Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Amalize kazi kwa kwenda yeye mstari wa mbele?
 
Starmer blamed Moscow for what he called a series of provocations, accusing Russia of “menacing” the UK, demonstrating “aggression” in British waters, and “driving up the cost of living here at home,” harming British workers.
====
Kweli UK wamepata Tunubu wao. Utailaumuje Russia juu ya kupanda kwa gharama za maisha za wa UK wakati UK yenyewe ndiyo inawatesa wananchi wake kwa kukataa furusa za gharama nafuu kutoka Russia?
 
Hivi haya mabomu yanayotumika kule gaxa na haya yanayotumiwa na russia yanafanana? Mbona gaza imechakaa sana?

Natoa amri niione kiev kama gaza.
Tani ya mabomu yalotumika Gaza yangeweza kutumia Ukraine na kuimaliza vita ya Ukraine.
Gaza imepigwa mabomu mengi ya mfululizo,sio kama Ukraine inapigwa kombora Moja Moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…