Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Akili za Zelensky ziko kama akili za madereva wa bodaboda,huwa wanafanya maamuzi bila kufikiri Nini kitakuja kutokea, mwisho wa siku huishia kujeruhi au kuua watu wengine au wao kupoteza viungo au kufa.Kiev
Sio kwamba katumwa na Putin kuwachanganya NATO?πHungarian Prime Minister Viktor Orban has questioned Russia's ability to attack NATO countries, as it is not "even capable of defeating Ukraine," he said in an interview with French TV channel LCI on June 8.
"The Russians are too weak for that," Orban said. "They're not even capable of defeating Ukraine, so they're incapable of really attacking NATO."
Vice versa is true π€£Hungarian Prime Minister Viktor Orban has questioned Russia's ability to attack NATO countries, as it is not "even capable of defeating Ukraine," he said in an interview with French TV channel LCI on June 8.
"The Russians are too weak for that," Orban said. "They're not even capable of defeating Ukraine, so they're incapable of really attacking NATO."
Maana yake kila mwanajeshi mmoja wa Urusi ana thamani ya wanajeshi 44 wa Ukraine π©π©Ukraine finally accepts fallen soldiersβ bodies from Russia β Vladimir Medinsky
Kiev has received 1212 bodies so far; Russia will get to bury 27 of its solders in return
Soon karkive will be in our territoryKherson, Luhansk, Donesk, Zaporozhia, Crimea huu ulikuwa mkataba wa mwanzo ambao Zelensk aligoma ku Sign.
Mkataba mpya kwa sasa(Crimea,Luhansk, Donesk, Zaporozhia, Kherson,Sumy na Dnipro
Ukraine finally accepts fallen soldiersβ bodies from Russia β Vladimir Medinsky
Kiev has received 1212 bodies so far; Russia will get to bury 27 of its solders in
Kubwa jinga kwani Kashindwa kumdi.ya Bibi yako ?π€£π€£ππUrusi ni kubwa jinga miaka minne linapigwa na ki ncho kama Ukraine hahaha π€£ππ€£π€£π
π π πMbona unacheka cheka cheka sana kwenye vitu makini kuna uzima kweli au Diara kaenda kupiga kona??
π π π πWatu wanabadilishana maiti 41 Kwa 909, afu Bado Kuna Mtu anashangaa ni nani anachezea kichapo zaidi lenye uwanja WA kivita
πUkraine hataki kuchukua miili ya akari wake 6000 waliouwawa, sababu kukwepa kulipa gharama kwa familia za wahanga