Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Mbona walikuwa hawashtuki mpaka drone inawauaKuna watu wengi sana walikuwa wanadai kipindi cha kubadirishana miili ya askari wa Russia na ya askari wa Ukraine ilikuwa inaonekana idadi ya miili iliyorejeshwa ya askari wa Russia ni ndogo sana na ya Ukraine inaonekana ni kubwa sababu kubwa ya ni hii hapa chini.
Askari wengi sana wa Russia wanakufa sana kwa kuuliwa na drones ambazo husababisha miili yao kuchomeka kiasi cha kushindwa hata kutambulikana hivyo mizoga yao hata haizolewi inaachwa tu maana hakuna namna ya kuibeba maana hata haijai kwenye mfuko wa Rambo!!!
SLAVA UKRAINE 🇺🇦!!!
Hilo liko wazi,hata USA wanajua hili,Nnachojua,
Russia hawawezi kukubalu kurudisha maeneo
💯 % 💪🏽 💪🏽 🔥 👏🏽 👏🏽 weka mbali na watotoBodyguards wa Putin sio poa, ni umeme mkali...
Hio speed na hizo shabaha anapiga si kawaida....
View attachment 3441673
Huyo jamaa kwenye video ndiye huyo amevaa tai rangi ya maroon...
Waingereza na wapoland wakiona hii wanatamani kunywa sumu 🤣🤣🤣Huyu ni jasusi wa kremlin
View attachment 3444933
Wazee wa urusi,Waingereza na wapoland wakiona hii wanatamani kunywa sumu 🤣🤣🤣
Wajerumani wao walitamani hii shughuli iishe mapema sababu walishaonja joto la jiwe kutoka Urusi hadi nchi yao ikagawanywa nusu kwa nusu ikatawaliwa na Urusi kwa miaka mingi hadi NATO ikaenda Moscow kuwaomba warusi wawape ujerumani uhuru wao.... Tangu opareshen haijaanza nilisema humu kwamba, taifa lolote likiingia vitani na Urusi ni sawa na kudumbukia kwenye karai la kukaangia chipsi
Urusi ipi ? Urusi hii hii ilyoko nafasi ya nne kiuchumi duniani?Wazee wa urusi,
Mnaijua Hali ya uchumi warus wanapitia??
Tulia wewe huwezi elewa kitu hata ukieleweshwaWazee wa urusi,
Mnaijua Hali ya uchumi warus wanapitia??
Dah ajabu ni kwamba licha ya wao kuwa na nguvu sana kijeshi na kiuchumi ila wanashangaa Kuona heshima na ushawishi wao kwa Marekani ni mdogo mithili ya sisimizi. Wazee na wabibi wako Washington lakini Wala hakuna anayeshtuka!
Hawa watu mbona wanajidhalilisha namna hii?