Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Silaha nyingi zilizotolewa ni defensive tu na zile chache za offensive zimetolewa kwa kuchelewa Sana tena zikiambatana na masharti ya kuibana Ukraine kuhusu mipaka ya kuzitumia.

Ila Putin akijichanganya kwa Poland, huo unafuu alioupata kwa Ukraine hatauona katu, atapata tabu mno.
Toa mfano was Silas bora za Nato battle proven worldwide amblyopia Ukraine hakupewA..
Himself
Challenger Mbt
Tiger battle tank
Abrams nk.
Plus info za kijasusi
 
Jaribu basi kutumia akili. Hukumbuki kauli ya Donald Trump kuwa isingekua U.S.A hii vita ingeisha ndani ya maa 48?. Moto gani Russia kauona
Usisahau kuwakumbusha ni juzi tu Trump alimuuliza katelephone wa UK kama Ulaya yote wanaweza kukabiliana na Urusi bila marekani jamaa akakaa kimya. kwa ufupi NATO bila US haina ubavu wa kumkabili Urusi
 
Ndio maana hao Judges waliipinga.
Na kwa katiba yao marshal law inaweza kutengeliwa na constitutional court pamoja na Supreme court ambao majaji wake kawaweka jela na mwingine exile
South korea Raisi aliweka alitaka kufanya upumbavu akaweka marsha kama kinga ya maamuzi aliyotaka kufanya, court ikatengua
Martial law and NOT Marshall law
 
🤣🤣🤣
20250402_152945.jpg
 
While Donald Trump’s new tariffs hit a long list of countries, Russia, Belarus, North Korea, and Cuba were notably excluded. The White House claims existing sanctions already “prevent meaningful trade.” - Le Monde.

But the numbers tell a different story: in 2024, U.S.-Russia trade totaled $3.5 billion — more than with some countries that are on the list.

Meanwhile, Ukraine faces a 10% tariff.
So let’s be clear: The victim gets punished. The aggressor gets a pass.
 
Aiseee kumbe Abraham tanks ni kizazi cha pili?
Hizo za Ukraine ni za kizazi cha pili tu ila zimeitoa ngeu supa-pawa.
Pitia vizuri taarifa zako au ingia mtandao uangalie vizuri
Vifaru vina-generation 3.
Abraham na Leopard 2 vyote hivyo ni vifaru vya kizazi cha 3 (latest)
FGM-148 Javelin ni anti tank kizazi cha 3 (latest)
 
Back
Top Bottom