Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi ipo hoi mno kwa kuchakazwa na Ukraine.

Haina ubavu wa kuanzisha vita mpya kwa Sasa
Thubutuu, ingekuwa hoi, hao NATO wasingekuwa wanabweka nchini kwao- kwa jinsi wanavyomchukia Mrusi wangelikua wameishapeleka wanajeshi wao Ukrainie...Urusi wajanja sio wajinga kiasi hicho, wanajua kuna nchi kibao zinawalia timing
 
❗️🇺🇸 In a few weeks, we will find out if Russia is ready to end the war. Ukraine has shown its willingness, says US Secretary of State Marco Rubio.
 
Trump kauuwa uzi wetu, hii vita ni kama imeisha tu.ilikuwa lazima niingie niucheki, ila siku za karibuni umepoa,labda kirat alete stories zake ambazo mara zote Huwa naziruka sizisomi!
Sio mbaya as long watu wamepumzika kufa huko.
Kipanya44 atakwambia miaka 4 siyo mingi, anamini ushindi wa Ukraine utakuwepo baada ya DT kuachia ngazi. Ni ndoto yake hiyo.
 

Russia comments on Krivoy Rog strike​

Ukrainian and Western service members were killed in the attack on Friday, the Defense Ministry said
Russia comments on Krivoy Rog strike

A Russian Su-34 bomber takes off from an airfield in 2022. © Valentin Kapustin / Sputnik
Russia has said that it carried out a missile strike on military personnel in the eastern Ukrainian city of Krivoy Rog on Friday evening.

According to the Russian Defense Ministry, its target was “a meeting place of commanders of military units and Western instructors in one of the restaurants.”

Up to 85 Ukrainian and foreign soldiers and officers were killed, and up to 20 vehicles were damaged, the MOD said.
Ukrainian officials reported that the missile struck a residential area, damaging several apartment blocks. Aleksandr Vilkul, the head of the Krivoy Rog defense council, said that 18 civilians were killed, including nine children, and 56 people were wounded.

Dmitry Lubinets, Ukraine’s top human rights official, denied that there was a military site in the area.
 
Huyu ni Gen wa NATO Tena ni Mmarekani anaona jeshi la Urusi linavyozidi kuimarika,lkn watatokea Pro NATO wa keyboard watakuambia jeshi la Urusi limedhoofika.
Sasa sijui tumuamini nani kati ya huyo NATO orijino au NATO JF.

Russian army is strengthening – NATO supreme commander​

Moscow is producing weapons “in prodigious numbers,” US General Christopher Cavoli has claimed
Russian army is strengthening – NATO supreme commander

FILE PHOTO: US General Christopher Cavoli.
Russia will have little difficulty reaching its target of 1.5 million active military personnel, despite the ongoing conflict in Ukraine, NATO’s Supreme Allied Commander in Europe Christopher Cavoli has predicted.
During a US Senate Armed Services Committee hearing on Thursday, the four-star US Army general evaluated Moscow’s ability to enhance its military capabilities.
”I believe the personnel they’ll be able to build as quickly as they want to,” Cavoli stated, referencing the launch of a spring conscription campaign on Tuesday that aims to enroll 160,000 recruits for military training. Unlike Kiev, Moscow does not deploy conscripts to the front lines, relying instead on volunteers.
”With those numbers, they will be able to constitute the force size that they choose fairly quickly,” Cavoli remarked. He noted that Moscow may need “a couple of years” to achieve the 1.5 million target.
Intel sharing and ‘boots on the ground’: Takeaways from NYT investigation into ‘secret’ US-Ukraine partnership
The general also highlighted a notable increase in Russia’s military-industrial capacity amidst the Ukraine conflict.
”They have expanded their capability to produce some things – artillery shells, cruise missiles – tremendously, and they are producing some things, such as one-way attack drones, in prodigious numbers that they weren't even producing at all before the war,” he warned.
Cavoli asserted that Russian stockpiles of heavy armored vehicles, such as tanks, have been considerably depleted by the hostilities.
Democratic Senator Richard Blumenthal, a staunch supporter of Kiev who requested the analysis, interpreted Cavoli’s insights as evidence that Russia poses an escalating threat to Ukraine and NATO members in Europe.
“I would add to that, senator, that this is not just in the ground domain,” Cavoli responded, referencing Russian air patrols and deployments of naval and road-mobile nuclear forces.
Moscow maintains that it has no aggressive intentions toward NATO, asserting that its military serves as a deterrent against hostile forces, including the US-led bloc. The Pentagon regularly conducts maneuvers similar to those described by Cavoli.
Russian President Vladimir Putin has ordered multiple increases in army strength throughout the Ukraine conflict. The directive he issued last September aims to increase the number of armed forces personnel to nearly 2.4 million, including 1.5 million active service members. The Kremlin said “threats existing near our borders” necessitated the decision.
 
Kuna wafia westnato humu tukiwaambia Urusi sio mchezo watakuja na maelezo mareeeefu na Kila aina ya silaha ili TU kukupoteza kwenye mada,lkn wakati Sasa umejibu.
Wote tunaona,tunasoma na tunasikia habari za vita.
Tukiwaambia Urusi Inapigana peke yake,watakuambia inasaidiwa na Korea kaskazini na Iran,tukiwauliza ni lini hua zinakaa vikao kati ya Urusi,Iran na korea kaskazini kujadili kuisaidia Urusi,hawana jibu.ni silaha Gani walitoa watakuambia shaheed drone,tukiwauliza ni hizo TU hawana jibu.
Sasa Leo USA anasema hata hudhuria kikao Cha kuisaidia silaha Ukraine.
Hii inathibitisha kua NATO na west hukaa vikao lkn Iran na Korea kaskazini na Urusi hawajawahi kukaa kikao.
Hawa Ukraine wanasaidiwa na Mataifa 50 .the 50-nation coalition has provided more than $126 billion in military aid to Kiev, including F-16 fighter jets and large quantities of 155mm artillery shells.

US to skip Ukraine military aid meeting for first time – media​

Pentagon chief Pete Hegseth will reportedly not attend the Ramstein group either virtually or in person

US Defense Secretary Pete Hegseth will skip the next meeting of countries coordinating military support for Ukraine – the first such absence by a Pentagon chief – Defense News has reported, citing US and European officials.
The Ukraine Defense Contact Group, or UDCG – also known as the Ramstein group – is set to convene in Brussels on April 11 for the 27th time since the escalation of the conflict in 2022. Founded by Hegseth’s predecessor, Lloyd Austin, the 50-nation coalition has provided more than $126 billion in military aid to Kiev, including F-16 fighter jets and large quantities of 155mm artillery shells.
An unnamed US official told the outlet on Wednesday that Hegseth would not attend in person and is not expected to join virtually either. The Pentagon is unlikely to send any senior representatives, who typically accompany the secretary on such trips, the official said.
Washington is still assessing how its officials will participate in various Ukraine-related forums, including those overseeing arms deliveries and training, according to the source.
Germany announces more military aid for UkraineREAD MORE: Germany announces more military aid for Ukraine
Reacting to reports of Hegseth’s likely absence, Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova wrote ironically on Telegram: “The crew bids you farewell and wishes you a pleasant flight.”
Hegseth attended the Ramstein group’s meeting in February but unlike Austin, did not chair the session.
According to the report, Austin missed only one in-person meeting during his tenure – in early 2024 due to health issues – but joined virtually while a senior Pentagon official led the group. The US, which often hosted the meetings at Germany’s Ramstein Air Base, became closely associated with the format.
The US, Ukraine’s largest military donor, has since shifted its approach under President Donald Trump, who has called for Kiev to repay aid already delivered.
The Trump administration has signaled a broader policy shift, urging European allies to take the lead in supporting Ukraine and boosting their own military spending.
In Brussels in February, Hegseth told European officials they should take greater responsibility for their military posture instead of relying on Washington. He also ruled out the possibility of NATO membership for Ukraine – a position confirmed by President Donald Trump.
 

The Ministry of Defense commented on the missile attack on a restaurant in Krivoy Rog​

April 4th, 2025

In Krivoy Rog, a high-explosive rocket hit a restaurant where a meeting was held with the commanders of the AFU formations and Western instructors. This is reported by the Ministry of Defense of the Russian Federation.
"At 18.49, a high-precision missile strike in high-explosive equipment was carried out at the venue of a meeting with commanders of formations and Western instructors in one of the restaurants in the city of Krivoy Rog. As a result of the strike, the enemy's losses amounted to up to 85 servicemen and officers of foreign countries, as well as up to 20 units of automotive equipment," the ministry said in a statement.

According to EADaily, the missile strike in Krivoy Rog was carried out, according to preliminary data, by Iskander-M precisely at the Magellan restaurant, where a meeting of the command staff of the Armed Forces of Ukraine and foreign mercenaries was taking place at that moment. This was reported by military blogger Yuri Podolyaka.

Taarifa zinasema baada ya kipigo hiki warusi wakawa wanafuatilia Kila hatua ya uokoaji wa wale wajeruhi na walionusurika.
Walifuatilia uokoaji kujua wanapelekwa wapi,walipoona kazi ya uokoaji imeisha na kuona walionusurika wamewekwa wapi,warusi wakatuma makumi ya droni kwenda kimalizia kazi kwa hao walionusurika na kombora la kwanza.hali ni Tete kwa kweli.
 
Haya Sasa kauli ya kibabe sana hii kutoka waziri wa ulinzi wa china.
Hili ni tamko rasmi.
Iran na Korea kaskazini hazihitaji kutoa matamko kwa sababu tayari zenyewe zimekwisha onesha Nia kwa vitendo.


🚨
Update: “China will intervene militarily on the side of Russia anytime and anywhere if NATO officially enters the war against the Russian Federation! We believe that everyone will understand this principle!” - Chinese Minister of Defense from Telegram
 
Aisee katika maisha nimejifunza mengi,Kuna mtu sehemu Fulani anaweza kuonekana mkubwa na mwenye nguvu,lakini mtu huyohuyo sehemu nyingine akaonekana ni WA kawaida kabisa.
Sasa ndio Hawa jamaa wa NATO.
Hawa jamaa Kila siku wanaongea vitu tofauti katika mzozoz huu wa Ukraine.
Leo hii USA inaongeza na Urusi kumaliza vita,wao wako pembeni.
Wakati huohuo Europe nao wako tofauti kabisa na USA na NATO ,yaani wao EU wanalalamika kutengwa kwenye mazungumzo,wako wanalia kivyao.
Na hata hao EU napo Kuna wenzake wengine hawako pamoja nao,mfano Italy, Hungary na baadhi.
Kwa hiyo Hapa ni kama Kuna makundi manne yote yanaifuatilia Might Russia.

Kuna Baba lao USA huyu ndio anazungumza na mkubwa mwenzie Urusi huyu Yuko peke yake safari hii,

Kuna European wakiongozwa na France na UK Hawa wanataka kupeleka wanajeshi Ukraine kulinda kinachoitwa amani, Urusi kawaonya,

Kuna hawa akina Hungry,Italy na wenzake Hawa hawataki kabisa kusikia kupeleka jeshi kulinda kinachoitwa amani.

Na nne, Kuna katibu Mkuu wa NATO huyu ni msemaji Mkuu wa NATO, Sasa sijui huyu anawakilisha NATO IPi,maana NATO Iko vipande vipande katika mazungumzo hayaya amani, kwa sababu USA Iko kivyake, France,UK na German na wenzake ziko kivyao.
Italy, Hungary na wenzake nao wako kivyao.
Sasa msome katibu Mkuu wa NATO hapo chini uone anawakilisha NATO IPi?
Kwa kifupi Kuna sehemu NATO na EU,UK,France na akina German hua tunawaona ni wakubwa na wenye nguvu,lakini Kuna sehemu wakubwa hao hua wanaonekana ni wadogo TU.
Aisee kwenye mzozo huu baina Yao na Urusi ndio tumejua kama ni wakubwa au ni WA kawaida.
Aisee Urusi sio Zimbabwe,Libya,Iraq wala Serbia.

6 Apr, 2025

NATO not part of Ukraine peace talks – secretary general​

The US-led alliance will not send peacekeepers to Ukraine, Mark Rutte has said
NATO is not involved in the US-mediated ceasefire negotiations between Russia and Ukraine, Secretary General Mark Rutte has said. He added that Ukraine’s NATO membership has never been a part of a potential peace deal.

During an interview with Ukraine’s New Voice published on Saturday, the NATO chief was asked if the bloc had any “red lines” in the negotiations to end the Ukraine conflict.
“We do not have our own red lines, because we are not part of that,” Rutte said. “We are not part, as NATO, of those negotiations. They are really driven by the US, together with Ukraine and the Russians. I’m glad that the US has broken the deadlock, that these talks are now ongoing,” he added.
Rutte ruled out that NATO, as a bloc, could send peacekeepers to Ukraine. “Probably it will not be NATO as such. That’s not very likely,” he said, adding that individual member states could dispatch troops on their own. “That always means that it has an impact on NATO territory. It might have an impact on the defense of NATO territory also going forward.”
Several NATO members, including France, the UK, and Germany have floated proposals to deploy peacekeepers after a ceasefire is reached.

Trump rules out Ukraine joining NATO in exchange for rare earths
Rutte stressed that Ukraine’s aspiration to join NATO has not been tied to the ongoing talks. “It has never been promised to Ukraine that NATO membership will be part of a peace deal or a ceasefire,” he said. “These are two separate things, a peace deal and the long-term prospect.”
US President Donald Trump reiterated this week that Ukraine will “never be a member of NATO.” Russia has cited NATO’s expansion eastward as one of the core reasons behind the conflict, and demanded that Ukraine drop its plans to join the alliance.
Russian Foreign Minister Sergey Lavrov has rejected the deployment of troops from NATO members in Ukraine in any capacity as unacceptable

Macron could lead EU talks with Russia – Telegraph​

The French president could become contact man for the “coalition of the willing” supporting Kiev, the outlet has reported

French President Emmanuel Macron may take the lead in engaging Russia on behalf of Kiev’s European backers in a bid to end the Ukraine conflict, The Telegraph has reported, citing an Elysee Palace source. France’s leader is reportedly not averse to talks, in contrast to British Prime Minister Keir Starmer.
Macron is said to be willing to be a negotiator “when the time is right,” the source told the paper, who added however that time has not yet come. In March, Macron stated that he was “ready to talk” to Russian President Vladimir Putin but only when Kiev and its European backers decide that “the time is right.”
In early March, Macron and Starmer stated that they were ready to lead a “coalition of the willing” consisting of European countries ready to support Kiev with troops and aircraft if it struck a peace deal with Moscow. Ukraine’s backers in Europe now want someone to head their own talks with the Kremlin independently of US President Donald Trump’s peace effort, the Telegraph reported.

Italy pours cold water on pro-Ukraine ‘coalition of the willing’​

European countries must work with Washington to achieve peace between Moscow and Kiev, Giorgia Meloni has said

Italian Prime Minister Giorgia Meloni has ruled out the participation of her country’s troops in a military force that the UK and France want to be deployed to Ukraine in the event that a peace deal with Russia is reached.
In early March, British Prime Minister Keir Starmer and French President Emmanuel Macron said that their nations were ready to lead a “coalition of the willing” pro-Ukrainian European countries to support Kiev with troops and aircraft.
After a summit Meloni reiterated that “no national participation in a possible military force on the ground is planned” by the authorities in Rome.
According to a statement published by the Italian she also “stressed the importance of continuing to work with the US to stop the conflict and achieve peace” between Moscow and Kiev. She “hoped for the involvement of an American delegation at the next coordination meeting” of Ukraine’s European allies, the statement read.
 

Battlegroup West destroyed five Starlink terminals — spokesman​

MOSCOW, April 6. /TASS/. Servicemen of the Russian Battlegroup West neutralized more than 250 Ukrainian troops and destroyed five Starlink terminals and 33 drone control centers, Battlegroup Spokesman Ivan Bigma told reporters.
"Thirty-three drone control centers, five Starlink terminals and a field ammunition depot were destroyed, "Bigma said.
Air defense crews destroyed two HIMARS projectiles and 22 fixed-wing drones, he added.
 
Back
Top Bottom