ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kyiv 'encircled by missiles' in nine-hour deadly attack
Tuesday 17 June 2025 09:50, UK
Ukraine war latest: Russia points finger at UK over Ukrainian strike on missile plant
Ukraine says it has hit a missile plant in a Russian border region, with Storm Shadows used in the attack. The Kremlin claimed it was "clear" the attack would not have been possible without UK involvement. A Russian official said six people were killed in the strike.news.sky.com
Ila mwanzo mwavita ulipendelea nato ila urusi imekushangaza chiefwanacheza
kukalia Mikoa Sita badala ya minne ya awaliMalengo mapya ya vita ya Russia ni yapi??
Asante,kukalia Mikoa Sita badala ya minne ya awali
Aaaah ha ha ha haaaakp kipanya44 Wale warusi mnaowalambishaga mchanga elfu moja kwa siku huwa mnawazika au huwa mnawayeyuesha kwa tindikali? Mbona kwenye mabadilishano ya maiti huwa mnakosha cha kutoa kwa Russia? Ukraine imekosa hata maiti 100 tu?
🤣🤣 kp kipanya44 huna baya warusi washakufa wangapiBado tupo wakuu,hii vita inabidi uifutilie huku ukipata muda wa kutoka na kwenda kupata maji kidogo
NATO wameitosa UkraineWazee kwani vita imeisha????