D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Historia itawahukumu sana NATO... Baada ya amani takwimu zitawashtua wengiWarusi wanakufa kwa drones ndio maana miili haipatikani.
Haya sawa
Kwa mujibu wa mtaalamu wa vita kutoka Jf
=≈======
Mabadilishano ya miili yamefanyika tena.
Warusi wamepokea miili 19 na ukraine wamepokea miili 1000.
1000÷ 19 = jawabu utajua wewe.
Sisi si wajinga kiasi hicho
Cc Echolima1 mtaalamu misheni town wa vitaWarusi wanakufa kwa drones ndio maana miili haipatikani.
Haya sawa
Kwa mujibu wa mtaalamu wa vita kutoka Jf
=≈======
Mabadilishano ya miili yamefanyika tena.
Warusi wamepokea miili 19 na ukraine wamepokea miili 1000.
1000÷ 19 = jawabu utajua wewe.
Sisi si wajinga kiasi hicho
Mnajifariji? Askari wa Russia wataendelea kupukutika kama nzige tu!!Warusi wanakufa kwa drones ndio maana miili haipatikani.
Haya sawa
Kwa mujibu wa mtaalamu wa vita kutoka Jf
=≈======
Mabadilishano ya miili yamefanyika tena.
Warusi wamepokea miili 19 na ukraine wamepokea miili 1000.
1000÷ 19 = jawabu utajua wewe.
Sisi si wajinga kiasi hicho
Twambie ww unaejuaWazee wa urusi,
Mnaijua Hali ya uchumi warus wanapitia??
Size matters, isn't it?😂😂😂⚡Trump:
Russia is a powerful military nation, whether people like it or not. It is the much bigger nation.
You don't take on a nation that is 10 times your size.
BBC wazee wa Propaganda hawaeleweki na hawaaminiki tena!!Wanazi wamekutana na mnazi mwenye uzoefu... Mnazi mzoefu akianza kuishenyenta haachi ni hadi asikie harufu ya nyama inayoungua 😄😄View attachment 3446410
Trump kamwambia zelenzky asipobadilika kuendana na tabia ya Putin, basi atabadilishwa tabia kivitendo kama tinavyoshuhudia kwa macho yetuBBC wazee wa Propaganda hawaeleweki na hawaaminiki tena!!
Maana yake akubali maeneo yameshaondokaTrump kamwambia zelenzky asipobadilika kuendana na tabia ya Putin, basi atabadilishwa tabia kivitendo kama tinavyoshuhudia kwa macho yetu
Si hilo tu, kamwambia pia abadili tabia aelewane na Putin asije kutegemea wanajeshi wa Marekani wakiwa Ukraine wakisimamia anachokiita amaniMaana yake akubali maeneo yameshaondoka
Hapo kutakuwa na uchaguzi huru??🇬🇧🇺🇦 Britain has signed a memorandum with Ukraine to oversee post-war elections, according to Express.
London is expected to play a role in organizing voting abroad, controlling campaign financing, and securing both ballots and candidates.
The article also stresses that the main theme of Ukraine’s post-war campaign will be so-called “fears of Russian interference” in the electoral process — a narrative already being pushed by Western media.
🔴 @DDGeopolitics | Socials | Donate | Advertising
Wanaendelea kupanda miiba kwenye njia ya Ukraine... Hawa waingereza wanaumia sana wanapoona wameshindwa kwenye uwanja wa vita, hivyo wanazidi kujaribu kuweka mazingira rafiki kwaajili ya kujaribu tena bahati yao miaka ijayo.🇬🇧🇺🇦 Britain has signed a memorandum with Ukraine to oversee post-war elections, according to Express.
London is expected to play a role in organizing voting abroad, controlling campaign financing, and securing both ballots and candidates.
The article also stresses that the main theme of Ukraine’s post-war campaign will be so-called “fears of Russian interference” in the electoral process — a narrative already being pushed by Western media.
🔴 @DDGeopolitics | Socials | Donate | Advertising
Ila wewe jamaa una maisha ya taabu sana. Unautesa Moyo wako kwa kulazimisha mambo yasiyohalisia.Mnajifariji? Askari wa Russia wataendelea kupukutika kama nzige tu!!