikao vya kila siku NATO wanakaa huwa ni kwa ajiri ya nani?
Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.

Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
 
Nitajie hata silaha moja unayoijua wewe kutoka mataifa hayo unayoyasema wanaitumia Warusi uwanja wa vita?
 
Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.

Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
Nachojua alinunua drones kutoka Iran na wanajeshi wachache wa k. Kaskazini kwenda kuchukua ujuzi wa vita. Hiyo misaada unayoijua wewe naomba itaje hapa
 
Hizo drones na wanajeshi sio misaada ?
 
Kwahiyo Ukraine inatumia silaha ambazo sio za Nato?
Au poland ina silaha tofauti na akina leopard, na Abraham, na akina javelin?
Hizo za Ukraine ni za kizazi cha pili tu ila zimeitoa ngeu supa-pawa.
 
Silaha nyingi zilizotolewa ni defensive tu na zile chache za offensive zimetolewa kwa kuchelewa Sana tena zikiambatana na masharti ya kuibana Ukraine kuhusu mipaka ya kuzitumia.

Ila Putin akijichanganya kwa Poland, huo unafuu alioupata kwa Ukraine hatauona katu, atapata tabu mno.
Vipi kuhusu ile offensive iliyo feli vibaya sana iliyo andaliwa kwa mwaka mzima kwa mbwebwe za Leopard na Abraham na yenyewe walikuwa wanatumia silaha za kujilinda?
 
Ukraine walikosea wenyewe tu kuanzia kupanga mpaka utekelezaji
 
Urusi pia kapokea maelfu ya msaada wa silaha kutoka Iran, Korea Kaskazini....bada kapewa mpaka wanajeshi na Korea Kaskazini wamsaidie huko Kursk.

Kiufupi Ukraine inapambana na Urusi, Iran, Korea Kaskazini, Belarus kwa wakati mmoja.
Kumbe sasa inakuwaje mataifa manne tena masikini kwa mujibu wenu yayashinde mataifa zaidi ya hamsini ambayo ndo masupapawa wa ukweli.
 
Ndio maana hao Judges waliipmaana
Na kwa katiba yao marshal law inaweza kutengeliwa na constitutional court pamoja na Supreme court ambao kawaweka jela na mwingine exile
South korea Raisi aliweka alitaka kufanya upumbavu akaweka marsha kama kinga ya maamuzi aliyotaka kufanya, court ikatengua
Team Nato wengi kichwani hamna kitu, usihangaike kumuelimisha tena
 
Back
Top Bottom