Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Trump Angemuacha huyu kenge achezee kichapo
 
Trump Angemuacha huyu kenge achezee kichapo
Tatizo hapa ni kwamba Zelensky anapotoshwa kwa kusiliza ushauri wenye hila wa Macron wa Ufaransa pia na Waziri mkuu wa Uingereza na siku za hivi karibuni Chancellor wa Ujerumani, hawa ndio
wanamuhujumu pia Trump hawataki afanikiwe kwenye kusitisha mapigano huko Ukraine, wao wanataka vita hii iendelee indefinitely ili wauze silaha na kikubwa zaidi wanataka waikomoe Urusi actually wanadai eti mpaka Russia iwe defeated how? only God knows.

Narudia kusema tena kwamba Viongozi hawa wa EU na Uingereza wako Obsessed sana na Taifa la Urusi wanalionea wivu kutokana na kuwa endowed with vast natural resources, uzuri njama za kundi hili hata Trump amekwisha washtukia ndio maana hataki kuwashirikisha kwenye mkutano wake na Putin, karata ya kufanyia mkutano huu huko Alaska umewakata ngebe hawawezi kwenda huko na kujaribu kuhujumu mkutano huu, lakini kwa kuwa ni vig'ang'anizi wamekwisha itisha mkutano wao na waandishi wa habari huko London kwa lengo la kupre-empty mazungumzo ya Trump na Putin eti "na wao wanataka washirikishwe kwenye mkutano" wamesema maneno chungu nzima ya kuhuma na kupuliza wanafikiri Trump hana akili ya kupuuzia kelele na unafiki wao -washenzi sana hawa jamaa.

Nani ambaye hajui kwamba Ufaransa hiko overly interested na madini/machimbo nchini Ukraine waliwahi hata kumshauri Zelensky hasiwauzie machimbo/madini Wamerikani, kwani Macron anafikiri uzabazabina wa Macron kuhusu madini ya Ukraine Trump haujui??
 
Trump aliwahi kumuonya Zelensky kwamba jeuri yake hiyo siku moja atajikuta hana Nchi ya kuongoza maana yote itakuwa imekwisha chukuliwa/tekwa na Urusi, Trump alikwenda mbali zaidi kwa kumkumbusha Zelensky kwamba Urusi ni super power, jeshi la Ukraine aliwezi kushindana na jeshi la Urusi, likihamua kufanya kweli hapatakalika.
 
Warusi wamevunja ngome ya Ulinzi wa mji wa Konstantinovka.muda wowote kuanzia sasa Warusi wataingia kwenye mji maana inaonekana upinzani ni mdogo sana
Halafu akina Rais Macron, Waziri Mkuu wa Uingereza, Chancellor wa Ujeruman hao ndio wanamshauri viboya Zelensky kwamba Wukraine wapigane mpaka tone la mwisho na kweli wanajeshi wa Ukraine wanakufa kweli kweli, we sema Zelensky ana roho ngumu kama ya paka.
 
That servers Clown Zelensky rigt, this shows that finally Trump has had enough of myopic Zelensky who is too argumentative and unreasonable.

Personally I believe it's time Zelensky went from his office preferably unceremoniously.
 
Huyu mzee ana maneno ya shombo!

​

Trump asked if Zelenskyy will attend Friday's talks​


Donald Trump has now been asked whether Volodymyr Zelenskyy will be at the talks in Alaska on Friday.
"He wasn't part of it," Trump tells reporters.

"I would say he could go, but he's gone to a lot of meetings, he's been there for three and a half years and nothing happened."

Trump says he will be able to tell if a deal can be made "probably in the first two minutes" of his meeting with Vladimir Putin.

Monday 11 August 2025 17:48, UK


https://www.facebook.com/sharer/sha...asked if Zelenskyy will attend Friday's talks
 
Tofauti ya Mrusi na ya Iran ni Engine.engine za Warusi wameziongezea speed tofauti na zile za Muajemi
Ndio Russia wameziboresha kwa sehemu fulani au niseme ku customize ili kusudi iweze kuendana na hali halisi ya vita anavyopigana na uwezo wa kukabiliana na adui anae deal nae...

Kwa kweli hizi drone zimeleta mapinduzi makubwa sana... Iran kumpa Russia knowlede na engineers kuwasaidia kutengeneza hio drone walifanya jambo la maana sana... Russia wangeanza from scratch ilikuwa si rahisi... ingechukua muda mrefu...

Ndio maana naona hata Russia ameamua kuwapa na yeye s-400... maana hakuna nchi yeyote Middle East imeshapokea s400 ya mrusi zaidi ya Russia kuitumia katika ulinzi wa base zake ME..
 
"Wananchi wa Ukraine hawatatoa ardhi yao" - Zelensky juu ya tangazo la mkutano wa Trump-Putin

"Jibu la swali la eneo la Ukraine tayari liko katika Katiba ya Ukraine. Hakuna mtu atakaye na anaweza kukengeuka kutoka kwa hili. Waukraine hawatatoa ardhi yao kwa mkaaji," rais alisisitiza.

Zelensky alisisitiza kuwa Ukraine iko tayari kwa maamuzi ya kweli yanayoweza kuleta amani.

"Maamuzi yoyote yanayofanywa dhidi yetu, maamuzi yoyote yanayofanywa bila Ukraine ni, wakati huo huo, maamuzi dhidi ya amani. Hayatafanikiwa chochote. Haya ni maamuzi yaliyokufa. Hayatafanya kazi kamwe. Tunachohitaji sote ni amani ya kweli, hai ambayo watu wataheshimu," aliongeza.
 

Attachments

  • 20250809_MAP_tg.mp4
    6.4 MB
MAREKANI ndio inaamua na sio Ukraine 🇺🇦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…