and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Hata angeendelea Biden kwa miaka 20, Ukraine isngeweza kupona, tusidanganyanane. Na kikubwa zaidi Ukraine isingefanikiwa malengo yake, nchi za Ulaya na US wamejitahidi kujipima kadiri wawezavyo ngoma bado ngumu..Ulikuwa Mwaka mgumu kwenye hiyo SMO yake...
UTawala wa Trump umeleta nafuu kubwa mno kwa Urusi, ndio maana Putin anataka kutumia hilo kuendeleza vita.
Unahisi bila Trump kuingia madarakani, Putin angeshindwa kuendelea na vita?Ulikuwa Mwaka mgumu kwenye hiyo SMO yake...
UTawala wa Trump umeleta nafuu kubwa mno kwa Urusi, ndio maana Putin anataka kutumia hilo kuendeleza vita.
Hata angeendelea Biden kwa miaka 20, Ukraine isngeweza kupona, tusidanganyanane. Na kikubwa zaidi Ukraine isingefanikiwa malengo yake, nchi za Ulaya na US wamejitahidi kujipima kadiri wawezavyo ngoma bado ngumu..
Utawala wa Trump umeibana mno Ukraine na kuishurutisha kukubali baadhi ya matakwa ya Putin ikiwemo kuachia ardhi yake.Unahisi bila Trump kuingia madarakani, Putin angeshindwa kuendelea na vita?
Bila shaka wewe huoni kabisa hali ya unafuu wa vita (ceasefire) kufuatia utawala mpya wa Trump.
Kwa kile kiburi cha NATO na Marekani wakati ule, na shinikizo lao alilokuwa akipata Zelensky, ni wazi kwamba Urusi haikuwa na namna yoyote ila kuendelea na vita hadi wao wenyewe waombe radhi, kama wafanyavyo hivi sasa.
Ndiyo maana mtazamo mpya ulitokea, malengo ya SMO yakabadilika.
Urusi ilitaka kuuondoa kabisa utawala wa Zelensky (jumlisha Wanazi wote popote) na kujimilikisha ardhi nzima ya Ukreni.
Hao jamaa wa NATO na Ukreni wana kila sababu za kumshukuru Trump kwa kugeuza upepo, akiilazimisha Ulaya imalize vita, maana aibu kwao ilishavuka kiwango - ila wakawa waoga kuinuka mikono ya simile!
Hebu fikiria mabilioni ya dola, misaada ya kijeshi, hali na mali, intelijensia na wataalamu, lakini bado Urusi ameendelea kuimega ardhi yao kila sekunde!
Na wala siyo kuimega tu, na pia kujimilikisha na kuijenga upya!
Kudai kwamba huyo mtu alikuwa ameshindwa vita, huko ni kujitoa akili kusikosameheka.
Nchi ngapi za NATO, ikiwemo Marekani yenyewe, utawala wao umeangushwa kwa sababu ya uchumi wao kudorora?
Kwa nini vikwazo takriban 20,000 alizowekewa Urusi havikuzaa matokeo tarajiwa ya kufumuka uchumi wa Urusi na hatimaye kutokea machafuko na mapinduzi ya ndani?
Kilichotokea ni kinyume chake. Kwa nini?
Trump yuko sahihi anaposema NATO haina ubavu wa kumkabili Urusi.
Si ajabu akapiga kura UN ili kumuunga mkono Russia, kinyume na matajio ya wengi.
^If you cannot fight them, join them!^
Trump aliamua kuishinikiza Ukreni kuweka silaha chini kwa sababu aliona jamaa anapigana vita vya kipuuzi.Utawala wa Trump umeibana mno Ukraine na kuishurutisha kukubali baadhi ya matakwa ya Putin ikiwemo kuachia ardhi yake.
Ila kwa upande wa Urusi hakuna shinikizo lolote kubwa walilopewa Ili kumaliza vita hata kwenye 'tariffs' hawamo.
Uraisi wa Trump ni zawadi kwa Putin
Kiongozi Russia imewekewa kila aina ya vikwazo toka vita inaanza, Ukraine imepewa kila aina ya silaha kasoro nuclear lakini haijasaidia kitu.Utawala wa Trump umeibana mno Ukraine na kuishurutisha kukubali baadhi ya matakwa ya Putin ikiwemo kuachia ardhi yake.
Ila kwa upande wa Urusi hakuna shinikizo lolote kubwa walilopewa Ili kumaliza vita hata kwenye 'tariffs' hawamo.
Uraisi wa Trump ni zawadi kwa Putin
Kiongozi Russia imewekewa kila aina ya vikwazo toka vita inaanza, Ukraine imepewa kila aina ya silaha kasoro nuclear lakini haijasaidia kitu.
Trump anaelewa kuendelea kuisaidia Ukraine ni kutwanga maji kwenye kinu, silaha na pesa atakazopewa ni sawa zinakwenda kutupwa na hazitobadili chchote sana sana kuichelewesha Russia kufikia malengo yake.
Russia pekee inazalisha risasi, mizinga na silaha mbali mbali kuliko nchi za EU na US, zaidi ya mara 3 yake, mfano mwaka 2024, Russia ilizalisha risasi milioni 4.5, huku EU na Marekani kwa pamoja wakizalisha milioni
Silaha gani hajapewa?acha uongo jamaa l
acha uongo jamaa langu eti kapewa silaha zote kasoro nuclea mahaba ni mabaya
Kiongozi Russia imewekewa kila aina ya vikwazo toka vita inaanza, Ukraine imepewa kila aina ya silaha kasoro nuclear lakini haijasaidia kitu.
Trump anaelewa kuendelea kuisaidia Ukraine ni kutwanga maji kwenye kinu, silaha na pesa atakazopewa ni sawa zinakwenda kutupwa na hazitobadili chchote sana sana kuichelewesha Russia kufikia malengo yake.
Russia pekee inazalisha risasi, mizinga na silaha mbali mbali kuliko nchi za EU na US, zaidi ya mara 3 yake, mfano mwaka 2024, Russia ilizalisha risasi milioni 4.5, huku EU na Marekani kwa pamoja wakizalisha milioni 1.3 pekee.
Unaanzaje kushindana na nchi kama hio...
Wakati huo huo Russia pia ina test silaha zake, Iran, EU...
unazijua silaha za marekani wewe au unaropokaSilaha gani hajapewa?
Tatizo mnatizama sana movies za hollywood vijana..unazijua silaha za marekani wewe au unaropoka
we kweli fyetu kwa hyo silaha za marekani ni za kwenye movies.Tatizo mnatizama sana movies za hollywood vijana..
Usichanganye uhalisia wa vita na movies..
Hizo silaha ubora wake unaona kwenye movies, zikiingia kwenye battle ni kituko..we kweli fyetu kwa hyo silaha za marekani ni za kwenye movies.
kwani S 4,na ndege za kisasa kabisa za russia,vifaru bora, vilienda wap? unajua equipments na askar wa russia waliopoteza ?hii vita bila hizo silaha za mmarekani unazoponda ingefika mwaka wa tatu?mkuu unatakiwa kujua hakuna taifa lenye silaha nyingi za kivita kama USA, ikifatiwa na Russia.Hizo silaha ubora wake unaona kwenye movies, zikiingia kwenye battle ni kituko..
Patriot iliyopigiwa kelele ni hatari, silaha ya mamilioni ya dollar, tulishuhudia ikitandikwa na Russia hadi aibu, ilipigwa na Kinzhal hypersonic za Russia.
Javelin, Stinger, HIMARS zilionekana mwanzoni kuwa na mafankio, kilichokuja kutokea ilikuwa ni kichekesho..
Silaha na misaada yote waliotoa NATO ilikuwa inasaidia ku slow down Russia , sio kuzuia elewa hilo, zilisaidia kui slow down tu Russia huku ikichukua maeneo taratibu, na Trump alisema pale ikulu anamwambia Zele pasipo misaada yetu hii vita ilikuwa ni wiki mbili tu...kwani S 4,na ndege za kisasa kabisa za russia,vifaru bora, vilienda wap? unajua equipments na askar wa russia waliopoteza ?hii vita bila hizo silaha za mmarekani unazoponda ingefika mwaka wa tatu?mkuu unatakiwa kujua hakuna taifa lenye silaha nyingi za kivita kama USA, ikifatiwa na Russia.
we jamaa mbishi sana ,kwa hiyo unakiri mwenyewe hawakupewa silaha zote.bali walipewa za kuslow down,alafu unaposema Russia ana silaha kuliko Marekani uje na twakwimu siyo blablaa,na pia ufahamu had mda huu asilimia 75%ya ukraine iko mikononi mwa USA,Silaha na misaada yote waliotoa NATO ilikuwa inasaidia ku slow down Russia , sio kuzuia elewa hilo, zilisaidia kui slow down tu Russia huku ikichukua maeneo taratibu, na Trump alisema pale ikulu anamwambia Zele pasipo misaada yetu hii vita ilikuwa ni wiki mbili tu...
Kumbuka Russia anazalisha silaha kwa kasi zaidi ya NATO, yaani EU yote na US hawafikii uzalishaji wa kasi wa silaha kama Russia...
Hivyo hizo silaha za US zilichofanya ni kuichelewesha Russia kufikia targets zake, hivyo ikienda muda mrefu, Ukraine inachukuliwa mbele ya NATO wakishuhudia...
Uwe unaelewa kiongozi, nimesema kasi ya uzalishaji wa silaha wa Russia upo juu kuliko EU na US wote kwa pamoja.. katika hiki kipindi cha vita.we jamaa mbishi sana ,kwa hiyo unakiri mwenyewe hawakupewa silaha zote.bali walipewa za kuslow down,alafu unaposema Russia ana silaha kuliko Marekani uje na twakwimu siyo blablaa,na pia ufahamu had mda huu asilimia 75%ya ukraine iko mikononi mwa USA,
SILAHA ALIZOPEWA UKRAINE NI KWA AJILI YA KUJILINDA HAKUPEWA RUHUSA YA KULENGA URUSI MOJA KWA MOJA ,PIA ALIPEWA SHORT RANGE WEAPONS AMBAZO NI KWA AJILI YA KUJILINDA TUU, HATA MIFUMO YA ULINZI WALIYOPEWA NI MICHACHE, IMAGINE WANAPEWA NDEGE 8 ZA F-16,VIFARU 14 VYA JEOPARD,THEN UKABILIANE NA TAIFA LA PILI DUNIAN KWA UBORA WA KIVITA NI KICHEKESHO SANA KUSEMA ALIPEWA SILAHA ZOTE ,Uwe unaelewa kiongozi, nimesema kasi ya uzalishaji wa silaha wa Russia upo juu kuliko EU na US wote kwa pamoja.. katika hiki kipindi cha vita.
Kuhusu wingi wa silaha sifahamu.
Russia hiki kipindi cha vita wanazalisha silaha mara tatu zaidi ya NATO ikwemo US unaelewa?
Kingine nilichosema silaha anazotoa EU na US wakijua Ukraine itamzidi Russia kivita, matokeo yake imekuwa ni kupunguza kasi ya Ukraine kuzidi kumezwa, hivyo hakuna muaorobaini wa kupambana na Russia kuiokoa Ukraine zaidi ya nuclear war..
Mwenye nuclear , Russia ina silaha za nuclear nyingi zaidi kuliko US..
Amna silaha inayosifiwa kama THAAD , na inacost karibia 8B dollar kama 25t za kitanzania na pia ndo waarabu huwa wanadanganywa kuwa usa itakulinda kumbe amna kitu na hizo gharama sijui walitumia nini kuziweka hapoHizo silaha ubora wake unaona kwenye movies, zikiingia kwenye battle ni kituko..
Patriot iliyopigiwa kelele ni hatari, silaha ya mamilioni ya dollar, tulishuhudia ikitandikwa na Russia hadi aibu, ilipigwa na Kinzhal hypersonic za Russia.
Javelin, Stinger, HIMARS zilionekana mwanzoni kuwa na mafankio, kilichokuja kutokea ilikuwa ni kichekesho..